Niliwahi kusema kuwa jukwaa hili linastahili kulinda heshima yake kwa kukemea habari za kipuuzi na umbea wa aina hii. Uingereza wiki iliyopita wameingiza mitandao ya kijamii kundi moja na magazeti vyote viwe chini ya sheria moja.
Mimi nadhani wakati umefika tutunge sheria ya kudhibiti umbea hadi kwenye mitandao ya kijamii. Jambo asilokuwa na uhakika nalo mtu akilisema na ikathibitika kuwa ni uongo aadhibiwe mara moja.
Mkurugenzi huyu anaongoza chombo nyeti. Kuzushiwa jambo la hivi ni hatari si kwake tu, bali kwa taifa zima.
Tujieshimu, tulete mada za kweli na si upuuzi kama huu.
Balile
----------
Sent from my Nokia phone
------Original message------
From: RICHARD MGAMBA <rmgamba2000@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 23, 2013 10:00:14 AM GMT-0700
Subject: Re: [wanabidii] TUHUMA ZA MKURUGENZI WA USALAMA WA TAIFA
Dear wanabidii members,
Please let us also be fair to men and women who have sacrificed their lives to save this country. The person in question holds a very sensitive position in this country and therefore discussing allegations, which have raised against him without proper evidence is very unfair.
>________________________________
> From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
>To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>; Wanazuoni <wanazuoni@yahoogroups.com>
>Sent: Tuesday, July 23, 2013 7:39 PM
>Subject: [wanabidii] TUHUMA ZA MKURUGENZI WA USALAMA WA TAIFA
>
>
>
>Ndugu zangu
>Kuna Habari imeingizwa kwenye mtandao huu zinazomhusu
mkurugenzi wa usalama wa taifa anazohusishwa nazo katika mambo machafu kabisa ,
habari hizo sio za kuangalia na kuacha hivi hivi tu haswa ukizingatia matukio
ambayo yameikumba nchi yetu katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita .
>NUKUU YA UJUMBE WENYEWE
>Dear Officer,
>I would like to bring to your attention the following:
>The Chief of Tanzania Intelligence Services is trying to
assassinate Mama Maria Nyerere.
>He has been given sensitive information about the War on
Terror by an American Security Agency. He has recklessly and dangerously
disclosed this information to his subordinates who have been using it for
personal use.
>He has been trying to blackmail a dignified Indian lady into
marrying her. Her and her Indian relatives have threatened to leave Tanzania
and have shared concerns about their safety with the American and British
embassies and diplomats in Dar-Es-Salaam.
>He has been personally trying to emigrate out of Tanzania and
to the United States since 2009.
>Mletaji wa habari ametaja kuhusu tuhuma za mkurugenzi kutaka
kumuuwa mama maria nyerere ingawa hajasema ni kwa sababu gani ila ukirudi
nyumba wakati wa chaguzi moja ndogo mkoani arusha kuna baadhi ya viongozi
waliwahi kurushiwa maneno yanayohusiana na kifo cha mwalimu nyerere .
>Mtaalamu mmoja wa masuala ya siasa aliwahi kuhoji kwanini
nyerere alipelekwa st Thomas badala ya Sweden ambapo ndio kulikuwa na mabingwa
wa ugonjwa uliokuwa unamsumbua ?
>Pia ameongelea suala la mkurugenzi kupewa taarifa
zinazohusiana na ugaidi nchini halafu akaamua kukaa kimya na baadhi ya
washirika wake , kwahili tunajua matukio 3 yaliyotokea kwa kipindi cha miaka 2
iliyopita , lile la padre kuuwawa Zanzibar , bomu kurushwa kanisani arusha na
bomu kurushwa katika mkutano wa kampuni wa CHADEMA .
>Kwenye hili la mwisho la mkurugenzi kuficha taarifa
zinazohusiana na ugaidi nakumbuka mwanachama mmoja wa mtandao huu aliwahi
kuonya kwamba suala la mabomu arusha linahusisha vyombo vyetu vya usalama na
waliofanya unyama huo hawatakamatwa au kutiwa mikononi .
>Hizi ni habari za kutisha na kusikitisha sana kama taifa
tumefika katika hali hii na kama watu walioapa kulinda raia na mali zao nao
wanageuka kuwa wazinzi wa raia na mali zao .
>Hili halikubaliki na tunaomba mkurugenzi aachie wadhifa wake
kupisha uchunguzi dhidi yake na ashitakiwe kwenye mahakama husika .
>
>--
>
>Find Jobs in Africa Jobs in Africa
>International Job Opportunities International Job Opportunities
>Jobs in Kenya Jobs in Kenya
>
>
--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
>
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment