Monday 29 April 2013

Re: [wanabidii] Profile - Daktari Yona Fares Maro

Kuwa na PhD haimaanishi atakuwa vizuri pande zote, kila mara wengi
tunakiri mbele yake he is good in IT issues, but when it comes on
political matters tusidanganyane kuhusu reasoning ya Yona, wengi
tunamjua.
Ninachoona hapa ni kulazimishwa kuamini A PhD holder is good in
everything, HAPANA. Hata HK atakuwa vizuri hukohuko kwenye matibabu,
ila ukimwuliza swala la city planning lazima akachimbue kwanza na
kutafuta usaidizi kwa wenye sekta yao!!!

Nasema tena YONA IS GOOD IN IT, thats why imekuwa rahisi kwake
kutuunganisha hapa due to his cyber knowledge. ana uwezo wa kuona
opportunities nyingi sana katika ulimwengu wa teknolojia ya
mawasiliano na si kila mahali.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment