Sunday 31 March 2013

Re: [wanabidii] SAKATA LA GHOROFA, PINDA AJIUZULU HARAKA

Kaka Matinyi unakejeli msaada kutoka nje, lakini sio FBI waliotusaidia kumkamata yule gaidi aliemuua yule Roman Catholic priest, Father Evaristus Gabriel Mushi ? Bila ya msaada kutoka nje kwa "marafiki" zetu huyu gaidi angelipatikanwa? 
 
...bin Issa.

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, March 31, 2013 11:44:17 AM
Subject: RE: [wanabidii] SAKATA LA GHOROFA, PINDA AJIUZULU HARAKA

Inasikitisha. Labda tunahitaji msaada kutoka nje kwa "marafiki" zetu.
 
Date: Sun, 31 Mar 2013 04:27:31 -0700
From: mwahija_juma@yahoo.com
Subject: [wanabidii] SAKATA LA GHOROFA, PINDA AJIUZULU HARAKA
To: wanabidii@googlegroups.com

Akifanya majumuisho katika hotuba ya matumizi ya ofisi yake bungeni kwamwaka 2008/09. Waziri Mkuu alizungumzia jinsi tume ya Lowassa ilivyofanya kazikatika sakata la ghorofa kuanguka jijini Dar es Salaam.

Pinda alilithibitishia Bunge kuwa zaidi ya maghorofa 100jijini Dar es Salaam yalibainika kuwa yalijengwa kinyume cha taratibu za ujenzi.Kwa mujibu wa ripoti iliyoundwa na Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa,kati ya maghorofa 505 ambayo waliyakagua, 147 yalikutwa hayana nyaraka zaujenzi.

Lowassa aliunda tume baada ya jengo la Hoteli ya Chang'ombe Village Inn, Keko,Dar es Salaam kuanguka mwaka 2006 na kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa.Ilidaiwa kwamba ulikuwapo ukiukwaji katika ujenzi wake.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliliambia Bunge kuwa tume hiyo ya Lowassa, ilibainikuwa ukaguzi huo, pia maghorofa 81 yalikutwa yamekiuka masharti ya ujenzi hukumaghorofa mengine 22 wenyewe hawakupatikana na yalikuwa yamejengwa bilakuzingatia sheria za ujenzi pamoja na uzembe wa baadhi ya watendaji wakiwamowahandisi wa manispaa husika.

1.Pinda asemebaada ya kukabidhiwa ripoti hii alimwajibisha nani tangu 2008 hadi sasa?
2.Watanzaniatupo tayari kuletewa danganya toto ya Tume nyingine ikalete majibu yaliyoko kwaPinda mezani?
3.Kwa Uzembehuu, Pinda ameshiriki kwa kuwa hawakuwawajibisha waliojenga kinyume nautaratibu hadi watanzania wengine wakafa. Zamu hii hata akilia anahusika!
4.Tangu tumezianze kuundwa kuhusu maafa ni akina nani walichukuliwa hatua. – Tangu MVBukoba hadi Tume ya matokeo ya Kidato cha Nne.
5.Watanzania Tumechokakuneemesha mifuko ya wajumbe wa Tume, na kufilisi rasilimali zetu. PINDAAJIUZULU.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment