Wednesday 26 June 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] TAFAKARII

""""Labda kwa sababu ya mgeni anayekuja!!!!!"""

Lakini pia wanahitajika hawa wafanyabiashara waandaliwe maeneo ambayo ni ya kimkakati kwa biashara zao, kwa kuyaweka karibu ya wateja wao.

Hii itasaidia kuepuka jengo kama Machinga Complex lililojengwa kwa gharama kubwa lakini wahusika hawataki kulitumia ambalo ni pesa za wanachama wa mfuko wa jamii.

Na pia ni vizuri maendeleo ya viwanda yakafanywa mikoani ili kuweza kuboresha maisha uko Kwakuwa watafanya shughuli  Kama hizo kwakuwa watu watahitaji huduma hizo  na kujipatia kipato ili kupunguza ili tatizo la kukimbilia Dar, mpk jiji linatapika kwa kuzidiwa na kusababisha gharama kubwa kwa mamlaka za  mji wa Dar kuweza kuusimamia kwa huduma zote kama; uzoaji taka, hupatikanaji wa maji, makazi na viwanja vya makazi yaliyorasmi, ulinzi n.k

Viwanda na shughuli nyingine zinazogundulia mikoani kama uchimbaji madini, viwanda, na rasilimali zingine vifanyike uko ili kuwezesha fursa za kiuchumi zinazogunguliwa uko kwa sasa pamoja na kuboresha miundombinu hii italeteleza kuwepo na mzunguko wa pesa kwa maeneo hayo, na kupunguza msongamano jijini Dar!

On Jun 26, an2013, at 12:51, Jonas Kiwia zu<jonaskiwia39@gmail.com> wrote:

Hii ni haki jamani,nimepita hapa magomeni muda sio mrefu na kukuta wamachinga wenye vibanda vyao wakikamatwa na askari mgambo. Na vibanda vyao kuvunjwa vunjwaa.
Kulikua hamna namna mbadala ya kulishughulikia hili mpaka na maaskari wakiwa na mabomu  pia?

Mboona nguvu nyingi kwa vitu vidogo?
Nawaza

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 
<IMAG0329.jpg>
<IMAG0326.jpg>
<IMAG0322.jpg>
<IMAG0327.jpg>

0 comments:

Post a Comment