Saturday 30 March 2013

Re: [wanabidii] JENGO LA GHOROFA LAPOROMOKA KATIKATI YA JIJI LA DSM

Mungu awasaidie waokolewe wale ambao bado wazima.

lakini daima twalalama humu wengine kuhusu ujenzi wa sasa na mabalaa yajayo. Vyuma chakavu na uharibifu wa miundombinu na kuomba ikiwezekama kiwanda cha chuma chalavu kifungwe kukomesha uharibihu huo. Hizo nondo watengenezao zitumikazo katka ujenzi huenda ni chelema hazifai.Cement wajenzi wanakwenda kununua re-bagged cement ndio wanajengea kupunguza gharama.

Na bado yataporomoka mengi na kuuwa wengi kutokana na kutokuzingatia kanuni za ujenzi. Yatakuja mengine kutitia au kutumbukia ardhini hulalamikaga daima nikichangia humu kulalama kuondoka katika zile nyumba za NHC na kujenga kisasa bila ya kuzingatia magonjwa-hewa na usalama wa wakazi. Ghorofa zimezunguka na vijumba vya chini hewa hakuna.

Vighorofa uchara vinajengwa kati ya nyumba ambazo ni fupi. Mpango wa DSM wa mji 1979 hauendelezwi na kujali tu maendeleo ya sasa mtu ajenge popote aina yoyote ya nyumba atakayo kwa urefu wowote ule bila kuangalia vifaa gani tunavyo vya mima moto na uokoaji. Hii ni ghorofa 16 to jee hizo 50 hadi mia itakuwaje. pale Mwenge DSM kila mtu anaongezea kachumba juu ya kaghorofa fulani na chama cha maijinia wajenzi, Serikali ya Mtaa na halmashauri wanaona vighorofa uchwara hivyo kisha juu ofisi za watu chini watu wanakula ktk retaurant, kuna majiko ya moto na hatari nyinginezo. Wengine juu wamekodisha ukumbi wa sherehe za arusi au wana maombi. Aina ya ujenzi haihimiri uzito ibebayo. Kila ghorofa limechimba kisima kirefu na wanapampu maji wanatengeneza mifereji chini na pia kuweka vacuum apapo ardhi hushindwa kuhimili mzigo. Jengo litakatika na kutumbukia ardhini.

Wanaonekana watu Mwanza wanavyojenga kando ya mawe ktk peninsula ya ziwa victoria. Wanapasua mawe, kuwasha moto na kuyatia joto na nyufa. Ipo siku ya mvua kubwa mawe yatabiringita na watu na kuwamwaga ziwani au barabarani.

Kama hii ya kujenga bondeni haijatufunza wanaendelea kujenga na kuzama kupoteza mali na unawaona wakilia kuhaha matatizo ktk TV na magazeti, tunaona majumba yakiporomoka mtoni tuchimbako mchanga na hatukatazi hao vijana na wajengao maporomokoni; hatujifunzi kutokana na ujenzi wa mabilioni wa baranara ambapo inakatika kabla ya kukabidhiwa na madarasa yanakatika kabla ya kukabidhiwa- kwa nini tuwape hao wakandarasi feki nyumba. Badala yake bora kuchukua kampuni za Kigeni-Chinese, Japanese, Noremco (norwegian) Denish, Germany. kampuni isiyotaka kutumia viwango-ifutwe na ilipe gharama ya uharibifu jengo au barabara iliyopasuka kabla ya kukabidhiwa au kutumika.

Fundi mjenzi budi aangalie wabongo-mafundi wadogo na vibarua ni wezi. Ukimpa dakika 2 tayari na wenzake wameondoa mfuko wa siment kuficha vichochoroni wakauze. Wanajaza michanga mingi bila ya kuwa na utu/ubinadamu na jengo linaanguka. Budi uwe na msimamizi kona zote za ujenzi na ufunge uzio kuzunguka nyumba hakuna kutoka bila kusachiwa ama sivyo watauza vifaa na kujenga mbambiko. Wanajali kupata tu na pesa zote huishia anasa na ndio maana huishi kama vibarua maisha yote licha ya kuuza cement na nondo za wizi.

Hebu fikiria jengo kama hilo manzese inaangukia nyumba ndogo kadhaa usiku au hata mchana na ndani kuna watu na nyumba nyingine zina TV kuonyesha cinema za video, zina madrasa, mama ntilie na moto unawaka wanapika wakati zinaporomokewa.

Tusipojipenda na kutii sheria mbalimbali za usafi, ujenzi, makazi, viwango vya mpaka nondo na cement-tutaendelea kijiuua wenyewe daina na uwezo wa kujiokoa ni mdogo.

--- On Sat, 30/3/13, nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com> wrote:

From: nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] JENGO LA GHOROFA LAPOROMOKA KATIKATI YA JIJI LA DSM
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, 30 March, 2013, 10:27

Ingekuwa siku ya kazi ingekuwa balaa!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 30 Mar 2013 10:02:00 +0000
To: Wanabidii googlegroup<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] JENGO LA GHOROFA LAPOROMOKA KATIKATI YA JIJI LA DSM

Tushukuru Mungu haikuwa siku ya kazi kilio kingekuwa kikubwa zaidi mji wetu unavyokuwa
na msongamano wa watu na magari sijui ingekuwaje. 

Date: Fri, 29 Mar 2013 11:01:08 +0300
Subject: Re: [wanabidii] JENGO LA GHOROFA LAPOROMOKA KATIKATI YA JIJI LA DSM
From: samchaz307@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

BADO WATU WAPO ENEO LA TUKIO WAKIWEMO VIONGOZI WAKUBWA WA MKOA;ASILIMIA KUBWA YA WATU WAMEOKOLEWA HUKU VIFAA DUNI VYA UOKOAJI VIKIKWAMISHA KAZO HIYO;WATU KADHAA WANAHOFIWA KUFA JAPOKUWA SINA IDADI KAMILI, ILA BADO TUNAENDELEA KUPOKEA TAARIFA ZAIDI JUU YA HILO

On Fri, Mar 29, 2013 at 10:57 AM, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
Jamani tusaidieni updates za jngo hili, hali ikoje...
 
K.E.M.S.
From: Victor Mwita <victormwita@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, 29 March 2013, 0:01
Subject: Re: [wanabidii] JENGO LA GHOROFA LAPOROMOKA KATIKATI YA JIJI LA DSM

Nimesikia breaking news radio one kwamba ni kweli jengo la ghorofa 16 limeanguka lote na inahofiwa watu takriban 60 wanaweza kuwa wameathirika
On Mar 29, 2013 9:41 AM, <johnlemomo@gmail.com> wrote:

Kuna taarifa za jengo la ghorofa kuporomoka katikati ya jiji la Dar es salaam - mtaa wa Mosque.

Waliofika kwenye eneo la tukio watupe taarifa zaidi.

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

--
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/

Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment