Sunday 28 April 2013

Re: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA NI VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA

Kwani wabunge wa CUF wanajenga hoja gani zinazokubaliwa na sisiemu
bungeni? Bila kkunganisha nguvu kupambana na "common rival" siasa za
Tanzania zitabaki to fight against one another na style hii ya kufanya
siasa haina mshindi ila mshindi atabaki sisiemu. Vyama vya ushindani
bungeni inabidi (pamoja na tofauti zao wawe wamoja) watoe hoja na
kusapotiana. Vinginevyo, watagawanyika gawanyika na kumezwa na
sisiemu. Si, mnaona sisiemu wanavyosapotiana hata kama kilichosemwa ni
pumba? Maana wanajua wakikosoana wanawapa washindani wao nguvu. Hivyo,
wanaona heri waonekane wajinga lakini waungane kupitisha sheria mbaya
au kubadili kanuni provided vina maslahi kwa chama chao.

On 4/28/13, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
> Baadhi ya wabunge wa CCM kuibuka na hoja ambazo mimi naziita hoja za
> kiugomviugomvii bungeni wanajua wanachokifanya. Wapinzani nao wameingia
> kwenye mtego huo. CCM wanajua fika mambo mengi yapo ndivyo sivyo hivyo ni
> bora kukorogakoroga ili kusiwepo na lolote la maana siku zisonge mbele.
> Uchambuzi wa waliotangulia ni mzuri lakini tujiulize ni kwa nini common
> sense is no common to our people?. Ni kweli kila mmoja wetu anatakiwa kuwa
> mbunifu ili kujiinua kiuchumi, naomba nipingane na maoni ya baadhi ya watu
> humu kwamba watanzania siyo wabunifu. Watanzania ni wabunifu ila mazingira
> ya uwekezaji si fair kwa kila mtu. Ufisadi uliojaa vichwani mwa
> tuliowaamini ndo kikwazo kikubwa, wanajifanya wanamipango ya maendeleao
> kumbe wanadhoofisha jitihada za wenzao ili waendelee kula kuku kwa mrija
> peke yao.
>
> Kuna mtu katoa mfano wa mwekezaji wa NBC huyu nafikiri haijui vizuri
> historia nzima ya kuibinafisisha NBC. NBC ilibinafisishwa si kwa sababu
> wazalendo walishindwa kuindesha bali ni mizengwe mizengwe ya hapa kwetu na
> mashirika ya pesa duniani yenye nia ya kuutapeli umma wa watanzania. Mbona
> NMB iliposimamiwa vizuri inasonga mbele?
>
> Ikumbukwe kwamba wakati wa siasa za chama kimoja njia zote kuu za uchumi
> zilimilikiwa na kusimamiwa na serikali hivyo sehemu kubwa ya pato
> lililozalishwa na kila mtu kuanzia mkulima lilipelekwa serikalini.
> Tuliwekeza katika vitu vingi yakiwemo mabenki, reli, majengo, viwanja vya
> michezo kama vile CCM kirumba na kwingineko. Lilipoanza zoezi la
> ubinafisishaji pamoja na vyama vingi hatukukaa na kugawana mali zetu
> tulizokwishazalisha tangu enzi ya mababu zetu. Kilichofanyika ni sawa na
> kuchukua kila kilichokuwepo (mitaji yetu) na kuwagawia tuliowaita
> wawekezaji toka nje lakini hawa wana ubia na wengine wa hapa kwetu
> wasiothubutu kujitokeza hadharani.Pia Kabla ya kubinafsisha hayakufanyika
> maandalizi kwa wazawa kutokana na mabadiliko hayo badala yake zikatangazwa
> zabuni haraka haraka ili wazawa washindane na makaburu, masetela toka Kenya
> na kwingineko duniani.
>
> Hapo tulitegemea nini kama si wazawa wote kupigwa nje ya mashindano hayo?
> Sasa hivi kuna mpango wa mradi wa mabasi Kasi katika jiji la Dar es salaam
> na hapo hapo wamiliki wa Daladala wameambiwa wajiunge na kuwa na kampuni
> zenye mabasi 100 au zaidi ndo watapewa leseni za biashara hiyo. Ili
> washindane na kampuni ambayo sijui ni ya kigeni au hapa kwetu ambayo
> tayari ina mtaji wa kutosha pamoja uzoefu. sijui mpango huu nao tunaita
> ubunifu? Je hao wamiliki wa daladala 1 au 2 tuwaite kwamba hawana ubunifu?
> Ili ubunifu wetu uweze kuonekana lazima mazingira ya biashara na shughuli
> zetu kwa ujumla
> yawe fair kwa kila nayetaka kuingia siyo huu mtindo wa kuwa na double
> standards. Ukibuni kitu watakachoona kinakinzani na bishara zao utawekewa
> sanctions kibao ili uwaache huru. Mwenye nguvu mpishe tofauti na hapo ni
> kuweka mikakati ya kumuondolea nguvu alizojigawia ili twende naye kwa kasi
> ile ile
>
>
> 2013/4/27 Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
>
>> Wanabidii,
>>
>> Mimi ninakubaliana na Bahati kuwa issue hapa ni idea ambayo inaweza
>> kututoa tulipo twende mbele zaidi. Kupondana bungeni hakuna maana kwani
>> haitusaidii. Tukubali kuwa umaskini unachukuliwa kama biashara tena
>> biashara inayolipa sana la sivyo kama haingekuwa hivyo ingekuwa imekwisha
>> filisika na umaskini ukaisha. Pili ninaamini ili tukubali kuamka
>> usingizini
>> lazima tukubali kwamba nchi hii ni ya "mataahira" , watu wasiokuwa na
>> uwezo
>> wa kufikiri na kama wasomi ni "educated fools" kwani kama tupo na
>> tukakubali kuwa sisi ni wajinga hivyo tubadilike na tukakubali kubadilika
>> na tukajitambua sisi sio mataahira, na tukajiamini tunaweza kufikiri na
>> kuthubutu kuchukua hatua kwa kuuchukia umaskini kwa nguvu zetu zote na
>> kuuchukia kwa nguvu zetu zote "Mkakati wa Kuondoa Umaskini Binafsi
>> (MKUKUBI)" Kuutekeleza MKUKUTA kwa dhati ingetuchukua miaka 5 tu
>> tungebadilika kabisa. Hi hoja ya kujenga uwezo wa mkulima mdogo kushiriki
>> kupanga bei kwenye inputs na outputs markets in mwarobaini wa kumaliza
>> umaskini lakini ninashangaa hakuna anayethubutu kuangalia hoja hii na
>> kulitekeleza.
>>
>> Ukweli ndio huo na mara nyingi ukweli unauma naomba radhi kwa maneno
>> makali.
>>
>> Tutafakari
>>
>> Herment
>>
>> ------------------------------
>> Date: Sat, 27 Apr 2013 19:19:07 +0300
>>
>> Subject: Re: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA NI
>> VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA
>> From: ribahati@gmail.com
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>> Asante Ngeti kwa kutoa uchambuzi ambao ni angalizo, uchambuzi unaoonyesha
>> mambo yalivyo na si mambo yanavyopaswa kuwa. Wananchi sasa tunaangalia tu
>> mwakilishi wetu kachochea vipi maendeleo katika jimbo lake. Tunaangalia
>> jinsi mwakilishi wetu alivyobuni mbinu za kupunguza umaskini kwa watu
>> hasa
>> vijana. Tatizo la Tanzania si umaskini, tuna kila kitu, tatizo ni mbinu,
>> idea. Mzungu, Mwarabu, Mchina, Mkenya, Mnigeria, Mhindi anakuja Tanzania
>> na
>> idea lakini hana senti mfukoni zaidi ya ile ya kulipia work permit.
>> Anakopa
>> hapa hapa, anaempliment idea yake nzuri, anatuajiri sisi kwa ujira mdogo
>> anakuwa bilionea hapa hapa. Baadaye sisi ndo tunakurupuka kuiga wakati
>> yeye
>> alishamaliza. Kuna mifano mingi. Sina uhakika na data hizi ila rafiki
>> yangu
>> alinieleza jinsi Makaburu walivyokuja na idea ya kununua benk ya NBC kwa
>> Bilioni 21 pamoja na madeni yake ya bilioni 45. wakaweza ku-claim madeni
>> yale yote ndani ya muda mfupi, baada ya kuclaim madeni wakawa na bilioni
>> 45
>> pamoja na asserts zote nchi nzima. Hivyo walipewa benk bure na bilioni 25
>> juu kwa mantiki hii. . Hakuna wasomi, wanasiasa, wabunge, watanzania
>> waliokuwa na idea? Angalia mzungu wa samaki samaki (sorry to mention a
>> particular person) amekuja hapa na idea, akaifanyia kazi, sasa kila mtu
>> anaenda kupata service kwake. Angalia mahoteli yote makubwa na hata
>> madogo
>> ya kitalii, kuna au mhindi au Mkenya meneja amevaa suti analipwa $3,000
>> kwa
>> mwezi wakati weiters, wapishi, walinzi ndo watz wanallipwa Tsh 150,000/=
>> Wabunge wetu, mmekuja na idea gani kwenye majimbo yenu ambapo sisi wapiga
>> kura tutasema "yes" Mfano mzuri ni kama Mh. Mnyika alivyovalia njuga
>> suala
>> la Maji katika jimbo lake. Kuna wakati wabunge walipinga hoja zake, leo
>> hii
>> wale wale wanakuwa mbogo kupigania bajeti hiyo. Mnyika ana kitu cha
>> kuwaambia wapiga kura wake 2015, nimefanya hiki na kile na kinaonekana.
>> Naamini sasa hivi sisi wapiga kura hatuangalii sana ni chama gani
>> tunachagua, au nani anatukana zaidi bungeni, tunaangalia "does she/he has
>> an idea? a new idea?"
>> Kuwa na wawakilishi wenye mawazo chanya ndiyo mwarobaini wa umaskini
>> wetu.
>> Mbowe ana idea ya majimbo. Kabla hatujaishutumu na kuibatiza tunavyoweza
>> kusema, tuangalia maana yake na implication yake. Si ajabu migogoro kama
>> ya
>> Mtwara...... isingekuwepo kama idea hii ingekuwa implemented. Tunapiga
>> kelele kufeli kwa wanafunzi, give the idea. Kilimo, give the idea,
>> malaria,
>> give the idea. ............... Sio kuonyeshana tu kuwa huyu ni wa CCM
>> hawezi kutoa hoja au huyu ni wa DCM hawezi kutoa hoja. Wapinzani, wekeni
>> self interests pembeni, undeni coalition moja, tunashindwa na vijana
>> wadongo kama akina Ruto na Kenyatta? Coalition imara ita tip balance ya
>> system ya utawala halafu kutakuwa na discipline katika madaraka kwa kuwa
>> chama fulani kitajua kama kisipoemplement ideas vizuri hawatachaguliwa
>> tena. Kama marekani wangekuwa wanaweka self interests kwenye siasa basi
>> mtu
>> kama Obama asikekaa awaze kuwa rais wa marekani. The man had an idea and
>> he
>> was given a chance to implement his idea and soon he is going to be
>> remembered hasa baada ya Helth Care Bill kuwa sheria. That was his fresh
>> idea. Bring forth your ideas guys. Don't just play dirty politics while
>> the
>> situation remains the same all the time.
>>
>>
>> 2013/4/27 Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
>>
>> Ngetti,
>>
>> Nimeupenda uchambuzi wako, wasipokuelewa basi.
>>
>> Kwa nyongeza, mazingira ya sasa ni tofauti na yale ya wakati wa kudai
>> uhuru hivyo hata mikakati yake lazima iwe tofauti, ilikuwa muafaka
>> kuzungumzia kumwaga damu wakati ule lakini kwa leo hii sio muafaka, wengi
>> watakaa nyuma kusubiri wengine watende!!
>>
>> Felix
>>
>>
>> 2013/4/27 Gaudencia Ngetti <gaudencia.ngetti@yahoo.com>
>>
>> Inavyoonekana wengi hatuna historia ya rise and fall ya vyama vya
>> upinzani
>> hapa nchini. Lakini pia hatujui dalili za magonjwa yanaoua kila chama cha
>> upinzani kinachojitahidi kuinua kichwa dhidi ya CCM.
>>
>> Kwanza ijulikane kuwa hata hao CHADEMA tunaowasema si wabunge wake wote
>> na
>> viongozi wenye nia ya dhati kabisa ya kutaka kuking'oa CCM madarakani.
>> Kinachopiganiwa ni mkate wa kila siku na si kingine.
>>
>> NCCR-Mageuzi ilikuwa na dalili zake za kufa, wengine tuliandika mapema na
>> kuonya kiasi cha kuitwa manabii. Kikaja kufa hivyo hivyo. Ikaja CUF na
>> ngangari dhidi ya ngunguri ya Omar Mahita. Hapa pia wachambuzi wakaandika
>> na kuonya kuwa kutokana na misingi thabiti ya nchi hii, ukija na sera
>> yoyote inayoonesha sura na taswira ya vurugu kwa hakika huwezi kufika
>> mbali.
>>
>> Kuna dalili zote kuwa mwisho wa Chadema uko mlangoni. Kauli za kina Peter
>> Msigwa si za kukuza chama cha siasa katika nchi yoyote iliyo na misingi
>> ya
>> ukomunisti ulioyeyuka.
>> Mbowe analijua hili vizuri sana na anafahamu kuwa mwisho wa chama chake
>> ni
>> 2015 maana baada ya kushindwa kutafuatia kukata tamaa kukubwa.
>>
>> Wanabidii, naomba niwape kwa mara nyingine utabiri wangu. NCCR-MAGEUZI
>> ita-gain momentum na itakuja kuwa threat kwa CCM siku chache zijazo
>> kuliko
>> CHADEMA. Uongozi wa James Mbatia unaweza kukuza chama maana Watanzania wa
>> jana, wa leo na wa kesho ni wapenda amani hata kama amani huwa na mwisho
>> kwa muktadha wa uvumilivu.
>>
>> Kinachofanyika bungeni na wabunge wa Chadema ni ulimbukeni wa siasa ambao
>> siku zote huwa na mwisho mbaya. Naamini kuna njia mbalimbali ambazo
>> wabunge
>> wa Chadema wanaweza kufikisha ujumbe bila kutunisha misuli na matusi.
>>
>> Lakini pia ikumbukwe kuwa wabunge wa CCM ni wajanja sana. Wao majimbo yao
>> yanaendelea, Chadema wanasusia. Watakuja kukumbuka shuka kumekucha.
>>
>> Mfano tumeona kwenye uundwaji wa MABARAZA ya Katiba. Ni Chadema hao hao
>> ndio walipitisha utaratibu wa namna ya kuwapata wajumbe wa mabaraza hayo.
>> CCM ikaanza kujipanga mapema, sasa wameingiza watu top. Chadema wao
>> walikuwa wakiandamana na kuzunguka na people's power.
>>
>> Nawaambieni, mwakani kuna uchaguzi wa Serikali za mitaa. Chadema
>> wameganda
>> kwenye mabaraza ya katiba na tembo wanaoibiwa. CCM tunawaona
>> wanavyozunguka
>> sasa hivi nyumba hadi nyumba kuweka mambo sawa. Chadema inasubiri kampeni
>> mwakani bila kujua ushindi katika siasa ni mahesabu si wingi wa watu na
>> kura. Wakija kupigwa wataanza kudai wameibiwa kura. Yetu macho, wengine
>> hatuna dini wala siasa.
>>
>> --- On *Sat, 4/27/13, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>* wrote:
>>
>>
>> From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
>>
>> Subject: Re: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA NI
>> VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA
>> To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Date: Saturday, April 27, 2013, 9:19 AM
>>
>>
>> Mimi nahisi Fadhili amemsahau Arfi wa Mpanda kwenye list yake ya watu
>> anaowakubali!!!!!
>>
>>
>> 2013/4/27 fadhil fadhil
>> <fadhil.fadhil96@gmail.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=fadhil.fadhil96%40gmail.com>
>> >
>>
>> Kaka lipumba kayazungumza yale yale wanayozungumzaga chadema, kama
>> kupwaya kwa kiti, na majibu ya mawaziri, kuzungumzia udhaifu wa
>> chadema bungeni imekuwa kosa? hili ni tatizo kubwa sana watu
>> tunamalazi ya kupenda hata upuuzi ambao hautusaidii kama watanzania.
>>
>> On 4/27/13, Vincent Mhangwa
>> <vmhangwa@gmail.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=vmhangwa%40gmail.com>>
>> wrote:
>> > Fadhili, Hiyo ni hotuba? Na wewe tunakufahamu kwanini unamkubali ZZK
>> > tu.
>> > Vin
>> >
>> >
>> > 2013/4/27 fadhil fadhil
>> > <fadhil.fadhil96@gmail.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=fadhil.fadhil96%40gmail.com>
>> >
>> >
>> >> ALIOZUNGUMZA LIPUMBA TATIZO LIKO WAPI? MBONA KAONGEA YA MSINGI NA
>> >> MAMBO YA UZALENDO, TATIZO LENU HAMPENDI KUKOSOLEWA HATA KATIKA MAMBO
>> >> YA MSINGI. HII NI NCHI YETU SOTE NA SI YA CHADEMA NA CCM. Binafsi
>> >> katika wabunge wa chadema namkubali ZITTO TU hata hoja zake bungeni
>> >> zina mashiko na maslahi kwa taifa, wengine mipasho na vurugu
>> >> tu.nawaasa wabunge wengine wa ccm na chadema wajifunze kwa ZITTO.
>> >> Tatizo kubwa la wabunge wa chadema wameingia katika mtego wa ccm
>> >> wabebakia kurumbana na kusahau yamsingi kwa taifa na hilo ndilo
>> >> walilotaka ccm.
>> >>
>> >> HII NDIO HUTUBA YA LIPUMBA
>> >>
>> >> Chama Cha Wananchi (CUF), kimesema vurugu zinazoendelea bungeni
>> >> zinasababishwa na Kambi Rasmi ya Upinzani inayoongozwa na Mwenyekiti
>> >> wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,
>> >> kushindwa kujenga hoja na mbinu za kuwabana wabunge wa Chama Cha
>> >> Mapinduzi (CCM).
>> >>
>> >>
>> >> Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CUF, Profesa
>> >> Ibrahim Lipumba alisema wabunge wa Chadema wana tabia ya kufuata mfumo
>> >> wa kwenda bungeni na hoja zinazobeba chama chao na si za Watanzania
>> >> wote kama jinsi CCM wanavyofanya.
>> >>
>> >> "Kambi rasmi ya upinzani imepoteza uwezo wa kujenga hoja za mashiko na
>> >> mbinu madhubuti za kuwabana wabunge wa CCM bungeni na badala yake
>> >> Chadema, wamekuwa na tabia mbaya ya kubeba chama chao," alisema
>> >> Profesa Lipumba.
>> >>
>> >>
>> >> Alisema kambi rasmi ya upinzani pia imeshindwa kulinda utaratibu mzuri
>> >> wa kutetea masilahi ya umma bila jazba na hoja zenye mashiko kama
>> >> ilivyokuwa miaka ya nyuma ilipokuwa ikiongozwa na CUF, Kiongozi huyo
>> >> alisema kambi ya upinzani inapaswa ijipange upya kwa utaratibu na
>> >> mikakati mizuri ya kuteta hoja za wananchi bila kuyumbishwa na wabunge
>> >> wa CCM.
>> >>
>> >> "Bunge usiwe uwanja wa kuonyesha mbwembwe za chama bali uwe uwanja wa
>> >> kutetea haki za wananchi, wabunge wanapaswa wabadilishe mitazamo ya
>> >> kuona bungeni ni sehemu ya kujionyesha kisiasa na chama chako
>> >> kinafanya nini nje ya Bunge," alisema Lipumba.
>> >>
>> >>
>> >> Alisema viongozi wa Serikali wanapaswa kubadilika kuhusu namna ya
>> >> kutoa majibu bungeni.
>> >>
>> >> Profesa Lipumba alisema mawaziri wengi wanakuwa wakitoa majibu mepesi
>> >> katika maswali ya msingi yanayoulizwa na wabunge wa upinzani.
>> >>
>> >> Alisema Bunge linatumia muda na pesa za walipakodi vibaya kwa baadhi
>> >> ya wabunge kuwa na ubishi usiokuwa na tija, kutoleana matusi na
>> >> wengine kuingilia hoja za wenzao bila sababu za msingi.
>> >>
>> >> Profesa Lipumba pia alisema Spika wa Bunge, Anne Makinda amepoteza
>> >> uwezo wa kuliongoza Bunge.
>> >>
>> >> Mwananchi
>> >>
>> >>
>> >>
>> >> On 4/26/13,
>> >> lingsadam@yahoo.co.uk<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=lingsadam%40yahoo.co.uk><
>> lingsadam@yahoo.co.uk<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=lingsadam%40yahoo.co.uk>>
>> wrote:
>> >> > Elisa, ndugu yangu nadhani unafikia hitimisho sivyo ndivyo na kwa
>> >> > haraka.
>> >> > Umejuaje hawajasoma link?umejuaje wameudhika? Binafsi nimeisoma hiyo
>> na
>> >> huo
>> >> > ndiyo mchango wangu. Si lazima nichangie kwenye kila hoja, mathalan.
>> Na
>> >> sio
>> >> > kila hoja iwavutie wachangiaji wote.
>> >> > -----Original message-----
>> >> > From: ELISA MUHINGO
>> >> > Sent: 26/04/2013, 22:38
>> >> > To:
>> >> > wanabidii@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%40googlegroups.com>
>> >> > Subject: RE: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI
>> >> > KUWA
>> >> > NI
>> >> > VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA
>> >> >
>> >> >
>> >> > Wasomaji wangefuatilia link wangeweza kuchangia mjadala vizuri.
>> >> > Mahala fulani anasema Mawaziri wanashindwa kujibu hoja makini
>> >> zinazotolewa
>> >> > na wabunge wa chadema. Kuna mahala amemlaumu Speaker kwa kushindwa
>> >> kuendesha
>> >> > bunge. Basi kwa sababu kichwa cha mada kimewaudhi wachangiaji ila
>> >> > Lipumba
>> >> > ameongea ya maana
>> >> >
>> >> > --- On Fri, 4/26/13,
>> >> > lingsadam@yahoo.co.uk<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=lingsadam%40yahoo.co.uk><
>> lingsadam@yahoo.co.uk<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=lingsadam%40yahoo.co.uk>
>> >
>> >> wrote:
>> >> >
>> >> >
>> >> > From:
>> >> > lingsadam@yahoo.co.uk<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=lingsadam%40yahoo.co.uk><
>> lingsadam@yahoo.co.uk<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=lingsadam%40yahoo.co.uk>
>> >
>> >> > Subject: RE: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI
>> >> > KUWA
>> >> > NI
>> >> > VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA
>> >> > To:
>> >> > "wanabidii@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%40googlegroups.com>"
>> <wanabidii@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%40googlegroups.com>
>> >
>> >> > Date: Friday, April 26, 2013, 12:12 PM
>> >> >
>> >> >
>> >> > Nadhi hii ni nzuri. Chadema watakumbuka kuwa kukataa kuwa na vyama
>> >> vingine
>> >> > vyenye wabunge bungeni kuunda ka,bi rasmi ya upinzani bungeni ni
>> >> > fursa
>> >> > na
>> >> > changamoto. Lipumba kapata pa kushika pabaya.
>> >> >
>> >> > Lakini kwamba enzi CUF kinaongoza kambi ya upinzani hoja zilikuwa
>> nzito
>> >> hata
>> >> > kuwabana wabunge wa CCM hapo tena Lipumba katia chumvi nyingi. Na
>> >> > pia
>> >> > ni
>> >> > vema kuwa ndoa ya vyama hivi viwili kule zanzibar imekuwa kama
>> >> > sindano
>> >> > ya
>> >> > ganzi kwa chama cha wananchi.
>> >> >
>> >> > Mwisho, nadhani mkakati wa wabunge wa chadema, bila kujali labels
>> >> > wanazopewa, uko effective si tu ktk kukibeba chama chao bali pia
>> >> > kujaribu
>> >> > kusukuma agenda za kitaifa. For in an oppressive atmosphere the best
>> >> > good
>> >> > people can do is try to disobey the bad laws!
>> >> > -----Original message-----
>> >> > From:
>> >> > hkigwangalla@gmail.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=hkigwangalla%40gmail.com>
>> >> > Sent: 26/04/2013, 20:47
>> >> > To:
>> >> > wanabidii@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%40googlegroups.com>
>> >> > Subject: Re: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI
>> >> > KUWA
>> >> > NI
>> >> > VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA
>> >> >
>> >> >
>> >> > Duh! Sasa siasa imepamba moto! CUF rasmi katika uwanja wa siasa za
>> >> uzalendo
>> >> > zaidi!
>> >> > Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>> >> >
>> >> > -----Original Message-----
>> >> > From: richard bahati
>> >> > <ribahati@gmail.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=ribahati%40gmail.com>
>> >
>> >> > Sender:
>> >> > wanabidii@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%40googlegroups.com>
>> >> > Date: Fri, 26 Apr 2013 10:33:17
>> >> > To:
>> >> > wanabidii<wanabidii@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%40googlegroups.com>
>> >
>> >> > Reply-To:
>> >> > wanabidii@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%40googlegroups.com>
>> >> > Subject: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA
>> >> > NI
>> >> > VINARA
>> >> > WA VURUGU NA HAWANA HOJA
>> >> >
>> >> > Chama Cha Wananchi (CUF), kimesema vurugu zinazoendelea bungeni
>> >> > zinasababishwa na Kambi Rasmi ya Upinzani inayoongozwa na Mwenyekiti
>> wa
>> >> > Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,
>> >> > kushindwa
>> >> > kujenga hoja na mbinu za kuwabana wabunge wa Chama Cha Mapinduzi
>> (CCM).
>> >> > <http://www.blogger.com/null>
>> >> >
>> >> > Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CUF, Profesa
>> >> > Ibrahim
>> >> > Lipumba alisema wabunge wa Chadema wana tabia ya kufuata mfumo wa
>> >> > kwenda
>> >> > bungeni na hoja zinazobeba chama chao na si za Watanzania wote kama
>> >> > jinsi
>> >> > CCM wanavyofanya.
>> >> >
>> >> > Taarifa hiiinaendelea kwa undani hapa chini:
>> >> >
>> >> >
>> >>
>> http://goldentz.blogspot.com/2013/04/profesa-lipumba-aiponda-chadema-na.html
>> >> >
>> >> > --
>> >> > Send Emails to
>> >> > wanabidii@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%40googlegroups.com>
>> >> >
>> >> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%2Bunsubscribe%40googlegroups.com>
>> >> > Utapata Email ya kudhibitisha
>> >> > ukishatuma
>> >> >
>> >> > Disclaimer:
>> >> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >> legal
>> >> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> >> > must
>> >> be
>> >> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> >> agree to
>> >> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >> > ---
>> >> > You received this message because you are subscribed to the Google
>> >> > Groups
>> >> > "Wanabidii" group.
>> >> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>> >> > send
>> >> > an
>> >> > email to
>> >> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%2Bunsubscribe%40googlegroups.com>
>> .
>> >> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>> >> --
>> >> Send Emails to
>> >> wanabidii@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%40googlegroups.com>
>> >>
>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%2Bunsubscribe%40googlegroups.com>
>> >> Utapata Email ya kudhibitisha
>> >> ukishatuma
>> >>
>> >> Disclaimer:
>> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >> legal
>> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> >> must
>> >> be
>> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree
>> >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >> ---
>> >> You received this message because you are subscribed to the Google
>> Groups
>> >> "Wanabidii" group.
>> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> an
>> >> email to
>> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%2Bunsubscribe%40googlegroups.com>
>> .
>> >> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >>
>> >>
>> >>
>> >
>> > --
>> > Send Emails to
>> > wanabidii@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%40googlegroups.com>
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%2Bunsubscribe%40googlegroups.com>
>> > Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > must
>> be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> > ---
>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>> > Groups
>> > "Wanabidii" group.
>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> > an
>> > email to
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%2Bunsubscribe%40googlegroups.com>
>> .
>> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>> >
>> >
>> >
>>
>> --
>> Send Emails to
>> wanabidii@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%40googlegroups.com>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%2Bunsubscribe%40googlegroups.com>
>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://us.mc1221.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%2Bunsubscribe%40googlegroups.com>
>> .
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>>
>>
>> --
>> Wasalaam,
>>
>> Denis Matanda,
>> Mine Planning Supt,
>> Tanzania.
>>
>> *" Low aim, not failure, is a crime"*
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment