Saturday 26 January 2013

[wanabidii] VURUGU ZINAENDELEA MASASI

- Risasi za moto na mabomu ya machozi yanapigwa kutawanya watu na
tayari nyumba moja imechomwa moto. Gari la maji ya kuwasha limefika
ila bado watu wanazidi kuongezeka

- Tayari gari na nyumba ya mbunge imechomwa moto na vijanga wanazidi
kusonga mbele wakiwa na madumu ya petrol

- Mahakama ya mwanzo imechomwa, moto na polisi wamejifungia ndani!
Wanarusha mabomu ya machozi wakiwa ndani.

- Askari magereza wamejaribu kuwasha gari la maji ya kuwasha lakini
bahati mbaya halina, maji hivyo wakashuka na kukimbia na wananchi
wanataka kulichoma moto

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment