Sunday 28 April 2013

[wanabidii] mafunzo ya jkt hayajafaa kitu kwa wabunge

mbona tuliambiwa wabunge wanakwenda jkt kupata mafunzo ya kujifunza uzalendo.

mbona sasa fujo zinaongezeka bungeni, huo ndio uzalendo? au walikwenda kujifunza sakarasi za kumrukia spika kwenye kiti chake?

0 comments:

Post a Comment