Monday 29 April 2013

Re: [wanabidii] HOTUBA YA LIVINGSTONE LUSINDE

Kweli, kama wabunge tunao!!

Felix

2013/4/29 <nevilletz@gmail.com>
Bariki uko sahihi kabisa!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Date: Mon, 29 Apr 2013 13:09:02 +0300
Subject: Re: [wanabidii] HOTUBA YA LIVINGSTONE LUSINDE

Mchungu

Huyu Mbunge Lusinde hata ukoo na Balozi Lusinde haupo kabisa. Ni majina tu yanaoana

2013/4/29 isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
MZEE JOB LUSINDE alikuwa mtu muungwana sana, alikuwa mtu wa watu huyu mwanae inawezekana MALEZI.

2013/4/28 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
Mama yangu nimemsomea hii hotuba, akaisikiliza kwa masikitiko makubwa sana sa fikiria huyu ni mtu mzima katika umri wake ameiona nchi ikipigania uhuru na kuanza kuufaidi uhuru sasa tumefikia kuuharibu uhuru wetu inasikitisha sana. Huku ni kulewa madaraka 

2013/4/27 Emmanuel Sulle <esulle17@gmail.com>
Jovias,

Kuna wakati huwa natumai kadiplomasia kangu ka kuzaliwa, kwahiyo nielewe tu ninamaanisha nini!

2013/4/27 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
Sulle kunawakati nasema huku kutukanwa tunakustahili. Hebu angalia hii kwa kutumia sehemu ndogo tu ya ubongo. Yona kaleta hii hotuba hawa wenye utindio wa ubongo vile walikuwa wanasoma kwa kukariri darasani basi wanamrukia Yona. Huu usomi wa aina gani unakosa hata kutumia maarifa uliopata kutokana na kusoma kwako. 

Yona nakushukuru na nategemea utakuwa umemsamehe shemeji kwa kushangilia upuuzi wa huyu mtu. Wakati mwingine najiuliza watu wa nje wanatuangaliaje kwa haya mandundu tunayofanya. Nimesoma mtandaoni PM wa waingereza kalaani kitendo cha Suarez wa timu ya Liverpool kumtia njino mchezaji wa Chelsea matokeo yake FA ya kule wamempa adhabu ya kukosa mechi kumi.

Tanzania muhoshamiwa katukana tukiwa mbele ya TV zetu na watoto wetu, wakwe zetu, wageni wetu tukiangalia watunga sgeria ya nchi yetu, tumeambulia samahani. Huyu kaenda kashusha matusi mbele ya tutoto twa chekechea, huyu huyu ndo miaka 20 toka sasa vitoto vitakuwa vikipanda jukwaani vikimuigiza. Kma hamuamini nendeni eneo la tukio msikilize stori za watoto wakiwa wanaenda na kurudi shuleni.

Nakosa hata cha kuandika ila niseme, hasira zangu ninaanzia humu humu kwa mnaofikiria kwa kusukumwa na passion ya mnayoyapenda badala ya uhalisia wa mambo na wasomi wa aina ndo manopelekea hawa jamaa wanatukana na bado wanaendelea kuchaguliwa. Hivi nani hajui utoboaji masikio wa kishoga na utoboaji wa asili zetu.

Kweli mama mwenye mtoto waweza kushangilia kusikia habari za ushoga?

2013/4/27 Emmanuel Sulle <esulle17@gmail.com>
Jamani  Mh Kigwa majuzi alithibitisha kuwa Yona ni PhD so, msitukane, inawezekana hii hotuba ameieleta kifalsafa zaidi. Si mmeona na wabunge wanavyozidi kuporomosha matusi Bungeni?

2013/4/27 Msuya, Yusuph (Bulyanhulu) <YMsuya@africanbarrickgold.com>

Selemani

Alietoa na alie post pia

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of F kitigwa
Sent: Saturday, April 27, 2013 3:22 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] HOTUBA YA LIVINGSTONE LUSINDE

Seleman,
Aliyetoa hiyo hotuba

2013/4/27 Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com>

Nani sasa Yona Maro au Livingstone??

2013/4/27 Msuya, Yusuph (Bulyanhulu) <YMsuya@africanbarrickgold.com>

Akili zako zinakutosha kweli?

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Yona Maro
Sent: Saturday, April 27, 2013 2:54 PM
To: wanabidii
Subject: [wanabidii] HOTUBA YA LIVINGSTONE LUSINDE

CCM oyeee Oyeeee!

Mh mwenyekiti wa chama, waheshimiwa viongozi wenzangu na wanachama wenzangu, nataka nianze kutofautiana hapahapa jukwaani na wenzangu, habari ya sisi kutukanwa halafu tunasema sisi hatutukani hatufanyi kazi ya kanisa hapa, kudadadeeeki matusi yakija nitatukana hoja zikija nitasema, potelea mbali

CCM oyeeeee.......oyeeee!

Niseme nisiseme.....semaaaaaa!

Unajua kuna wabunge wa chadema maji marefu unawalea sana, wewe ndio uliowachanja chale mpaka matakoni leo wanakutukana, nataka niwaambieni wenzetu wanajifanya wanajua kutukana hapa mwisho! ndio maana nimekuja kuwapasha kwamba hoja nyingine za kipuuzi wanazozisema chadema wanajitukana mpaka wao wenyewe, kuja kusema hapa kwamba mgombea wa ccm katoboa sikio kwa hiyo ni shoga maana yake na baba yake slaa nae ni shoga maana nae katoboa sikio kudadadeeeki CCM oyeeee....oyeeeee

Nataka niwaambie ndugu zangu msindanywe, msidanganywe na rangi utamu wa chai sukari, wale waliojazana katika chadema wote karibu nusu baba zao wametoboa masikio kwa hiyo na wao mashoga? Niwaambie nisiwaambie. . . .waambie! mbunge wa arusha mjini juzi alikua mahabusu na si tunajua kule mahabusu alifanywa nini, lakini hatutaki kusema

tuwalambe tusiwalambe.....walambeee!

Ndungu zangu nataka niwaambieni kwa habari ya lugha chafu wote sisi tunazo wala msifikiri hatujui sisi hatuna, tunajua Lema alikua mahabusu amepata bwana kule tunajua, na kuna wanaume wengine wameolewa sisi tunawafahamu, nataka kuwasihi sana, kwenye uchaguzi, kwenye uchaguzi tunajenga hoja za msingi lakini wakileta maneno ya honyo na hapa yapo, kudadadeeeki

nataka niwasihi sana, hakuna mtu asiye na makosa duniani, leo dr slaa anapita kuwasema wenzake wakati yeye upadri ulimshinda kanisa likamfukuza kwa kutia mimba wanakwaya

Sioi oyeeee! Oyeeee!

Mi nawafahamu wale, unajua tukiendelea kuwachekea hivi tukiendelea kuwambeleza hivi itafika mahali watatuchokoa machoni bora tule nao sahani moja, kuna bwe.ge mwingine yuko mle, kuna bweg.e mwingine yuko mle anajiita campain manager wa chadema, ukoo wa nyerere, baba yake mzazi wa nyerere akiitwa buhito alikua akitoboa masikio, alikua shoga? anajitukana mpaka mwenyewe kwa sababu ya akili mbovu, kutoboa masikio sio ushoga, masai wanatoboa, wagogo wanatoboa, wameru zamani walikua wanatoboa, wa-wakurya wanatoboa, wakamba wanatoboa, ye hajui historia anakuja hapa (huku kabana pua) ng'wee ng'wee ng'weeee, mbona ye ameliwa si hatusemi

ccm oyeee, oyeeeee
wanaokipenda chama mikono juuu!

(sauti ya kike kwa mbaali inasikika – wamekwisha!)

subiri niwaambie, hoja zinazojengwa hapa ni hoja za kipumbavu, kuna watu wanakuja kujenga hoja ya kitoto, kwamba msimchague sioi kwa sababu alizaliwa kenya, sio raia wa tanzania, mtu akizaliwa kwenye ndege anakua raia wa nchi gani? Acheni ushamba nyie, Suala la mtu kuzaliwa na suala na uraia ni vitu viwili tofauti, uchungu unapompata mwanamke anazalia hapohapo hawezi kusubiri, kuna wengine wamezaliwa kwenye mabasi mbona hatuwaiti raia wa basi, washamba wakubwa nyie, hiyo mnaona ni hoja ya kupita mnazungumza, halafu nyingine wanapita wamebana pua, msimchague sioi kwa sababu baba yake alikua mbunge, baba yake atarudi lini? Baba yake anarudi?

Ngojeni niwaeleze, na bahati nzuri najua walipo ntakua napiga hapa afu napiga palepale, kudadadeeeki . . .

PART TWO COMING SOON!

Muendelezo huu hapa

CCM oyeee .....oyeeeee!
Msikubali kudanganywa ndugu zangu maswala ya mtoto kufata kazi ya baba yake, katika tanzania ni kitu cha kawaida, tunao wanajeshi na watoto zao wanajeshi uongo kweli?....kweliiiiii! tunao madereva na watoto wao madereva uongo kweli?.....kweliiii, tunao wapiga debe na watoto zao wapiga debe uongo kweli . . . kweliiii! kuna ajabu gani kwa sioi piga makofi kwake.

Niwaulize nisiwaulize.....ulizaaaaaaa! Marehemu sumari angekua daktari na mtoto wake daktari CHADEMA wangegoma kunywa dawa (sauti ya kimbea kwa mbali inajibu . . . . wathubutu!), washamba nyie!

ccm oyee. . . oyeeee! Niwalambe nisiwalambe. . . . walambeee!

Ndio maana tunataka tuwaambie chama cha mapinduzi ndiyo chenye makamanda wa ukweli sio nyie makamanda feki, Jakaya Kikwete mwenyekiti wa ccm kazi yake zamani alikua mwanajeshi uongo kweli?..... kweliiii, kapteni komba alikua mwanajeshi uongo kweli? .......kweliiii! lakini wanavaa nguo za kijani halafu washamba ambao hata mgambo hawajapita wanavaa makombati.

ccm oyeee.....oyeeee!
Halafu katika washamba hakuna mshamba kama dokta slaa, anavaa kombati kuuubwa akitembea kama kajinyea vile (anapata shangwe kutoka kwa wanaomsikiliza, sorry to say this hapa hata mke wangu alicheka, nikamtazama kwa hasira hadi akaogopa!)

Nipige Nisipigeee?.........Pigaaaaaaa aaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii?............ .......Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota na rangi ganiiiiiiiiiiiii?............K ijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota na rangi ganiiiiiiiiiiiiii?............ .Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?............... ............Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa chama cha mapinduzi.

Nataka niwaambie kama CHADEMA, kama viongozi wa CHADEMA ni vichaa wa kurogwa, mie ni kichaa wa kuzaliwa, kudadadeeeki! tarehe moja, dk slaa juzi, (anaguna) yaani katika watu washamba nimewashangaa dk slaa, anakakaa kwenye tv anasema eti ''ooooh hapa isipochaguliwa chadema patachimbika'' kama ni fujo itaanzia arumeru, kwa nini isingeanzia kwa mke wake? Ngoja niwaambie ndugu zangu, alichokua anakisema slaa, alichokua anatutishia vita slaa mimi namwambia anatishia kujamba wakati anaharisha.

ccm oyeee....oyeeee!. wangapi mtampa kura kura sioi, mikono juu....(watu wananyanyua mikono), hatufanyi kazi ya kanisa hapa! hapa tumekuja kuwaambia kwa suala la kutishana hakuna mtu anayeogopa, wote si tumeaga na nataka niwaambie slaa yule anavimba macho ya watu, lakini kama slaa ana ubavu nipeni mi tuweke ulingo hapa, ngumi moja naua yule, nikikusanya yule nipige mkono mmoja mnakuja kuokota yule, akiona watu wamejaa (anabana pua) ng'weng'weng'wee ng'weng'weng'wee upadri umemshinda ataweza serikali? thubutuu!

Nataka niwaambie, ndugu zangu wa arumeru, suala la uchaguzi mdogo sio suala la kudanganywa, wanakuja CDM hapa wanakudanganyeni, kwamba watapora mashamba ya wazungu wawagawieni, muasisi wa chama cha CDM ndugu mtei ana shamba hapa heka 700 mbona hawampori wawagawie? wangeanza kwanza la mtei, sio kuwadanganya wananchi, kama wanawapenda kweli wa meru wamwambie mzee mtei chukua shamba lako rudisha kwa watu wa meru(sauti ile ya kike. . . hatudanganyiki)

ccm oyeee.....oyeeee!
Niwachane nisiwachane?......wachaneee!

Vijana wenzangu, CDM inawapa pesa za kunywa viroba, mnalewa viroba na bangi mnazomea wazee wenu, halafu wenzenu wanapita na helikopta wanawaona machizi

niseme nisiseme.....semaaa!

Kokote duniani askari wanaoteka nchi ni askari wa miguu wacha wao waruke juu si tunateka nchi, wao wanaruka na helicopter si tunachukua jimbo asubuhi, kudadadeeki, mnakuja mnadanganywa hapa eti ooh chadema, sijui ooh nasari ataleta ajira na soko, ajira atazitoa wapi? Watu hawana shukrani anasimama hapa dk slaa anatukana ccm, hawajafanya kitu, hawajafanya kitu, shule alizosoma yeye zimejengwa na baba yake? shule zimejengwa na serikali ya chama cha mapinduzi, watu wanajiita wamesoma chuo kikuu (chuo hicho) kimejengwa na serikali ya chama cha mapinduzi, nionesheni hapa chuo walichojenga CDM. . . hakunaaa!

ccm oyeee....oyeeee!

Wanatuletea sera ya jogoo, nataka mkatae sera ya CDM ni sera ya jogoo, Jogoo katika makuku maongo hakuna kama jogoo, Jogoo linapokua linamtaka kuku mwenzake linadanganya linamwambia nitakushonea gauni reeefu mpaka huku (anainama huku akizunguka kuonyesha mfano wa jogoo, watu wanalipuka kwa kicheko)

Niseme nisiseme. . . .semaaaa!

Kataeni uongo wa jogoo, linaahidi kushona gauni refu wakati lenyewe likiinama hata chupi halina, waongo wakubwa tunawajua, na hivyo viroba mnavyokunywa vijana, viroba mnavyokunywa vijana mwisho tarehe moja, wataondoka watakuacheni mmetukana wazee wenu, mmewapiga mawe wazee wenu, na mimi nataka niwaambie vijana wa CDM utaonekana kichaa ukionekana unazomea rangi ya kijani maana utakuta mti una rangi gani....kijani! unaanza uhuuuu watu wanasema huyu chizi, mchezaji aliyeumia ni mchezaji wa timu ya ccm tunaweka mchezaji wa ccm, suruali yangu nyeusi imetoboka siwezi kuweka kiraka cheupe kama nina akili nzuri, inabidi niweke cha rangi gani? Kijaniii! Hata hilo mnataka mtu atoke dodoma kuja kuwaambia? Kama huoni kwa macho papasa kwa mkono utapa majibu.

Ccm oyeeeee.....oyeeeee!
Niwaambie nisiwaambie hawa.....waambie!...ngoja niwaambie watu wa CDM nyie

nikakutana na kijana mmoja akanichekesha sana, ananiambia mwanaume mzima, basi kati ya watu ambao hawajui kiswahili mbowe hajui kiswahili, mbowe anasimama anasema nina uchungu mkubwa, bibilia inasema hivi wanawake mtazaa kwa uchungu, wanaume watakula kwa jasho uongo kweli...kweliiii! kama mbowe anauchungu ana mimba?....vicheko

ccm oyeeee.....oyeeee!

Nataka niwaambie, kipindi hiki ni kipindi cha lala salama, ukiona mtu anasikia kichefufu, ukiona mtu anatema mate, ukimuona mtu anaichukia ccm ujue tayari tumeshamtia mimba, ndio maana unawaona saa hizi wanapiga kelele, unaona kina slaa wanapiga kilele, wameshapigwa mimba, mbowe pigwa mimba, nasari pigwa mimba....mayoweee

Tarehe moja wanaenda kujifungua mtoto anaitwa sioi, piga makofii. Kichefuchefu chote kitawaisha utawaona ooh tulikua pamoja tulikua pamoja kudadadeeki.

Niwachane nisiwachane?.....wachane!

we ukiona unapita mwanaccm humsemeshi mtu anakufanyia hivi (anaonesha V, ishara ya CDM) ujue ana mimba ya mapacha, mnunulie udongo, mnunulie maembe mabovu, mnunulie vitu vya uchachu tarehe moja anajifungua sioi anakwenda bungeni na wao mimba wanazaa hapohapo.

Tuwapime wenye mimba tusiwapime....tuwapimeeee

nitakuuliza swali, nitakuuliza swali, atakaempigia kura sioi anyoshe mkono kama hakunyosha jua ana mimba

ccm oyeeee....oyeeee!

Hotuba inaisha, zinaisha wanaonyeshwa watoto wengi wa shule za msingi, wamevaa uniform za shule nao walikua kati ya watu waliohudhuria huu mkutano ambao bwana Livingstone alihudhuria.

--
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa

www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment