Zamani fulani kulikuwa na RPC mmoja anapiga madereva. Alimpiga mtu mmoja aliyekuwa akijiheshimu na watu wakimheshimu na alimpiga mbele ya mke na mtoto wake. Yule mtu alichofanya alikabidhi funguo za gari kwa tajiri na kuachana na udereva. Niliandika makala kali sana kwenye gazeti la Rai. Moja kati ya swali nililouliza ni Kama Mtu aliyevaa nguo za kipolisi akifanya hivyo ambavyo si sehemu ya wajibu wa Polisi. Wananchi wakiamua kumkamata wakamzidi nguvu wakamfunga wamkabidi wapi? Kama Taifa hili ni letu wote. Tumegawana tu majukumu na wajibu ili kuliendeleza ipo kazi kuvirekebisha vyombo hivi vya dola. Siqmini kuwa hakuna sheria au muundo unaomdhibiti polisi anapofanya kama haya yanayosemwa juu yao. Picha iliyopigwa wakati wa mauaji ya Mwangozi huenda imewasaidia CHADEMA kudhihirisha kuwa sio wao walioua. Lakini haijasaidia kuwaadabisha wapangaji na watekelezaji wa mauaji hayo. Je hizi za mauaji ya Arusha zikitolewa zitamsaidia Rais kuamua kuwashughulikia wauaji bila kujali walitoka wapi? Mfano rais akikuta mtu aliyetupa bomu anakimbizwa na raia anakimbilia kwenye gari la Polisi huku nao wakimlinda kwa kuwapiga wanaomkimbiza atatenda tofauti na alivyotenda kwa mauaji ya Mwangozi? Nilishangaa tamko la CHADEMA kuwa malalamiko haya watayapeleka mpaka Umoja wa Mataifa. Huku ni kutapatapa. Sasa naanza kuhisi kwa nini watu wenye busara wanaweza kutapatapa.
--- On Sat, 6/22/13, misangocharles@yahoo.com <misangocharles@yahoo.com> wrote:
From: misangocharles@yahoo.com <misangocharles@yahoo.com> Subject: Re: [wanabidii] Mbowe kutoukabidhi ushaidi wa video ni kosa la jinai: Je kuukabidhi ni salama? To: wanabidii@googlegroups.com Date: Saturday, June 22, 2013, 7:40 AM
Polisi wa sasa ni aibu maana tungewaona sahihi kama wangetumia nguvu kumtaka Nape pia awasilishe ushahidi wa kauli yake kuwa huo ni mpango wa Chadema. Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Sat, 22 Jun 2013 17:31:53 +0300 To: <wanabidii@googlegroups.com> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] Mbowe kutoukabidhi ushaidi wa video ni kosa la jinai: Je kuukabidhi ni salama?
1. Mimi nadhani mwenye jukumu la kuchunguza na kupata ushahidi ni polisi.
2. Ushahidi maana yake ni kielelezo/vielelezo vinavyoonesha kuwa tukio fulani lilitokea kama lilivyotokea na siyo 'anything' au siyo zaidi au pungufu. 3. Ukitaka upate ushahidi lazima uwe mweledi (skilful), ukitumia mabavu utaweza kupata kitu kinachofanana na ushahidi (yaani, you may get anything or apparent evidence. Laikini kinachotakiwa mahakamani ni relevant evidence & what will be admissible in court). Maana unaweza kuwa na relevant evidence, which is inadmissible in court. 4. Na ukipata 'anything' kama ushahidi, mahakama itautupilia mbali na utakuwa umepoteza muda na resources bure. 5. Hivyo, huwezi kutumia force kupata ushahidi na ukajiridhisha kuwa utapata ushahidi ambao ni relevant. 6. Polisi kusema kama watatumia force kupata ushahidi kutoka kwa Mbowe na asipoutoa ni kosa la jinai maana yake wana hakika kwamba Mbowe ana huo ushahidi wanaoutaka. Swali ninalo jiuliza: how far are they sure/certain that Mbowe ana ushahidi wanaoutaka na je wanaweza kuthibitisha kwamba anao? Kama hiyo ni kweli ina maana wanaujua tayari. Kumbuka pale Iringa ripoti ya polisi mwanzoni kwamba kitu kilirushwa kutoka upande wa wanachadema. Je, has it been part of the evidence to the case of Mwangosi since they said it? 7. Binafsi, nashauri polisi (kama wanataka kupata ushahidi) waombe ushirikiano kwa raia na kwa kutumia lugha nzuri. Lugha ya kuonesha wao wanaweza kutumia nguvu za kuupata ushahidi wowote wanaoutaka na wasipoupata watafungua kesi ya jinai dhidi yake sidhani kama lengo lake ni kupata ushahidi, bali kuonesha what they can do by using force. Na hili nalisemea kwa kila tukio: polisi wakitaka ushirikiano wa raia watumie professionalism/weledi wa kupata ushahidi. Wakitumia nguvu kwa vile wao wameshika mpini na raia makali watakuwa wanaambulia ushahidi unaotolewa kwa hofu ya kuogopa kufungwa na usiojitosheleza na wakiupeleka mahakamani watakuwa wanashindwa kesi kila siku. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment