Wednesday 26 June 2013

Re: [wanabidii] Zitto Zuberi Kabwe Kuanzisha Chama Kipya cha Siasa

Huenda hii bidii ya kujadili watu na matukio ikawa ni uthibitisho tosha wa aina za watu tunaoratibu jukwaa hili. Inachosha kusoma mizengwe ya watu kila siku bandugu.

Huenda hatuhitaji bidii tena bali mabadiliko ya bidii. Bidii hii ni hasara kwa taifa.

Sent from Yahoo! Mail on Android

From: Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Zitto Zuberi Kabwe Kuanzisha Chama Kipya cha Siasa
Sent: Wed, Jun 26, 2013 3:27:14 PM

Jukwaa limepoteza mvuto na ni kama vile liko kwenye last kick of death! Hili sio lile jukwaa la wanabidii lililokuwa linajadili hoja kwa hoja, kwa sasa kule Mabadiliko ndio kumekucha, huku endeleeni majungu ya kujadili watu wakati mambo ya msingi yanaachwa.
...
"All those that fight when oppressed incur no guilt, but Allah shall punish the
oppressor." Come the day.
...Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: GEORGE MBOJE <mbojegeorge@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 26 Jun 2013 17:49:35 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Zitto Zuberi Kabwe Kuanzisha Chama Kipya cha Siasa

Mi nadhani jukwaa linatakiwa kuwa na mijadala ya jinsi gani nchi yetu itaweza kukua na kuimarika kiuchumi, sasa hizi habari za kutungwa ndizo zinazofanya watu wengi kujiondoa kwenye jukwaa maana mijadala haina mantiki. Safari ya zitto ujerumani ilishaelezwa kwenye blog yake. Vyema tukawa na mijadala ya kujenga nchi yetu, Tuna mambo mengi ya kujadili humu, Mfano  Wakulima hawapati bei nzuri za mazao yao, Foleni kwenye miji mikubwa, Usalama wa nchi, vijana na madawa ya kulevya, Mazingira na usafi wa miji yetu. nk
Tujikite kwenye mijadala ili jukwaa liwe na mvuto. 
Nawaza kwa sauti
Mboje

2013/6/26 Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
Bahati,
 
Tusipoteze muda kujadadili uvumi usiokuwa na kichwa wala miguu. Mnapenda sana kujadili masuala yasiyokuwa na hata chembe uthibitisho!!!
 
Date: Tue, 25 Jun 2013 08:57:11 -0700

Subject: Re: [wanabidii] Zitto Zuberi Kabwe Kuanzisha Chama Kipya cha Siasa
From: ribahati@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Badala ya kutengenza aliance zenye nguvu tutaishia kuanzisha vyama hadi vya vijiji. Ushindani wa kisiasa unatakiwa kuwa na aliance mbili zenye nguvu sawa na sera mbadala. Hapo mtu mwenye uwezo wake wa kufikiri atachambua sera za aliance fulani na kuamua kujiunga au kukichagua si kwa kuwa tu kina elements fulani bali kwa kuwa kina sera zitakazomfanya awe na maisha bora.

2013/6/25 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Kingine ni suala zima la kujisimamia au kusimamia ndugu zitto bado anahitaji kusimamiwa katika masuala kadhaa wa kadhaa na hilo ndio naona suala kuu  linalomtupa nje kwenye kinyanganyiro na wenzake ndani ya CDM kwa kipindi kirefu .

On Tuesday, June 25, 2013 4:10:42 PM UTC+3, Yona F Maro wrote:
Kama nia yake ni kuwa mwenyekiti tu wa chama na kugombea urais nampa hongera kwenda chama kingine au hata kuanzisha chama kipya , lakini kwa nia ya kujijenga zaidi namshauri apambane kwenye mfumo uliokuwepo bila kuchoka na bila kukata tamaa hata hao anaohisi hawamtaki au wamemtenga kwa namna fulani siku watamkubali tu lakini aendeleze uvumilivu .

2013/6/25 BILLEGEYA, Mussa <msbillegeya@yahoo.com>
Kama Taarifa hii ni kweli basi Zitto namshauri badala ya Kuanzisha Chama Kipya, bora ajiunge na CUF, ni Chaguo bora zaidi kwa mustakabali wake wa Kisiasa kuliko kuanzisha Chama kingine.... Nina makusudi ya kutokumshauri aingie NCCR Mageuzi au Chama kingine.

Kama asipoingia CUF, badala ya kuanzisha Chama Kingine - bora aamue kuacha Siasa na siku ya kutangaza uamuzi huo wa kuacha Siasa aseme amefikia maamuzi hayo magumu "Kwa Sababu Binafsi na za Kifamilia" na asiongeze maneno mengine zaidi ya hapo - awaachie speculators wabaki wanabahatisha sababu. Vinginevyo ata-risk kupoteza Ubora, Sifa na "Utukufu" aliokwisha jipatia katika jitihada za kulisaidia taifa hili na siasa za nchi hii kwa ujumla kwa miaka mingi....
 
BILLEGEYA, Mussa,
Twitter: @MBillegeya

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, June 25, 2013 1:42 PM
Subject: Re: [wanabidii] Zitto Zuberi Kabwe Kuanzisha Chama Kipya cha Siasa

Moja kati ya sumu inayokisubiri ni ushabiki utakaotokea CCM kama tunavyoonaga wakimzungumzia humu na kwingine.
La pili kama hatapata watu walio na tabia tofauti ya zake. neno hili ni pana na kweli. huenda akashauliwa kukana tena. Wapo watakaoamini kuwa haukuwepo mpango

--- On Tue, 6/25/13, F kitigwa <kitigwa@gmail.com> wrote:

From: F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Zitto Zuberi Kabwe Kuanzisha Chama Kipya cha Siasa
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, June 25, 2013, 3:37 AM

siku akianzisha ndo kifo chake cha kisiasa, maana atafanikiwa kwa muda tu kisha linafuata anguko kuu na hatainuka tena
Kama anabisha ajaribu

On Tue, Jun 25, 2013 at 1:35 PM, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Huenda si kweli au huenda ni kweli. nitapenda kujua kama ni Chama kibya au ni 'C' ya CCM au vinginevyo. maneno ya kwanza yatatupa kujua kikisha ingia mitaani

--- On Tue, 6/25/13, paul lawala <pasamila292000@gmail.com> wrote:

From: paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Zitto Zuberi Kabwe Kuanzisha Chama Kipya cha Siasa
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, June 25, 2013, 3:09 AM

Jikoni wapi?hizo alishakanusha mara nyingi

On Tue, Jun 25, 2013 at 3:03 AM, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
Taarifa toka jikoni zinasema Kigogo wa CHADEMA mhe Zitto Zuberi Kabwe anatarajiwa kuanzisha chama kipya cha siasa .

Amekuwa katika mikakati mizito nchini ujerumani na nyingine za ulaya kwa ajili ya kukusanya nguvu na watu kwa ajili ya kuanzisha chama hicho cha siasa .
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Uganda 

0 comments:

Post a Comment