Monday 4 March 2013

[wanabidii] Re: Hongera Mh Zitto kwa kumkabili vilivyo mama Sarah Hermitage



Wapendwa wanabidii,
Inauma sana unapoona nchi yako na viongozi wako wana zarauliwa na kukosa staha Katika nchi nyingine na kimataifa. Na unapojiuliza sababu ya kuzarauliwa inakufanya uwe kwenye dilemma kubwa usimame upande upi!
 
Nionavyo kuhusu huyu mama ane idharau serikali yetu haitupaswi kumuunga mkono moja kwa moja; ila pia tunapaswa kua makini na jinsi tunavyo mkabili; maana watu wanje mda mwingine wameonyesha uzarendo kuliko watu tulio wakabidhi madaraka. Na umakini juu ya ku-mdeal huyu mama unapaswa kuchukuliwa zaidi maadamu wengi wanakubaliana na anachokisema juu ya serikali yetu kwa sehemu kubwa.
 
Historia ni mwalimu mzuri. Kumbukeni yule mama wa UK aliegomea TZ kununua rada; viongozi wa wakati huo walisema mengi na mengine ya kuuzi kuhalalisha ununuzi wa ile rada. Miaka michache baadae imekuja kudhihirika kua ilikua ni deal la watu wa chache. Pia kumbukeni kua ni mama huyohuyo (na sio viongozi wetu) alietusaidia kupata change ya RADA . Viongozi walioko madarakani hawakufanya juhudi zozote kurudisha zile pesa ni wabunge wa UK walisema ni vibaya kuibia nchi masikini kama Tanzania .  
 
Pia kumbukeni kisa cha filamu ya mapanki(vichwa vya sangara)mwanza. Japo watu wengi walimzomea yule bwana ila ukweli ndio huo watu wa Mwanza wanaishia kula vichwa vya samaki huku minofu ikiondoka. Hiyo ni mifano michache tu kati ya blanda nyingi zinazoendelea nchni.
 
Kwahiyo, nionavyo mimi maadamu Serikali imekataa au imeshindwa kusimamia maslahi ya taifa tutaendelea kudharauliwa tu. Huwezi kutegemea kupata heshima kama  ¾ ya bajeti yako  inafadhiliwa na watu wa nje. Wataishia kukuambia kua ukitaka tukusaidie ruhusu HOMOSEXUAL nk, tumeyona hayo.
 
Jamani tujiulize 'Kuna aibu gani kama ya ndege ya kijeshi ya nchi nyingine kuja kuchukua wanyama hai huku vyombo vya usalama  vikiwepo na serikali haijasema chochote cha maana mpaka sasa? Mimi nilitegema serikali iilazimeshe Qatar iwarudishe wale wanyama, nakama haitaki funga ubalozi wao.
 
Mambo ya Tanzania  yanakera sana . Kumbukeni majibu ya wafanyakazi wa BoT juu ya hela za EPA``makampuni yaliyochukua hela za EPA tumeyatambua ila majina ya waliochukua hatuja ya tambua`` kweli hii inaingia akilini??
 
Bila serikali yaTanzania kubadilika tutegemee mambo mengine zaidi ya aibu ya kudharirika kutoka kwa watu wengine pia.
Alexander.

From: paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Sent: Monday, March 4, 2013 5:27 PM
Subject: Re: [Mabadiliko] Re: Hongera Mh Zitto kwa kumkabili vilivyo mama Sarah Hermitage

Najaribu kufikiri kwa nguvu kuhusiana na maneno ya huyu mama dhidi ya

1. Viongozi wa Tanzania
2. mifumo ya sheria ya Tanzania
3. Taasisi za Tanzania
Na bila shaka
4.Watanzania

Kwa jinsi ninavyoona huyu mama pamoja na kwamba anasema kweli kwa
kiasi kikubwa anastahili kujibiwa kama anavyosema Matinyi

Anaweza kujibiwa na viongozi wa Tanzania kwa niaba ya watanzania

              AU
Anaweza kujibiwa na kundi la watanzania kwa niaba ya watanzania


            AU
Anaweza kujibiwa na mtanzania moja kwa niaba ya Watanzania

Napata ushawishi binafsi kwamba anastahili kujibiwa kwa namna yoyote
ili na sisi tuneshe hisia zetu,nasisitiza kwamba mambo mengi anayosema
ni ya kweli lakini hilo haliwezi kuhalalisha ukimya wetu kwa ujumla


2013/3/4 matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>:
> Wapi?
>
>
> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>
> ----- Reply message -----
> From: "Nicomedes Kajungu" <nicomedes76@gmail.com>
> To: "Spam Moderators" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> Subject: [Mabadiliko] Re: Hongera Mh Zitto kwa kumkabili vilivyo mama Sarah
> Hermitage
> Date: Mon, Mar 4, 2013 9:33 am
>
>
> Matinyi
>
>
>
> Nicomedes M. Kajungu
> General Secretary
> National Union of  Mine and Energy Workers  of Tanzania.
> (NUMET)
> P.O.Box 7733, Mwanza.
> Cel: +255 782 315 688,
>        +255 767 48 32 71,
>        +255 719 451 850
>
> Email: numet4ever@gmail.com
> nicomedes76@gmil.com
> Skype add: nkajungu
>
>
> 2013/3/4 matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
>
>> Nani kasema ni kosa?
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>>
>> ----- Reply message -----
>> From: "Nicomedes Kajungu" <nicomedes76@gmail.com>
>> To: "Spam Moderators" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>> Subject: [Mabadiliko] Re: Hongera Mh Zitto kwa kumkabili vilivyo mama
>> Sarah Hermitage
>> Date: Mon, Mar 4, 2013 9:18 am
>>
>>
>> Matinyi
>>
>> Karibu tunasubiri. Nasubiri kuona kama  ni kosa  mtu kukwambia ukweli.
>>
>>
>>
>> Nicomedes M. Kajungu
>> General Secretary
>> National Union of  Mine and Energy Workers  of Tanzania.
>> (NUMET)
>> P.O.Box 7733, Mwanza.
>> Cel: +255 782 315 688,
>>        +255 767 48 32 71,
>>        +255 719 451 850
>>
>> Email: numet4ever@gmail.com
>> nicomedes76@gmil.com
>> Skype add: nkajungu
>>
>>
>> 2013/3/4 matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
>>
>> > Kivuyo na Nico,
>> > Nitarejea kwa mifano na ninawaahidi kuwa mtaiona hoja ilipo.
>> > Matinyi.
>> >
>> >
>> >
>> >
>> > T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>> >
>> >
>> > ----- Reply message -----
>> > From: "Nicomedes Kajungu" <nicomedes76@gmail.com>
>> > To: "Spam Moderators" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>> > Subject: [Mabadiliko] Re: Hongera Mh Zitto kwa kumkabili vilivyo mama
>> > Sarah Hermitage
>> > Date: Mon, Mar 4, 2013 9:04 am
>> >
>> >
>> > Matinyi
>> >
>> > Jitahidi  uwe unakuja mapumziko. Mchango wako wa vitendo unahitajika
>> kuweka
>> > mambo sawa hapa  bongo.
>> >
>> > Nicomedes M. Kajungu
>> > General Secretary
>> > National Union of  Mine and Energy Workers  of Tanzania.
>> > (NUMET)
>> > P.O.Box 7733, Mwanza.
>> > Cel: +255 782 315 688,
>> >        +255 767 48 32 71,
>> >        +255 719 451 850
>> >
>> > Email: numet4ever@gmail.com
>> > nicomedes76@gmil.com
>> > Skype add: nkajungu
>> >
>> >
>> > 2013/3/4 Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@gmail.com>
>> >
>> > > Wee Matinyi inaelekea umekaa sana Marekani mpaka nchi yako ukaisahau
>> > > ilivyo.  Huko Marekani utaratibu ndio huo lakini huku utaratibui ni
>> > > tofauti.
>> > >
>> > > We have only two layers
>> > >
>> > >    1. The state
>> > >    2. The People
>> >
>> > >
>> > >
>> > > The state inachukua zote hizo
>> > >
>> > > Chama tawala
>> > > Serikali
>> > > Dola
>> > > Taifa
>> > > Nchi na ushee
>> > >
>> > > Ndio maan watu kila leo wanpigana, wanalalamika, wanauawa na polisi,
>> > > wananyang'nywa ardhi, wapigwa mabomu, wanteswa huko kwenye msitu wa
>> > > Mwabepande kwa interests ya The State
>> > >
>> > >
>> > >
>> > >
>> > > Real Change for Real Development,
>> > >
>> > > Lemburis Kivuyo
>> > > +255654650100/078 7665050/0755646470
>> > > Website: www. <http://www.infocomcenter.com/>kivuyo.com,  Skype:
>> >
>> > > lekivuyo, Facebook: http://facebook.com/lemburis.kivuyo, Titter:
>> > > http://twitter.com/lembu1, Linkedin:
>> > http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo
>> > > , Google+: gplus.to/lembukivuyo
>> >
>> > >
>> > >
>> > > 2013/3/4 Lutgard Kokulinda Kagaruki <lutgardkokulinda@gmail.com>
>> > >
>> > >> Ahsante Nico, wanatuchosha! LKK
>> > >>
>> > >> Sent from my iPad
>> > >>
>> > >> On 4 Mac 2013, at 3:51 alasiri, Nicomedes Kajungu <
>> > nicomedes76@gmail.com>
>> > >> wrote:
>> > >>
>> > >> Hivi  kuhusu kutenganisha aya, mnataka mwalimu Mabala ashike viboko?
>> > >>
>> > >>  Hamjui serikali yenu inazuia matumizi ya viboko?
>> > >>
>> > >> Nicomedes M. Kajungu
>> > >> General Secretary
>> > >> National Union of  Mine and Energy Workers  of Tanzania.
>> > >> (NUMET)
>> > >> P.O.Box 7733, Mwanza.
>> > >> Cel: +255 782 315 688,
>> > >>        +255 767 48 32 71,
>> > >>        +255 719 451 850
>> > >>
>> > >> Email: numet4ever@gmail.com
>> > >> nicomedes76@gmil.com
>> > >> Skype add: nkajungu
>> > >>
>> > >>
>> > >> 2013/3/4 godfrey john lutego <lutego.gratiana@gmail.com>
>> > >>
>> > >>> ngurumo, kama zitto angezungumza kama mtu wa chama, angetoa taarifa
>> > kama
>> > >>> naibu katibu mkuu chadema. kwa vile kasema kama zitto, basi aliweka
>> > uchama
>> > >>> wake pembeni. lakini la kujibu nadhani ni zuri. nov. 2012 nilikuwa
>> > mmoja wa
>> > >>> waliohudhuria pan african conference on investigative journalism,
>> > >>> johannesburg south africa. ilikusanya wanahabari na watu wengine
>> > >>> kama
>> > 200.
>> > >>> baadaye waandishi kama 40 tuliokuwa target hasa ya conference hiyo
>> > tulipata
>> > >>> fursa ya kutembelea konsula ya ubalozi wa marekani, johannesburg
>> ambako
>> > >>> tulikuwa na mazungumzo na mwakilishi wa cnn south africa, sipho ...
>> > moja ya
>> > >>> mambo aliyotaka kujua ni waandishi wa afrika wanaionaje cnn. hakika
>> > sijui
>> > >>> kama dada yule atakaa arudie kuwauliza waandishi wa afrika swali
>> lile..
>>
>> > >>> hataisahau siku ile kwani alishambuliwa sana kutokana na mtazamo wa
>> > >>> waandishi wengi kuhusu cnn. mkenya mmoja alimweleza jinsi kenya
>> > >>> wanavyoichukia cnn kwa kupotosha habari zao kwa kuripotoi mambo ya
>> > kenya
>> > >>> wakiwa washngton na kutoa mfano habari moja iliyohusu kuanguka kwa
>> > ghorofa
>> > >>> na watu kufa ilivyokuzwa na kuonesha kama machafuko ya ugaidi
>> yalikuwa
>> > >>> yameikumba tena kenya.alikiri kuwa ni kweli walipotosha na
>> kubadilisha
>> > >>> kichwa cha habari breaking news. msomali mwingine alimwelza jinsi
>> > >>> wasivyojua kinachoendelea somalia kwani hawako kule bali wanatumia
>> > simu na
>> > >>> hivyo kupotosha. niliwaunga mkono kwa kueleza cnn isivyoitendea haki
>> > >>> tanzania kwa kurusha kipindi cha inside africa kikionesha mauaji ya
>> > albino
>> > >>> geita kwa imani za uchawi. bahati nzuri mzimbabwe mmoja kati ya
>> > waandishi
>> > >>> hao alihusika kwenye dokumentari hiyo. alikiri kuhusu hilo.
>> niliwaambia
>> > >>> jinsi wanavyoripoti mabaya kuhusu tanzania lakini mazuri hawayasemi
>> na
>> > >>> kumuuliza kama yuko tayari kuja kuripoti mazuri. nilimweleza kama
>> > >>> waliripoti mauaji ya albino na kuiaminisha dunia kuwa watanzania
>> > >>> hasa
>> > >>> wasukumu wanaua albino ili watajirike, anaweeza kuja pia kuripoti
>> kuwa
>> > huko
>> > >>> usukumani ndiko zinatoka almasi (shioyanga) na dhahabu (geita na
>> > shinyanga)
>> > >>> zinazopelekwa afrika kusini na kuendeleza nchi hiyo na kufanya
>> wazungu
>> > >>> wapende kuishi hapo kwani inalingana na ulaya. aje aeleze kuwa
>> wanaoua
>> > >>> albino wamenyang'anywa almasi na dhahabu zao ndio maana wanadhani
>> > wakiua
>> > >>> albino watatajirika. je, nani muuaji, aliyepora almasi na dhahabu au
>> > >>> anayeua albimo. dada yule alipandwa munkali hadi ikabidi ofisa mmoja
>> wa
>> > >>> ubalozi anayehusika na pr aje kupoza moto ule. natamani angerusha
>> live
>> > >>> mahoajino yale au hata kama recorded. moyo ulimwakia. hivyo
>> watanzania
>> > >>> wawashieni moto wote wanaodharaua viongozi wetu na nchi yetu.
>> > >>> wakenya
>> > >>> niliwaambia ubepari wao hauwasaidii pale walipopopnda ujamaa wetu.
>> > lutego
>> > >>>
>> > >>>
>> > >>> 2013/3/4 Nyoni Magoha <john.magoha@gmail.com>
>> > >>>
>> > >>>> Kwahiyo ukimkuta Mengi anapigana na nyoka utamsaidia nyoka?
>> > >>>>
>> > >>>> On Mar 4, 2013, at 3:26 AM, Joseph Ludovick <
>> josephludovick@gmail.com
>> > >
>> > >>>> wrote:
>> > >>>>
>> > >>>> swali la haraka ni ikiwa waingereza watakataa kumkana raia wao,je
>> > tunao
>> > >>>> ubavu wa kufunga ubalozi wa uingereza na kuvunja uhusiano wa
>> > kidiplomasia
>> > >>>> au tutatafuta visingizio vingine?
>> > >>>>
>> > >>>> 2013/3/4 Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@gmail.com>
>> > >>>>
>> > >>>>> Ludo juzi nimesikia ITV kuna ka NGO ya *Human settlement of
>> >
>> > >>>>> Tanzania-HUSETA- imewataka wananchi kujitokeza katika maandamano
>> > >>>>> yatakayoanzia viwanja vya Mnazi mmoja hadi ubalozi wa Uingereza
>> > kuwasilisha
>> > >>>>> azimio la kuitaka serikali ya Uingereza kutoa tamko hadharani la
>> > kutohusika
>> > >>>>> na maovu yanayofanywa na baadhi ya raia wa nchi hiyo dhidi ya
>> > >>>>> taifa
>> > la
>> > >>>>> Tanzania ikiwemo kashfa na udhalilishaji kwa viongozi wa Ngazi za
>> > juu wa
>> > >>>>> serikali. *
>> >
>> > >>>>>
>> > >>>>>
>> > >>>>> Nilishtuka kwani nilidhani haraka iko motivated na maslahi binafsi
>> > >>>>> aidha ya Mengi au wakubwa wengine
>> > >>>>>
>> > >>>>> http://youtu.be/ebiQ6T28nGk
>> > >>>>>
>> > >>>>>
>> > >>>>> Real Change for Real Development,
>> > >>>>>
>> > >>>>> Lemburis Kivuyo
>> > >>>>> +255654650100/078 7665050/0755646470
>> > >>>>> Website: www. <http://www.infocomcenter.com/>kivuyo.com,  Skype:
>> >
>> > >>>>> lekivuyo, Facebook: http://facebook.com/lemburis.kivuyo, Titter:
>> > >>>>> http://twitter.com/lembu1, Linkedin: http://
>> > >>>>> tz.linkedin.com/in/lembukivuyo, Google+: gplus.to/lembukivuyo
>> >
>> > >>>>>
>> > >>>>>
>> > >>>>> 2013/3/4 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
>> > >>>>>
>> > >>>>>> mimi kama yangeitishwa maandamano ya kumpongeza huyu mama
>> > ningekwenda
>> > >>>>>> huko bila kujali vitu vizito
>> > >>>>>>
>> > >>>>>>
>> > >>>>>> 2013/3/4 Richard Mabala <rmabala@gmail.com>
>> > >>>>>>
>> > >>>>>>> naomba mtu atupatie usuli wa kesi hii.
>> > >>>>>>>
>> > >>>>>>> Nijuavyo mimi, huyu mama na kaka/mdogo wake Mengi waligombania
>> > >>>>>>> shamba moja.  Mama aliona ameporwa shamba na ndugu yake Mengi.
>> > Aliona pia
>> > >>>>>>> kwamba mahakama haikumtendea haki na kwamba pia Mengi alitumia
>> > vyombo vyake
>> > >>>>>>> vya habari dhidi yake.  Inawezekana si Mengi tu bali wananchi
>> > waliona mama
>> > >>>>>>> ni kaburu na mlowezi.
>> > >>>>>>>
>> > >>>>>>> Huko Uingereza alifungua kesi ambayo ilisema kwamba Mengi kweli
>> > >>>>>>> alitumia vyombo vyake na Mengi amepigwa faini ya mamilioni.
>> > Japokuwa
>> > >>>>>>> sijasikia kauli yake, bila shaka na yeye anaona mahakama ya
>> > Uingereza
>> > >>>>>>> haikumtendea haki.
>> > >>>>>>>
>> > >>>>>>> Mwandishi aliyetoa ushahidi wa kuthibitisha kwamba Mengi
>> anahusika
>> > >>>>>>> moja kwa moja na yaliyomo kwenye vyombo vyake, Eric Kabendera,
>> sasa
>> > >>>>>>> anasumbuliwa sana na vyombo vya dola hasa uhamiaji kwa kuhoji
>> > uraia wake
>> > >>>>>>> (mara baada ya hukumu ya kesi kutolewa).  Inawezekana pia huu ni
>> > ushahidi
>> > >>>>>>> wa kimazingira tu.
>> > >>>>>>>
>> > >>>>>>> Mwenye kujua zaidi aongeze au asahihishe hapa kwa sababu hukumu
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forums" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.

TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl

For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en

---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.






0 comments:

Post a Comment