Friday 29 March 2013

[wanabidii] Re: KANISA LA WINNER UKONGA BANANA LAVAMIWA

Yona nimerudi,nimepata kwa undani juu ya tukio lililotokea hapo kanisani WinnersChapel Banana,kimsingi tukio halikuwa ulivyolireport hapa jukwaani,huyo kijana ni mtanzania na ni mkurya,jina lake ni Mwita,alikuwa ni mwalimu kwenye shule inayomilikiwa na kanisa iitwayo Kingdom Heritage,yeye kafukuzwa kutokana misconduct mbalimbali kazini,kwa hiyo kuna vifaa vya shule vya shule ambavyo alipaswa avisubmit ili aweze kupewa hakizake kitu ambacho hakukifanya,ndipo alipotoka kwenda kunywa akarudi kwa mkuu wa shule akiwa amewaka,akaanza kumlazimisha mwalimu mkuu amlipe chake lakini haikuwezekana  kwani walinzi walimbana na kumwondoa hapo,kwa hiyo si kweli kwamba ni mnijeria,na si kweli kwamba alikwenda pale na AK-47,na si kweli kwamba kulikuwa na kuhamanika kokote kutoka kwa waumini kama pia ulivyotaka kutuaminisha hapa,Mwita alidhibitiwa kama mlevi yeyote anavyodhibitiwa  basi ukawa mwisho wa habari,sasa exagerations za kwamba kulikuwa na AK-47,tukio la ugaidi,watu kuhamanika mwisho wa yoe ni kujitafutia aibu tu na kushusha heshima ya jukwaa na wanajukwaa.Sasa mzee wa adhabu kwa kudanganya hapa jitafutie adhabu,mimi isingekuwa wewe ndo mhusika mkuu wa hili jukwaa ningekutwanga ban ya miezi minne hivi ili ujue kwamba kwa nafasi yako hupaswi kuwa mkurupukaji.Haya unajiadhibuje?

On Thursday, March 28, 2013 6:56:06 AM UTC-8, Yona F Maro wrote:
Taarifa zinasema kuna mtu amevamia ofisi za mchungaji wa kanisa la
winner la ukonga banana na gari lenye namba  CSE35 KG TOYOTA KURZA .

Huyu mvamizi ni wa asili ya Nigeria , watu hapo wanahusisha tukio hili
la dalili za kufanyika kwa ugaidi

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment