Saturday, 22 June 2013

Re: [wanabidii] MSIBA UDSM – MWANAFUNZI AUWAWA NA MAJAMBAZI

Serikali yetu ni "sikivu" haina pesa za kujengea hostels ili kuwakinga wanafunzi wasiuliwe na majambazi--wako busy na CHADEMA. Pesa ambazo zingetumika kujenga hostels ktk maeneo ya chuo zishatumika kununulia risasi na mabomu kwa ajili ya kuwalipulia CHADEMA. Maisha bora kwa kila mtanzania ni ununuzi wa mabomu, paper spray, bunduki na magruneti ya kulipua kwenye mikutano ya wapinzani!!!

From: anna nyanga <luguanna@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, June 22, 2013 1:24 PM
Subject: Re: [wanabidii] MSIBA UDSM – MWANAFUNZI AUWAWA NA MAJAMBAZI

Sasa hivi kuna PPP, kama unauwezo wa kujenga hostel jitokeze chuoni. Kaone huo uwezekano wa kuwekeza. Kama peke yako huwezi tengeneza kampuni na piga hatua nenda mbele.
 
Lakini tatizo pengine ni swala la ulinzi wa raia na mali zao. Hawa watoto wanakuwa na vivutio kama laptop na vijisent je utaratibu wa ulinzi ukoje nchi nzima, pamoja na hapo penye tukio. Kama wazazi tunamchango gani kuona watoto wapo salama?

From: Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
To: Wanabidii googlegroup <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, June 22, 2013 11:15 AM
Subject: RE: [wanabidii] MSIBA UDSM – MWANAFUNZI AUWAWA NA MAJAMBAZI

Naishangaa serikali kushindwa kujenga hostel za wanafunzi katika eneo la mlimani mbona wana maekari ya maeneo yapo wazi? Kama serikali haiwezi si watafute wawakezaji ili wanafunzi wote wa vyuo vya Dar wawe wanaishi kwenye hizo hostel. Hata NSSF wanaweza kufanya hiyo kazi.  Jamani viongozi wetu kuweni basi wabunifu tuokoe maisha ya watoto wetu wanaowawa  huko mitaani wanakopanga.
 
Date: Fri, 21 Jun 2013 07:55:32 -0700
From: gikaroryoba@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] MSIBA UDSM – MWANAFUNZI AUWAWA NA MAJAMBAZI
To: wanabidii@googlegroups.com

Mungu wangu! Serikali ifanye kila linalowezekana kujenga uzio kuzunguka hostels za wanafunzi ili kuzuia mauaji haya ya kipuuzi. Kwa bahati mbaya tunaambiwa kwamba polisi wa doria hawatoshi kulinda maeneo yote lakini linapokuja suala la kusamabaratisha mikusanyiko ya chadema, polisi wanakuwa ni wengi kuzidi kiasi. Kwanini hawa polisi wanaotumiwa vibaya na wanasiasa wasiwe wanalinda usalama wa wanafunzi na mali zao? Mungu ibariki Tanzania na raia wake, Mungu walaani mafisadi na wachumia tumbo!!!

From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, June 21, 2013 5:37 PM
Subject: Re: [wanabidii] MSIBA UDSM – MWANAFUNZI AUWAWA NA MAJAMBAZI

Mwanafunzi mmoja kati ya wanafunzi wanne wa mwaka wa IV wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kampasi ya Mlimani wamevamiwa na majambazi usiku wa kuamkia leo katika eneo la Yombo la Chuoni hapo. 
 
Inataarifiwa kuwa waanafunzi hao walikuwa wanajisomea na kuandaa "dissertation" zao kwa mwaka wao wa mwisho wa masomo, na ghafla wakavamiwa na watu waliowaamuru watoe kompyuta zao na pochi za fedha. Wanafunzi hao walikubali shuruti hiyo lakini mmoja wa wanafunzi alipoomba walao wachukue nakala ya documents zao kutoka kwenye computer hizo, ndipo mmoja wa majambazi hayo alipomoiga risasi ya tumbo mwanafunzi huyo, ambaye alianguka chini.

Imeelezwa kuwa wanafunzi wengine kuona hivyo waliwasiliana na uongozi wa Chuo kuomba gari la kumwahisha mwenzao Hospitalini.

Taarifa zaidi za hali ya majeruhi huyo bado hazijawekwa bayana.

Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya kuwavamia wanafunzi vyuoni kwa nia ya kuwapora ama kuwabaka, jambo ambalo limewaacha wengi wakiwa na hofu juu ya usalama wao, baada ya wenzao kupoteza vifaa vyao ama kujeruhiwa na wengine wakipoteza uhai.

Baadhi ya matukio haya yameripotiwa na wanafunzi kuandamana katika vyuo vya St John's Dodoma, IFM Dar, Uhasibu Arusha na sasa Mlimani, Dar.

Source: http://www.wavuti.com/#ixzz2WrTyqTKa

2013/6/21 lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
jamani jamani hawa majambazi watatumaliza huku mtaani, ingekua hata akina chagonja na mh pinda pm wameelekeza hz nguvu za piga piga huko si ingependeza eti? badala ya kupiga raia rukda- pm...... poleni udsm kumpoteza mwanasheria wetu na kijana mwenzetu .....poleni sana

From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, June 21, 2013 6:42 AM

Subject: Re: [wanabidii] MSIBA UDSM – MWANAFUNZI AUWAWA NA MAJAMBAZI

Very sad, najiuliza, 'Majambazi wanavamia wanafunzi kwa nia ya kuoiba mali kweli?? Wanafunzi wana mali gani?, maana hata laptop computer walionazo ni wachache tu. Uchunguzi unapaswa ufanyike zaidi kunaweza kukawa mambo mengine.

From: moses <mosesgasana@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, June 21, 2013 3:29 PM
Subject: Re: [wanabidii] MSIBA UDSM – MWANAFUNZI AUWAWA NA MAJAMBAZI

Hii kitu imeniuma sana.Imagine machungu watakayopata wazazi, walezi, jamaa, ndugu na friends wake.Ujambazi gani huu wa kipumbavu?  
Moses

Sent from my iPhone

On Jun 21, 2013, at 4:01 PM, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

Mwanafunzi wa UDSM aliyekuwa anasoma sheria mwaka wake wa mwisho amefariki dunia dakika kadhaa zilizopita .
Mwanafunzi huyu alikuwa yombo anasoma na wenzake ndio wakavamiwa na majambazi alfajiri ya kuamkia leo , akapigwa risasi na kupata majeraha ambapo alipelekwa muhimbili kwa matibabu zaidi .
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment