Monday 29 April 2013

Re: [wanabidii] MAWAZIRI 18 BILA KUWA WANASIASA KENYA, TANZANIA ZAIDI YA 60 WANASIASA.

Ninachokifikilia mimi ni kuwa utendaji kazi wa mawaziri wa kenya utakuwa na ufanisi zaidi bila kujali nani anakuwa na nguvu ya kuwaondoa pindi wanapokosea, mfumo wa hapa kwetu Tanzania wa mawaziri kuwa wanasiasa unaleta shida sana katika utendaji na ndo maana tunaona, wabunge wanaegemea vyama vyao na mawaziri kadharika, Aidha unamkuta mbunge anashindwa kulitumikia vyema jimbo lake kutokana na majukumu ya uwaziri,
  
Kama ni suala la kuwaondoa mawaziri kubaki kwa Rais mbona hata hapa Tanzania bado liko kwa rais utakuta waziri amefanya madudu wananchi wanapiga kelele ajiuzuru lakini hawezi kujiuzuri mpaka rais aseme tena anawaambia kabisa sijiuzuru mpaka aliyeniteua aniambie,so hakuna tofauti ila kitendo cha mawaziri kutokuwa wanasiasa una nafuu sana kwa mtizamo wangu.

On Mon, Apr 29, 2013 at 3:13 PM, Faiza Hassan <antihongo@gmail.com> wrote:
Yes Mohamed courage must have forgotten that it is the parliament and
senate who can hire and fire of course the president can bribe Mps.
Kenyan Mp are known to be greedy.

On 4/29/13, mohamed mnzava <mnzava2@yahoo.com> wrote:
> Courage,
> Maybe you have forgoten that the Kenya Parliamentarians can "vote the
> ministers out", either directly
> or through Parliament commitees.
> I think the Kenyan President is not  and will not be selfish enough to back
> any unpopular minister and risk the vote of no confidence for the whole
> Government!
> Time will tell
>
>
> ________________________________
>  From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
> To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Monday, April 29, 2013 1:04 PM
> Subject: Re: [wanabidii] MAWAZIRI 18 BILA KUWA WANASIASA KENYA, TANZANIA
> ZAIDI YA 60 WANASIASA.
>
>
>
> Isack,
>
> One problem with the new Kenyan system is that these new Cabinet Secretaries
> (Ministers) will be beholden to the President only and not to wananchi in
> any way. Only the President can remove them.
>
> In TZ, yes the President can remove your Ministers but the constituents can
> also vote them out if they misbehave in their ministerial duties.
>
> Courage
>
>
>
>
> 2013/4/29 isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
>
> Nimeona ukweli juu ya ustawi wa nchi ya kenya utakavyokuwa baada ya muda si
> mrefu, kutoka mawaziri 48 ya mwai kibakii  hadi 18 wa uhuru kenyatta, ni
> dhahili kwanza imepunguza matumizi ya serikali na pili kwa vile si wanasiasa
> uwajibikaji utakuwa juu, sisi ni masikini kenya wana ahueni ya uchumi kwa
> vile wanashika nafasi ya kwanza katika EA COMMUNITY, vp sisi na mawairi
> wetu60 tena ambao hata kazi hawafanyi, je kuna haja ya kuweka ukomo wa idadi
> ya mawaziri kama wenzetu wakenya kuliko ilvyo sasa kwamba mawaziri
> watateuliwa tu na rais mpaka pale atakapoona marafiki zake wameisha ndo uwe
> ukomo wa mawaziri?
>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment