Saturday 2 March 2013

Re: [wanabidii] UDINI OFISI YA MWANASHERIA MKUU – MMOJA AHAMISHWA

Wlipandikiza haya yote wakidhani itawasaidia sasa nao wanajifanya
kushangaa! They are fully responsible for the outcome and they should
be ready to go to mahakama za kihalifu endapo nchi itaingia kwenye
matatizo.

On 3/3/13, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> Taarifa nilizozipata zinasema kuna wakili mmoja katika ofisi ya
> mwanasheria mkuu aliyehamishiwa mkoa wa kagera baada ya kufanya
> jaribio la kutaka kupeleka watu wa dini yake kwenye safari za mafunzo
> sehemu mbalimbali kwa siku 30 ili waweze kujiongezea kipato
> wanapolipwa kwenye safari hiyo .
>
> Habari hii imejaribu kifichwa sana na walioamua hivyo ni viongozi wake
> baada ya mtikisiko kutoka sehemu mbalimbali haswa kwenye ofisi hiyo .
>
> Majina nimeficha kwa sasa na hata dini yenyewe nimeficha .
>
> Lakini inafedhehesha na kusikitisha kwamba hata ofisi za mwanasheria
> mkuu kuna ubaguzi kiasi hiki .
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment