Saturday, 27 July 2013

Re: [wanabidii] TUHUMA ZA MKURUGENZI WA USALAMA WA TAIFA

Zisije zikawa POROJO TU ZA MZEE WA SHAMBA. Yangu macho.

On 7/25/13, Daniel Mbega <mbega.daniel@gmail.com> wrote:
> Tanzania ni yetu sote, tuko kwenye wakati mgumu wa mabadiliko. sasa
> tukianza kuzungumzia uvumi na tetesi kama hizi, naamini taifa letu litazama
> na sisi ndio tutakuwa chanzo hicho - tunautoboa mtumbwi wetu. kwa maslahi
> ya nani basi? uzalendo kwanza, tusiwe tunakurupuka kusikiliza uvumi na
> uzushi kama huu.
>
>
> 2013/7/25 Daniel Mbega <mbega.daniel@gmail.com>
>
>> Yona sijakuelewa, na sitaweza kuelewa. nadhani taarifa za namna hii
>> zinapaswa kuangaliwa kwa makini. Mama Maria Nyerere ana nafasi gani ya
>> kiserikali hata astahili kuuawa, tena na mkuu wa Idara nyeti kama hiyo?
>> au
>> ana siri gani zinazotishia usalama wa nchi mpaka ifikie hatua awindwe na
>> mkuu wa idara?
>>
>> Jamani, nchi hii tunakoelekea nadhani kuna balaa zaidi, tujaribu kuwa
>> makini. hebu tutangulize uzalendo katika baadhi ya masuala yanayotuhusu
>> badala ya kuyajadili hivi. halafu ni vyema masuala yawe yanafanyiwa
>> uchunguzi wa kina kabla ya kuanza kuyajadili, vinginevyo tunautoboa
>> mtumbwi
>> ambao sote tumo ndani yake.
>>
>> Mbega
>>
>>
>> 2013/7/25 Frank Lema <savedlema@gmail.com>
>>
>>> Mimi umenikumbusha "Saving Private Ryan", it was something very costful.
>>>
>>>
>>> On Wednesday, July 24, 2013 10:00:12 AM UTC+3, Yona F Maro wrote:
>>>
>>>> Maoni yangu ni nukuu toka kwa habari kama hiyo iliyoletwa kwa lugha ya
>>>> kiingereza tembelea www.wanabidii.net utaona habari ya kwanza , kwa
>>>> sababu nyie hamsomi mnaanza kunishambulia , hata hivyo sitishiki na
>>>> vitisho
>>>> hivi mengi yamepita .
>>>>
>>>> Tungekuwa na mifumo bora na ya kuaminika ya utumishi wa umma basi mtu
>>>> aliyeleta habari hii angeweza kuipeleka panapo stahili na vile vile
>>>> kulindwa kwa hili jambo nyeti .
>>>>
>>>> Naomba niishie hapa kwa kuelewa zaidi unaweza kuangalia tamthilia za 25
>>>> kuna rais mmoja anaitwa Charles Logan alivyomfanya rais palmer lakini
>>>> akachunguzwa akatiwa hatiani , pia tazama filamu ya saving private ryan
>>>> jinsi Yule mwalimu wa shule ya msingi alivyolindwa kwa kutoa siri ya
>>>> alipo
>>>> askari wa marekani na sasa hivi huyu mwalimu yuko marekani ni raia wa
>>>> nchi
>>>> hiyo na jina amebadilisha yeye na familia yake .
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>> On Wed, Jul 24, 2013 at 9:55 AM, godfred mbanyi
>>>> <mban...@yahoo.com>wrote:
>>>>
>>>>>
>>>>> Uhuru bila heshima ni upuuzi!!! Nadhani hii mitandao inaelekea
>>>>> pabaya!!!
>>>>> Nosense!!!!!!!!!!!!!!!
>>>>>
>>>>> ------------------------------**--------------
>>>>> On Tue, 7/23/13, Deodatus Balile <deob...@yahoo.com> wrote:
>>>>>
>>>>> Subject: Re: [wanabidii] TUHUMA ZA MKURUGENZI WA USALAMA WA TAIFA
>>>>> To: wana...@googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Date: Tuesday, July 23, 2013, 12:45 PM
>>>>>
>>>>> Niliwahi kusema kuwa jukwaa hili
>>>>> linastahili kulinda heshima yake kwa kukemea habari za
>>>>> kipuuzi na umbea wa aina hii. Uingereza wiki iliyopita
>>>>> wameingiza mitandao ya kijamii kundi moja na magazeti vyote
>>>>> viwe chini ya sheria moja.
>>>>>
>>>>> Mimi nadhani wakati umefika tutunge sheria ya kudhibiti
>>>>> umbea hadi kwenye mitandao ya kijamii. Jambo asilokuwa na
>>>>> uhakika nalo mtu akilisema na ikathibitika kuwa ni uongo
>>>>> aadhibiwe mara moja.
>>>>>
>>>>> Mkurugenzi huyu anaongoza chombo nyeti. Kuzushiwa jambo la
>>>>> hivi ni hatari si kwake tu, bali kwa taifa zima.
>>>>>
>>>>> Tujieshimu, tulete mada za kweli na si upuuzi kama huu.
>>>>>
>>>>> Balile
>>>>>
>>>>> ----------
>>>>> Sent from my Nokia phone
>>>>>
>>>>> ------Original message------
>>>>> From: RICHARD MGAMBA <rmgam...@yahoo.com>
>>>>> To: "wana...@googlegroups.com"
>>>>> <wana...@googlegroups.com>
>>>>> Date: Tuesday, July 23, 2013 10:00:14 AM GMT-0700
>>>>> Subject: Re: [wanabidii] TUHUMA ZA MKURUGENZI WA USALAMA WA
>>>>> TAIFA
>>>>>
>>>>> Dear wanabidii members,
>>>>>
>>>>> Please let us also be fair to men and women who have
>>>>> sacrificed their lives to save this country. The person in
>>>>> question holds a very sensitive position in this country and
>>>>> therefore discussing allegations, which have raised against
>>>>> him without proper evidence is very unfair.
>>>>>
>>>>>
>>>>> >____________________________**____
>>>>> > From: Yona Maro <oldm...@gmail.com>
>>>>> >To: wanabidii <wana...@googlegroups.com>;
>>>>> Wanazuoni <wana...@yahoogroups.com>
>>>>>
>>>>>
>>>>> >Sent: Tuesday, July 23, 2013 7:39 PM
>>>>> >Subject: [wanabidii] TUHUMA ZA MKURUGENZI WA USALAMA WA
>>>>> TAIFA
>>>>> >
>>>>> >
>>>>> >
>>>>> >Ndugu zangu
>>>>> >Kuna Habari imeingizwa kwenye mtandao huu zinazomhusu
>>>>> mkurugenzi wa usalama wa taifa anazohusishwa nazo katika
>>>>> mambo machafu kabisa ,
>>>>> habari hizo sio za kuangalia na kuacha hivi hivi tu haswa
>>>>> ukizingatia matukio
>>>>> ambayo yameikumba nchi yetu katika kipindi cha mwaka mmoja
>>>>> uliopita .
>>>>> >NUKUU YA UJUMBE WENYEWE
>>>>> >Dear Officer,
>>>>> >I would like to bring to your attention the following:
>>>>> >The Chief of Tanzania Intelligence Services is trying
>>>>> to
>>>>> assassinate Mama Maria Nyerere.
>>>>> >He has been given sensitive information about the War
>>>>> on
>>>>> Terror by an American Security Agency. He has recklessly and
>>>>> dangerously
>>>>> disclosed this information to his subordinates who have been
>>>>> using it for
>>>>> personal use.
>>>>> >He has been trying to blackmail a dignified Indian lady
>>>>> into
>>>>> marrying her. Her and her Indian relatives have threatened
>>>>> to leave Tanzania
>>>>> and have shared concerns about their safety with the
>>>>> American and British
>>>>> embassies and diplomats in Dar-Es-Salaam.
>>>>> >He has been personally trying to emigrate out of
>>>>> Tanzania and
>>>>> to the United States since 2009.
>>>>> >Mletaji wa habari ametaja kuhusu tuhuma za mkurugenzi
>>>>> kutaka
>>>>> kumuuwa mama maria nyerere ingawa hajasema ni kwa sababu
>>>>> gani ila ukirudi
>>>>> nyumba wakati wa chaguzi moja ndogo mkoani arusha kuna
>>>>> baadhi ya viongozi
>>>>> waliwahi kurushiwa maneno yanayohusiana na kifo cha mwalimu
>>>>> nyerere .
>>>>> >Mtaalamu mmoja wa masuala ya siasa aliwahi kuhoji
>>>>> kwanini
>>>>> nyerere alipelekwa st Thomas badala ya Sweden ambapo ndio
>>>>> kulikuwa na mabingwa
>>>>> wa ugonjwa uliokuwa unamsumbua ?
>>>>> >Pia ameongelea suala la mkurugenzi kupewa taarifa
>>>>> zinazohusiana na ugaidi nchini halafu akaamua kukaa kimya na
>>>>> baadhi ya
>>>>> washirika wake , kwahili tunajua matukio 3 yaliyotokea kwa
>>>>> kipindi cha miaka 2
>>>>> iliyopita , lile la padre kuuwawa Zanzibar , bomu kurushwa
>>>>> kanisani arusha na
>>>>> bomu kurushwa katika mkutano wa kampuni wa CHADEMA .
>>>>> >Kwenye hili la mwisho la mkurugenzi kuficha taarifa
>>>>> zinazohusiana na ugaidi nakumbuka mwanachama mmoja wa
>>>>> mtandao huu aliwahi
>>>>> kuonya kwamba suala la mabomu arusha linahusisha vyombo
>>>>> vyetu vya usalama na
>>>>> waliofanya unyama huo hawatakamatwa au kutiwa mikononi .
>>>>> >Hizi ni habari za kutisha na kusikitisha sana kama
>>>>> taifa
>>>>> tumefika katika hali hii na kama watu walioapa kulinda raia
>>>>> na mali zao nao
>>>>> wanageuka kuwa wazinzi wa raia na mali zao .
>>>>> >Hili halikubaliki na tunaomba mkurugenzi aachie wadhifa
>>>>> wake
>>>>> kupisha uchunguzi dhidi yake na ashitakiwe kwenye mahakama
>>>>> husika .
>>>>> >
>>>>> >--
>>>>> >
>>>>> >Find Jobs in Africa Jobs in Africa
>>>>> >International Job Opportunities International Job
>>>>> Opportunities
>>>>> >Jobs in Kenya Jobs in Kenya
>>>>> >
>>>>> >
>>>>> --
>>>>> >Send Emails to wana...@googlegroups.com
>>>>> >
>>>>> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> >wanabidii+...@**googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>>> >
>>>>> >Disclaimer:
>>>>> >Everyone posting to this Forum bears the sole
>>>>> responsibility for any legal consequences of his or her
>>>>> postings, and hence statements and facts must be presented
>>>>> responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
>>>>> and Guidelines.
>>>>> >---
>>>>> >You received this message because you are subscribed to
>>>>> the Google Groups "Wanabidii" group.
>>>>> >To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>>>>> from it, send an email to wanabidii+...@**googlegroups.com.
>>>>>
>>>>> >For more options, visit
>>>>> https://groups.google.com/**groups/opt_out<https://groups.google.com/groups/opt_out>
>>>>> .
>>>>> >
>>>>> >
>>>>> >
>>>>> >
>>>>> >
>>>>>
>>>>> --
>>>>> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+...@**googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>>>
>>>>> Disclaimer:
>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
>>>>> for any legal consequences of his or her postings, and hence
>>>>> statements and facts must be presented responsibly. Your
>>>>> continued membership signifies that you agree to this
>>>>> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>> ---
>>>>> You received this message because you are subscribed to the
>>>>> Google Groups "Wanabidii" group.
>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>>>>> from it, send an email to wanabidii+...@**googlegroups.com.
>>>>>
>>>>> For more options, visit
>>>>> https://groups.google.com/**groups/opt_out<https://groups.google.com/groups/opt_out>
>>>>> .
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> --
>>>>> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+...@**googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>>>
>>>>> Disclaimer:
>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
>>>>> for any legal consequences of his or her postings, and hence
>>>>> statements and facts must be presented responsibly. Your
>>>>> continued membership signifies that you agree to this
>>>>> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>> ---
>>>>> You received this message because you are subscribed to the
>>>>> Google Groups "Wanabidii" group.
>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>>>>> from it, send an email to wanabidii+...@**googlegroups.com.
>>>>>
>>>>> For more options, visit
>>>>> https://groups.google.com/**groups/opt_out<https://groups.google.com/groups/opt_out>
>>>>> .
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> --
>>>>> Send Emails to wana...@googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+...@**googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>>
>>>>> Disclaimer:
>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>> facts
>>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>>> you
>>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>>> Guidelines.
>>>>> ---
>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>> an email to wanabidii+...@**googlegroups.com.
>>>>>
>>>>> For more options, visit
>>>>> https://groups.google.com/**groups/opt_out<https://groups.google.com/groups/opt_out>
>>>>> .
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>
>>>>
>>>> --
>>>> Find Jobs in Africa <http://www.wejobsafrica.blogspot.com> Jobs in
>>>> Africa
>>>> International Job Opportunities <http://www.naombakazi.blogspot.com/>
>>>> International
>>>> Job Opportunities
>>>> Jobs in Kenya <http://www.findjobinkenya.blogspot.com> Jobs in Kenya
>>>>
>>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>
>>
>>
>> --
>> "Kama hawatuwekei mgombea mzuri, kwanini watutawale?" ~ *Mwalimu Julius
>> Kambarage Nyerere, Dar es Salaam, 1995*
>>
>
>
>
> --
> "Kama hawatuwekei mgombea mzuri, kwanini watutawale?" ~ *Mwalimu Julius
> Kambarage Nyerere, Dar es Salaam, 1995*
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment