Wednesday, 24 July 2013

Re: [wanabidii] Machumu ateuliwa kuwa Mhariri Mtendaji MCL

Nakumbuka alinitangulia pale sua mwaka mmoja yeye alimaliza 1997 na
akina dr. mathayo david waziri wa uvuvi na maendeleo ya mifugo.
Nakumbuka alikuwa mchezaji mzuri wa mpira wa miguu kuna wakati
nilikuwa nacheza naye sehemu ya ulinzi wa kati. mara baada ya kumaliza
yeye na wahitimu wenzake wawili walianzisha gazeti la mambo ya sanaa.
mmoja kati ya hao wawili alikuwa Oliver Mwikila simkumbuki jina yule
wa tatu lakini alikuwa anafanya masters ya economics pale sua. aliwahi
kufanya kazi pia business times kabla ya kujiunga mcl. nimekutana nae
mara ya mwisho pale serena wakati ujumbe wa fifa ukiwahoji wadau wa
mpira wa miguu kuhusiana na sakata ya uchaguzi. hatukuwahi kuongea kwa
kirefu. namtakia kila la kheri katika nafasi yake mpya

On 7/24/13, Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com> wrote:
>
>
>
> Comrade Magessa;
> Naomba ufafanuzi kdg kuhusu neno lako la mwisho 'tujadili' unamaanisha
> nini?
>    1. Tujadili uteuzi wake?
>    2. Tujadili elimu yake ya KILIMO katika fani ya upashanaji habari?
>    3. Tujadili kama anakubalika kujiunga na jukwaa a) la Wanabii au   b)
> Jukwaa lenu la Wanahabari?
>
> Reuben
>
>
>
>
>>________________________________
>> From: Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
>>To: mabadilikotanzania@googlegroups.com; wanabidii@googlegroups.com
>>Sent: Wednesday, July 24, 2013 1:17 PM
>>Subject: [wanabidii] Machumu ateuliwa kuwa Mhariri Mtendaji MCL
>>
>>
>>Nimesoma kwenye gazeti la Mwananchi leo kuwa aliyekuwa mhariri wa
>>gazeti la citizen bw. Bakari Machumu sasa anakuwa Mhariri Mtendaji wa
>>Magazeti ya MCL. Tumpongeze na tumkaribishe mabadiliko. Meena
>>tafadhali mkaribishe jukwaani.
>>Elimu yake ni digrii ya sayansi ya KILIMO aliyoipata SUA!, tujadili
>>
>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment