Tuesday 30 April 2013

Re: [wanabidii] Hamisi Kigwangalla : Tunaanzisha Nzega Community Bank

HK,
Mambo ya kuzingatia:
 
1. Benki ni taaluma iendeshwe kitaaluma zaidi. Wenye taaluma yao wapewe jukumu la kuendesha benki. Nafasi za kazi zitangazwe, usaili mkali ufanyike ili wapatikane watu wenye uwezo. sio bora watu!. Tutapenda kujua maendeleo ya benki na pengine tutatembelea.
 
2. Msichanganye siasa na utendaji, ni vitu viwili tofauti. Watu wanakopeshwa then wanapodaiwa mheshimiwa unasema msiwadau wapiga kura wangu, na hivi uchaguzi umekaribia!!!?????????? sumu ya benki. na ndio sababu mambo yanaenda ndivyo sivyo!!!!
 
3. Halmashauri ya wilaya ya Nzega isiwe sehemu ya uendeshaji wa benki, ibaki kuwa care taker.
 
4 Wakulima wadogo au wenzangu na mie wajengewe uwezo wa kushiriki kama mmoja mmoja au vikundi vidogo mfano wawe wana hisa, na wapate nafasi ya kutoa maamuzi ya utendaji wa benki yao.
 
5. Vikundi vidogo vya wakulima, vinaweza kuwa vikundi vya VICOBA, vipewe mafunzo ya mara mara kuhusu mambo mbali mbali ya kujenga uwezo. mfano kuweka akiba mara kwa mara, kuchagua viongozi na kuwawajibisha, waeke adhabu kali kwa wala rushwa au watao omba rushwa.
 
6. Kuwajengea uwezo wenzangu na mie waone kuwa, maisha yanaweza kubadilika kwa kulima kilimo chenye tija sio cha mazoe na kuanzisha miradi yenye tija pia. kupitia benki.
 
7. Jitihada za kutosha zifanyike wakulima wadogo waone benki ni yao na si yako  HK......... jitahidi ukae pembeni usiwe ndani.
 
9. Kuhamasisha hasa kina mama wawe wanachama, maana hao wababa wa maeneo hayo wanapenda kuoa!!!!!!!!!!hahaha!!!!!!!!!!!!!!!!
 
10. Management ijisomee na pia iende sehemu nyingine ikajifunze....Mufindi Community Bank wana uzoefu mkubwa, Mufindi kuna SACCOs ya Mkonge ambayo inajumuisha wakulima wa chai, Rungwe kuna partinerships ya wakulima wa chai, Korogwe kuna uzoefu mfano Munumbu SACCOS, Lushoto jinsi wakulima wadogo wanavyoendesha Benki za jamii (VICOBA).
 
11. Nakuhasa uwe mshauri tu, na usiingilie utendaji wa Benki kwa kuwa wewe ni Mh. Waambie na wanasiasa wenzako kuhusu hili.
 
12. Kulea vikundi ni kazi kubwa kidogo, pengine utahitaji ushirikiano mkwabwa wa watumishi wa maendeleo ya jamii/group dynamics
 
From: "hkigwangalla@gmail.com" <hkigwangalla@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, April 30, 2013 8:53 AM
Subject: Re: [wanabidii] Hamisi Kigwangalla : Tunaanzisha Nzega Community Bank

Mtani Bi. Nyaga, naomba umwage sera hapa na wengine washiriki kuongeza shule yetu!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: anna nyanga <luguanna@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 29 Apr 2013 09:40:10 -0700 (PDT)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Hamisi Kigwangalla : Tunaanzisha Nzega Community Bank

HK,
Nina mawazo kuhusu namna gani hao watani zangu wanaweza kunufaika na hiyo benki ya jamii. Ila ningependa  kuona kwanza mawazo yenu ya mwanzo.
Kwa kuwa nawafahamu vizuri hao wanyemwezi nini kifanyike ili wafaidike zaidi, nipo tayari kutoa ushauri.
Tuwasiliane.

From: isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, April 29, 2013 9:24 AM
Subject: Re: [wanabidii] Hamisi Kigwangalla : Tunaanzisha Nzega Community Bank

KWA MFUMO WETU WA KIJAMII NA KIBENKI WATAKAONUFAIKA SI WANYAMWEZI WANAOLIMA MAJARUBA BALI WALE WENYE NAZO KAMA ILIVYO KAWAIDA, MI NAMUOMBA KIGWANGALA ANISHAWISHI NI KIVIPI MWANANCHI WA NZEGA KULE VIJIJINI ATANUFAIKA NA BENKI HII AU ACHA TU KUNUFAIKA TAARIFA WANAYO?

2013/4/26 alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
Hongera Khamis kwa huu ubunifu.
Pia unaweza kuandaa dinner meeting kwa Wananzega wote DSM ukapata mawazo ya namna ya kuboresha mfuko huo na pia watu wakatoa michango yao kutunisha bank. Ila iwe na mashariti nafuu maana kikwazo kwa bank tulizo nazo ni interest kubwa wanazo charge.
Alexander

From: "hkigwangalla@gmail.com" <hkigwangalla@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, April 26, 2013 4:43 PM

Subject: Re: [wanabidii] Hamisi Kigwangalla : Tunaanzisha Nzega Community Bank

Ahsanteni sana jamani, tunajaribu kutoa mchango wetu kwenye kupeleka nchi hii mbele! Mungu atuwezeshe kutimiza ndoto zetu, inshaallah!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: "lingsadam@yahoo.co.uk" <lingsadam@yahoo.co.uk>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 26 Apr 2013 13:41:31
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] Hamisi Kigwangalla : Tunaanzisha Nzega Community Bank

Safi kabisa kaka Hamis. Hongera sana. Ndilo vuguvugu na pambazuko la wanasiasa vijana
-----Original message-----
From: Yona Maro
Sent:  26/04/2013, 13:19
To: wanabidii
Subject: Re: [wanabidii] Hamisi Kigwangalla : Tunaanzisha Nzega Community Bank

Hongereni sana napenda mabadiliko

Kama mtahitaji ushauri wa TEHAMA tafadhali mnaweza kunijulisha au hata
kutembelea huko kidogo , pia kuwe na kamati ya watu wachache kwa ajili ya
kushugulikia suala la benki na muwe waangalifu sana maana katika nchi yetu
mradi fulani ukiharibika au kuvurugika ndio kukua kwa siasa kwa mpinzani
wako .

2013/4/26 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>

> Dr. HK
>
> Congrats, napenda na kuheshimu ubunifu kama huu kwa manufaa ya wananchi
> wetu. Aidha uanzishaji wa Banks una changamoto zake, kama mlijiandaa
> haitawapa shida lakini kama ndio wazo linaanza basi mnatakiwa kutulia sana
> katika maamuzi mbalimbali ili kukamilisha mchakato wa uanzishwaji wa benki
> hiyo.
>
> K.E.M.S.
>  *From:* Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
> *To:* Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> *Sent:* Friday, 26 April 2013, 0:59
> *Subject:* [wanabidii] Hamisi Kigwangalla : Tunaanzisha Nzega Community
> Bank
>
>  Kwenye kikao cha Nzega Full Council (Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya
> Nzega) tumefanikiwa kupitisha uamuzi wa kuanzisha Nzega Community Bank,
> mtaji unatokana na pesa za ushuru wa huduma tulizokusanya kutoka kampuni ya
> Resolute (Tanzania) Ltd baada ya harakati zangu nikishirikiana na wananchi
> wa Nzega. Ni uamuzi wa busara na wa kimabadiliko, ni imani yetu kuwa
> tutakamilisha mapema mchakato wa kusajili benki hiyo
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities
www.naombakazi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment