Lingonet,
Ninachotaka mimi kuelewa ni namna ya Muungano wa Mkataba unavyofanya kazi. Hilo ndilo ninalotaka kujua. Ni kweli hata mfumo wa serikali mbili tulizonazo hakuna mfano wake popote duniani, lakini kiu yangu ni kutaka kujua huu muundo wa mkataba unafanya vipi kazi?
Mfano wako wa kulinganisha ushindani kati ya mwanamke na mwanaume na ukaupachika na kuuhusisha na ushindani kati ya Bara na visiwani, sina hakika sana kama ni mfano mzuri na unahusiana. Nafikiri hayo ni mambo mawili tofauti na yapo mbalimbali, huwezi kuyalinganisha. Sasa hapo kati ya pande hizi mbili ni nani mwanamke na nani mwanaume?
Suala la wanawake lina historia yake, utamaduni wetu, mfumo dume umewafanya wawe ni late comers na hivyo tukaamua kuwa na affirmative action ili kuongeza ushiriki wao. Sababu zao za kihistoria zinajulikana na wala sina haja ya kueleza hapa. Sasa, unashauri pia kuwa na affirmative action kwa upande wa Zanzibar katika kuukwaa Urais? kama hivyo ndivyo, kwa sababu zipi? what is the rationale for that?
Kwa taarifa yako, hata kwa mfano uliotoa wa wanawake, baadhi ya watu wanashauri tuachane na huo utaratibu wa viti maalum.
Rais anachaguliwa na wananchi, kwa kukidhi vigezo na sifa ambazo wananchi wenyewe wanaona vinahitajika. Hapa hakuna affirmative action. Ni sifa, ni vigezo na ni kazi ya chama cha siasa kusimamisha mgombea ambaye anazo sifa na atawaletea ushindi. Kwa mfano, mwanasiasa kutoka Zanzibar mwenye upeo, uzoefu, uadilifu na kaliba anaweza kabisa kushinda uchaguzi na kupata kura nyingi sana kutoka Bara. Mathalani, mwanasiasa kutoka Zanzibar kama Salim Ahmed Salim, anaweza kabisa kushinda. Labda tatizo hakuna wanasiasa wengi wenye kaliba kama hii. Sasa hapo tatizo ni lingine na inabidi litafutiwe dawa, na dawa haiwezi kuwa ni utaratibu wa kupokezana.
Selemani

> Date: Fri, 26 Jul 2013 09:09:59 +0100
> From: lingonetlindi@yahoo.co.uk
> Subject: RE: [wanabidii] KUTOKUBALIKA KWA MUUNGANO WENYE SERIKALI MBILI NA TATU
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Hallo selemani
>
> katika kudhani unafanya jambo zuri tusitake mifano ya nani anafanya kuwa ndio uthibitisho wa ubora wa jambo ,kwani hata mfumo wa serikali mbili tulizonazo hakuna mfano wake popote duniani,sisi watanzania ndio wakwanza na tunang'ang'ania kuwa ni mzuri
> pili suala la kuwa na zamu katika uongozi kwa mazingira yetu ni sahihi kabisa hatuwezi kuweka mazingira ya ushindani kwa Tanganyika na Zanzibar kama tulivyoona kuwa haiwezekani kuwa na ushindani kwa mwanamke na mwanamme katika nafasi za uchaguzi kwani mazingira yetu na mifumo yetu ingehakikisha mwanmme anashinda kila wakati,hivyo ni bora kukawa na zamu ya uraisi wa muungano ilikutoa nafasi kwa pande zote za muungano kuongoza serikali ya muungano kuliko kushindanisha mtanganyika na mzanzibar kwa uwiano gani wa kura milioni 40 na milioni 1.
> lakini tatu na muhimu kabla ya kuendelea au kuvunja muungano ni lazima tuwe na kura ya maoni kuona je tunauhitaji muungano au la ili kuona sababu zilizo wafanya waasisi wetu kuwa na muungano bado zinaishi na tunazihitaji
> --------------------------------------------
> On Thu, 25/7/13, Selemani Rehani <srehani@hotmail.com> wrote:

> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, 25 July, 2013, 12:29
>
>
>
>
> Asante Fakhi kwa maelezo yako mazuri.
> Nataka tu ku-engage na wewe katika majadiliano haya ili
> niweze kukuelewa vizuri zaidi.
>
>
>
> Kwanza, utaratibu wa kupokezana. Nadhani
> umejenga hoja zako kuhusu utaratibu huu, lakini mwishoni
> wewe mwenyewe unajichanganya na kujikanganya na kujipinga
> mwenyewe. Umeeleza kwa kirefu uzuri wa kupokezana mwishoni
> unasema "utaratibu huo kwa kutumia mfumo wa serikali
> mbili zilizopo au shirikisho la serikali tatu
> zilizopendekezwa na Tume ya Warioba hautekelezeki kwa
> kuzingatia utaratibu wa kiuchaguzi na misingi ya
> demokrasia."
>
>
>
> Baada ya kuwa
> umejipinga mwenyewe sidhani kama kuna haja ya kujadili wazo
> hili la kupokezana tena. Ila nadhani utakubalina na mimi
> kuwa mwenye sifa ndio anafaa kuwa Rais, haijalishi anatoka
> Bara au visiwani. Kama wapo wenye sifa Zanzibar, mimi sina
> tatizo, hata wakiwa Marais mfululizo kwa miaka chungu nzima,
> kwangu hilo ni sawa, almuradi wana sifa na wanaipeleka nchi
> kule tunakotaka. Kwangu mimi, kiongozi ni yule atakayekuwa
> na mikakati ya kuboresha huduma za jamii, ziwe nzuri. Elimu
> bora, afya bora, makazi bora, maji safi na salama, miundo
> mbinu n.k. Kwangu hivi ndio vya msingi na wala si eti
> anatoka Zanzibar au Bara, kwangu mimi hii si hoja ya msingi.
> Kama hawezi kutupa huduma za jamii na kuondoa umaskini na
> rushwa, hata niwe nimezaliwa naye hafai au hata tuwe
> mapacha, hafai.
>
>
>
> Kama wewe
> unaamini Wazanzibari wana sifa basi let them put their names
> forward kupitia vyama vyao na kama vyama vitaona
> wanachagulika na wana sifa basi vitawasimamisha. Kama una
> amini wana sifa kwa nini unataka iwe zamu zamu?! kwa
> nini usiache ushindani kuchukua mkondo wake? Kwa mfano, CCM
> wakiamua kumsimamisha Juma Shamhuna, au Raza sawa
> tu kama wanaona anachagulika. Ndugu yangu cha msingi ni sifa
> za kuchagulika tu.
>
>
>
> Utaratibu wa Rais za Zanzibar kuwa
> Makamu wa Rais: Sababu ninayoijua mimi iliyopelekea
> kubadili utaratibu huu ni tahadhari ya msingi kabisa, kuwa
> kulikuwa na uwezekano kabisa wa chama A kushinda Zanzibar na
> chama B kushinda Bara. Sasa kama ingetokea hivyo, maana yake
> ni kuwa Rais wa Zanzibar mathalani akatoka CUF na Rais wa
> Tanzania akatoka CCM, sasa iwepo anakuwa moja kwa moja ni
> Makamu wa Rais, wataweza vipi kuendesha serikali wakati
> wanatoka vyama tofauti wakiwa na sera tofauti? kumbuka kuwa
> dhana za coalition government kwa nchi nyingi za Afrika bado
> ni ngeni na changa sana. Kwa hiyo mabadiliko hayo
> hayamkumlenga Seif bali hali halisi ambayo ipo wazi CUF na
> CCM wamekuwa wakipisha kidogo sana katika kura za uchaguzi
> Zanzibar. Hivyo upo uwezekano wa CUF kushinda uchaguzi
> visiwani na wengine wanaamini kuwa ni CUF ndio wamekuwa
> wakishinda ila wanaporwa ushindi.
>
>
>
> Lakini pia
> haikuwa sahihi kwa Rais wa Zaznbar automatically kuwa Makamu
> wa Rais, kwani hakuwa amechaguliwa na wananchi huku Bara. Na
> kumbuka kuwa iwapo Rais angefariki basi yeye angekuwa Rais.
> Hivyo kulikuwa na hatari ya kuwa na Rais ambaye
> hatukumchagua sisi wa Bara ilia alichaguliwa na wananchi wa
> visiwani. Utaratibu huo haukuwa mzuri kwa sababu
> hizo.
>
>
>
> Binafsi yangu
> wakati wa utawala wa Mwinyi, sijawahi kusikia
> malalamiko ya eti Zanzibar wametoa Rais na makamu wa Rais.
> Inawezekana unachosema ni kweli lakini pia you need to bear
> in mind kuwa tupo katika mfumo wa vyama vingi na kila chama
> ni lazima kisimamishe mgombea ambaye ana sifa , ataleta
> ushindi na anachagulika, kigezo cha mahali anapotoka si cha
> msingi sana. Yale yaliowezekana wakati wa mfumo wa chama
> kimoja yanaweza yasiwezekane katika mfumo wa vyama
> vingi.
>
>
>
>
>
> Muungano wa mkataba: Pia
> umelizungumzia hili. Umesema iwepo tume au kamisheni ya
> muungano. Hebu fafanua zaidi na tupe mifano ya nchi nyingine
> ambazo zina muundo huu. Tueleze unafanya kazi vipi?
> unaundwaje? na masuala ya muungano yanakuwaje katika
> mazingira ambayo kila nchi ina mamlaka yake? Je muungano
> unakuwa katika mambo gani? na unaendeshwaje? una mifano
> katika nchi nyingine? huoni kama hilo litavunja muungano? au
> nia ni kuvunja muungano ila mnazunguka kwa mlango wa nyuma?
> itakuwa vizuri u/mkiwa wazi na kusema je muungano mnautaka?
> au hamuutaki?
>
>
>
> Asante
>
>
>
> Selemani
>
>
>
>
>
>
> Date: Thu, 25 Jul 2013 13:26:20 +0300
> Subject: [wanabidii] KUTOKUBALIKA KWA MUUNGANO WENYE
> SERIKALI MBILI NA TATU
> From: fkarume@gmail.com
> To: wanaBidii@googlegroups.com
>
>
> KUTOKUBALIKA
> KWA MUUNGANO WENYE MIUNDO WA SERIKALI MBILI NA
> TATU
>
> Kwanza
> ifahamike kwamba zilizoungana ni nchi mbili tofauti,
> Tanganyika na Zanzibar na hivyo kabla ya muungano zilikuwa
> na heshma na hadhi sawa kama mataifa huru na bila shaka
> ndani ya muungnao inapaswa kuwa hivyo.
> Kwa mtazamo
> huo basi ndani ya muungano wa serikali 2 na hata shirikisho
> la serikali tatu zilizopendekezwa katika rasimu utaratibu wa
> upatikanaji wa Rais wa muungano hauna budi kuwa ni kwa
> msingi wa kupokezana zamu ili kujenga sura ya usama na
> heshima kwa nchi mbili zilizoungana katika suala la uongozi
> wa juu wa nchi.
> Wapo baadhi
> ya viongozi kutoka Bara wanabeza utaratibu wa urais kwa
> kupokezana zamu kwa kuweka hoja kwamba eti tusilazimishe
> utaratibu huo kwani itapelekea kupata Rais asie makini na
> mwenye sifa kutoka uopande wenye zamu kwa kumzuia mwenye
> sifa kutoka upande wa pili usio na zamu. Hoja hii si ya
> msingi na pia ni hoja ya uongo.
>
> 1. Ni hoja
> ya isiyo ya msingi kwa sababu hakuna taifa kati ya mataifa
> haya mawili ya Tanganyika na Zanzibar yenye historia ndefu
> kutokea uhuru. Hakuna nchi hata moja kati ya mbili hizi
> yenye ukosefu wa wasomi na wanasiasa wenye uzoefu na maarifa
> ya kutosha kuwa viongozi wakuu wa nchi wenye sifa. Mimi
> nadhani watoaji wa hoja hiyo wanakusudia kwamba inaweza
> ikafika zamu ya Zanzibar lakini Zanzibar huko kusiwe na
> Mgombea wa Urais mwenye sifa lakini upande wa Tanganyika
> ambao haupo katika zamu yupo mwenye sifa ila amekwazwa na
> kigezo cha zamu. Hii ni kwa kuwa siku zote watanganyika
> wasioipenda muungano wa haki na usawa wamekuwa
> wakiwazingatia wazanzibari kama ni watu wasijuwa kitu au
> wasaidizi tu katika utaratibu wa uongozi katika masuala ya
> Muungano pamoja na serikali yenyewe ya muungano.
>
> 2. Pia nii
> hoya ya kujifichia kwani utaratibu wa mwanzo wa muungano
> uliosema makamo wa Rais atakuwa Rais wa Zanzibar unafichua
> unafiki wa hoja hii. Ilipofika kipindi cha awamu ya pili,
> Rais wa Muungano alipokuwa Mzee Ali Hassan (anaedaiwa kuwa
> ni mzanzibari), Rais wa Zanzibar Mzee Idris Abdulwakil
> alikuwa Makamo wa Rais wa muungao pia mzanzibari. Msingi wa
> malalamiko ya upande wa bara hapa ilikuwa eti Zanzibar
> imetoa Rais wa muungano pamoja na Makamo wake. Hilo
> liliendelea kuwa halipendwi upande wa Bara mpaka pale katiba
> ilipobadilishwa mwaka 1994 ili isije ikatokea tena kama
> kipindi cha Mwinyi Zanzibar kutoa Rais na Makamo wake na
> badala yake kuwekwa mgombea mwenza ndio awe Makamo wa
> Rais.
>
> Ili kuwaziba
> macho wana CCM wa Zanzibar walikubali hilo upande wa bara
> ulitumia kisingizio kwamba ni kumzuia Maalim Seif asiwe
> Makamo wa Rais wa Muungano pale atakaposhinda Urais wa
> Zanzibar kwani utalifanya baraza la mawaziri kuwa na
> mpinzani na hata Rais wa Muungano kuwa mpinzani pale Rais
> atakapopata dharura ya kuondoka katika kiti chake. Upande wa
> bara walipata kichaka hicho na wauza nchi wa Zanzibar
> wakaridhia kubadilishwa kwa utaratibu wa Rais wa Zanzibar
> kuwa Makamo wa Rais. Hoja hapa ni kwamba hata watanganyika
> wenyewe hawapendi kuona Zanzibar inatoa viongozi wengi kwa
> wakati mmoja au kwa mfululizo wa vipindi, hivi inakuaje leo
> walete hoja ya kutokuwepo ulazima wa kubadilishana Urais kwa
> kuchelea Rais asiye na sifa?
>
> Tukirejea
> katika mchakato wa maoni hata CCM wauza nchi waliopo
> Zanzibar wanasisitiza Urais wa muungano uwe ni kwa utaratibu
> wa zamu baina ya Tanganyika na Zanzibar, hivi ndivyo maoni
> yao yalivyokuwa na kwa hili tunawaunga mkono, wako juu ya
> mstari.
>
> Sasa tuje
> katika msingi wa hoja hii, pamoja na kwamba upo ulazima wa
> kubadilishana Urais wa muungano baina ya Tanganyika na
> Zanzibar, suala hilo linajidhihirisha kuwa ni gumu na
> lisilowezekana kwa kutumia mfumo wa muungano wa kijamhuri
> uwe wa serikali 2 zilizopo au shirikisho la serikali 3
> zilizopendekezwa na Jaji Warioba.
> Kwa
> utaratibu wa chaguzi, ili kumpata Rais ambae atatoka upande
> mmoja wenye zamu ni lazima upande wa pili usiweke mgombea,
> na hili liwe ni kwa vyama vyote. Hii ni kwa sababu mgombea
> akisimama kutoka pande zote mbili uwezekano sawa wa kila
> mgombea kutoka pande mbili za muungano kuwa Rais upo . Kwa
> mujibu wa tofauti za kimitazamo za vyama vingi vya siasa za
> Tanzania vlivyopo si jambo la rahisi baadhi ya vyama
> kukubali utaratibu chama chao Fulani kisisimamishe mgombea
> wa Urais.
>
> Hata hivyo
> tuseme hilo la upande mmoja kutoweka mgombea limekubaliwa na
> vyma vyote, basi sasa kutakuwa na kikwazo cha uhalai wa Rais
> huyo kwani upande ambao hauna zamu utalazimika kutokumpigia
> kura mgombea, kwa msingi kwamba zamu ya Urais ni kutoka
> upande mmoja na hivyo anapaswa kupata ridhaa ya nupande huo
> wenye zamu tu, upande wa pili haupaswi kuwa na ridhaa ya
> mgombea huyo ili kutoingilia matashi ya upande wenye zamu
> juu ya ni nani wanamtaka awe Rais wao. Hakadhalika Suala la
> upande usio na zamu kulazimika kutokupiga kura ya kumchagua
> Rais ambae ndie Mkuu wa nchi yao kunaondosha uhalali wa Rais
> huyo kwani bila shaka atakuwa hana ridhaa ya wananchi kutoka
> katika nchi ya pili inayounda muungano.
>
> Hivyo basi
> utaratibu wa kupokezana Urais pamoja na ukweli kwamba
> hauepukiki baina ya pande mbili za muungano, utaratibu huo
> kwa kutumia mfumo wa serikali mbili zilizopo au shirikisho
> la serikali tatu zilizopendekezwa na Tume ya Warioba
> hautekelezeki kwa kuzingatia utaratibu wa kiuchaguzi na
> misingi ya demokrasia.
> Hivy basi
> mfumo pekee ni kutokua na serikali ya Muungano badala yake
> kuwe na chombo tu kinachounganisha nchi mbili kwa mfano tume
> ya Muungano au kamisheni ya muungano. Huu ndo muungano wa
> MKATABA. Nchi mbili zinabaki zikiwa na mamlaka yake na
> marais wake bila ya kuingiliana na mwenzake huku masuala
> machache ya muungano yakitaribiwa na chombo hicho.
>
> "MBILI",
> "TATU" NO!, MUUNGANO WA "MKATABA"
> HAUEPUKIKI
>
> JAMHURI YA
> WATU WA ZANZIBAR KWANZA!!
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment