Mbowe yupo sahihi. Kama watuhumiwa ni polisi wana haki gani tena ya kupewa ushahidi kutoka kwa mtu anayewatuhumu. Hata simple logic haikubali hili hata kidogo. Jambo jingine la kushangaza sana ni kuwa tukio lile lilifanyika polisi wengi wakiwepo, ina maana pamoja na kuwepo pale bado hawana ushahidi wowote wa kuaminika walio nao kiasi kwamba wategemee ushahidi wa Mbowe tu? Intelijensia inayotamkwa kila siku ipo wapi kama inashindikana kubaini wahusika wa uhalifu kwa uhalifu unaofanyika wakiwa hapo hapo? Kama inashindikana kwa tukio lililofanyika wakiwepo, tutegemee nini kwa yale ambayo yanatendeka wakati polisi hawapo na kisba hupelekwa kupeleleza baadaye? Nilitegemea Polisi wana ushahidi wao wa uhakika kuhusu taarifa walizozitoa kuhusiana na tukio lile baya, wangemshtaki Mbowe kwa kusema uwongo na kulichafua Jeshi la Polisi, na huko mahakamani Mbowe angeutoa huo ushahidi, mahakama ingeupima kama aliyoyasema ni ya kweli au hapana. Sent from Yahoo! Mail on Android |
From: hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la polisi nchini
Sent: Thu, Jul 25, 2013 7:27:59 PM
| Siku zote huwa naamini Elisa Muhingo ni mtu matured na makini kwenye analysis za kisiasa...hivi haya amaeandika mwenyewe ama account yake imeibwa? Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Thu, 25 Jul 2013 01:02:06 -0700 (PDT) To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la polisi nchini Safi kabisa. Hata wakimkata kichwa asiwape mkanda kwa sababu hizo hizo. Kama wanahusika hawawezi kupewa mkanda huo. Kitendo cha dola kuwaacha waendelee kuuomba wakati mtuhumiwa anasema wanahusika nalo ni Ombwe la uongozi. Demokrasia inaelekea kwenyewe. Lazima ipiganiwe. From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Wednesday, July 24, 2013 3:27 PM Subject: [wanabidii] Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la polisi nchini Mwenyekiti wa Taifa Chadema na Kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la polisi nchini na kwa sasa yuko chini ya ulinzi mkali sana wa Polisi. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment