Sunday 13 January 2013

[wanabidii] Re: Tarime inaelekea wapi? *

Kuhusu wachimbaji madini na viwanja angalia http://www.flexicadastre.com/tanzania/
hii imeandaliwa na kampuni moja ya afrika kusini taweza kujionea
viwanja wanaovimiliki na aina ya madini waliyochimba .

On Jan 13, 8:16 am, Victor Mwita <victormw...@gmail.com> wrote:
> Nimesoma maelezo yako ya kina Mr. Yona na mengi ni very educative. Kwetu
> Tarime nimekuta hakuna maeneo yalilyoachwa kwa ajili ya wachimbaji wadogo!
> Nilipita huko na kuambiwa maeneo yote yamechukuliwa na wawekezaji wakubwa!
> Ila pia nahisi kuna uwezekano wananchi wameuza maeneo hayo wao wenyewe hilo
> sina uhakika. Kwa sasa kuna uhusiano wa kiuhasama baina ya mwekezaji na
> wananchi na polisi badala kuleta amani na suluhu wanatumia huo uhasama kama
> fursa ya kujipatia kipato! Hiyo imekua kero kubwa kwa wazazi maana kila
> vijana wakikamatwa inabidi kutoa laki 1 ndo waachiwe. Na kwa kuwa hawana
> kazi nyingine wanajikuta wamerudi huko tena na cycle inarudia tena. Katika
> hali hii polisi ndio wanaofaidika lakini mgogoro haupati suluhu. Nadhani
> iko haja ya kuwasaidia wananchi wa huko na kupata lasting solution ktk
> swala hili
> Ni hayo tu tunayotaka watu wenye nafasi watusaidie na kuifanya kanda maalum
> ya polisi ikomeshe wizi na sio kuwaita vijana wetu intruders
> On Jan 12, 2013 11:54 PM, "Yona Maro" <oldmo...@gmail.com> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
> > Hili suala la madini inabidi iwe mada tofauti kwa sababu imeanzishwa hapa
> > itabidi niongee kile kilichopo sasa hivi .
>
> > Hapo zamani kidogo shida ilikuwa sio kusaidia wachimbaji wadogo wadogo
> > shida ilikuwa ni kuwatambua na kuwa na utaratibu wa kuwasaidia kwa vifaa na
> > mikopo mengine ili waweze kuchimba madini yao , kusafisha na kuuza kwa
> > usalama zaidi .
>
> > Kama nilivyosema kwenye ujumbe wangu wa siku chache zilizopita ni kwamba
> > kuna mradi unaofadhiliwa na benki ya dunia wenye lengo la kutafuta taarifa
> > za wachimba madini wote popote walipo , idadi yao , kile wanachochimba ,
> > masoko yao ili waweze kusaidia na hii ni kwa tanzania nzima .
>
> > Kuna kampuni zimeshaanza kazi hiyo na wiki chache zilizopita taarifa za
> > kwanza zilishatolewa na database imeanza kutengenezwa ya wachumbaji hawa .
>
> > Nawashauri wachumbaji haswa wadogo wadogo waungane ili waweze kusaidiwa na
> > kufanya biashara yao kwa faida zaidi na wapatiwe mitaji mikubwa zaidi kwa
> > ajili ya kukuza biashara zao na maisha yao .
>
> > Usiku mwema .
>
> > 2013/1/12 Victor Mwita <victormw...@gmail.com>
>
> >> Kama kuna mtu anayejua sheria ya madini inasemaje kuhusu fate ya
> >> wachimbaji wadogo inakuaje kwenye maeneo yanayowekezwa na hawa matajiri wa
> >> kimagharibi anisaidie ili nimkumbushe Katibu Mkuu wa wizara ya madini ili
> >> awasaidie wakazi wanaokaa karibu na Nyamongo. Kwa.sasa wamebaki kuwa mtaji
> >> wa polisi w kuwakamata kama intruders na kula laki kwa kila kijana. Au
> >> mwenye uwezo na influence na polisi atusaidie kumwambia mzee IGP Mwema
> >> awaokoe vijana wetu
> >> On Jan 12, 2013 9:11 AM, "Ireneus Kakuru Mushongi" <
> >> ireneuskakurumusho...@gmail.com> wrote:
>
> >>> Ndugu zanguni watani wangu.
> >>> Haya yanayotokea Tarime ni picha ndogo lakini inayowakilisha maeneo
> >>> yaliyo mengi hapa nchini.
>
> >>> Ni mahali pengi ambapo wananchi hawafaidiki na rasilimali
> >>> zinazowazunguka. Ht wawekezaji wanatumia loop holes zilizopo katika mifumo
> >>> yetu ya utawala kujineemesha na hasa wakishagundua gaps. Hebu fikiria haya
> >>> maeneo yenye migodi, ni sheria au muongozo gani uliotumika kupanga
> >>> halmashauri husika zipewe dola laki mbili (200000 usd)? Wananchi wahusika
> >>> na ht halmashauri husika hazikushirikishwa katika mchakato mzima wa mapato
> >>> haya. Ni amri toka juu ilipitisha hii flat rate bila kujali km ni madini ya
> >>> mkaa, gesi,dhahabu, almasi ama ulanga.
> >>> Hiki kiasi ni kidogo sana ukinganisha na hali halisi ya mapato na kile
> >>> kinachopatikana kwenye madini. Huu ni mshahara wa mtu mmoja  junior expat
> >>> tena sio senior, kwenye rates za maexpert hapo migodini just kuwapeni
> >>> picha. Kiasi hiki kingetolewa katika kuchangia maendeleo ya vijiji tu
> >>> jirani lakini sio pato la mwaka mzima kwa halmashauri.
>
> >>> Nyumbani Karagwe tunaishi kwa kutegemea kahawa lakini bei ziko wapi
> >>> nakila mkulima analazimishwa akauze kwenye chama tena kwa mkopo au nusu
> >>> bei, wakishauza ndio mnaletewa areas ama halbaki. Akija Mganda full mkoko
> >>> ananunua mara tatu au nne ya bei ya chama mnaambiwa hzmruhusiwi na hapewi
> >>> kibali kununua. Hivi mnJua waliwahi kuwekwa polisi Murongo mpakani
> >>> kudhibiti watu kuvusha kahawa kupeleka UgandA na baadhi ya watanzania
> >>> walipoteza maisha kwa kupigwa risasi? Sasa jiulize hawa waganda wenye bei
> >>> kubwa wNauza wapi buko duniani km soko la dunia ni moja? Sisi huambiwa kuwA
> >>> bei ni ndogo nandio maana ht wao hutoa bei ndogo kwa wakulima.
>
> >>> Kwa hiyo tatizo lipo sio Tarime tu..tunahitaji mabadiliko makubwa sAna
> >>> kwenye hili. Sisi kama wananchi tuna nafasi yetu kwenye hili lakini pia
> >>> tunahitaji back up kubwa ya mamlaka khpitia uwajibikaji wa viongozi,
> >>> wawKilizhi na taasisi za umma ili kufanikisha mabadiliko ya ukweli.
>
> >>> Vinginevyo ht juhudi binafzi zitakwama ama zitakwamishwa na mfumo mbovu;
> >>> hasa pale siasa zinapotumika ktk kuamua maendeleo ya wananchi.
>
> >>> Ireneus
> >>> On Jan 11, 2013 10:10 PM, "Victor Mwita" <victormw...@gmail.com> wrote:
>
> >>>>  [image: Boxbe] <https://www.boxbe.com/overview> This message is
> >>>> eligible for Automatic Cleanup! (victormw...@gmail.com) Add cleanup
> >>>> rule<https://www.boxbe.com/popup?url=https%3A%2F%2Fwww.boxbe.com%2Fcleanup...>| More
> >>>> info<http://blog.boxbe.com/general/boxbe-automatic-cleanup?tc=13326983845_...>
>
> >>>> This meaning that Tarime is not part of the nation. This is one of the
> >>>> weak points of our tribe. When one holds a big position, the next thing is
> >>>> to avaoid his kinsmen. Helping your place of origin has never been a bad
> >>>> thing only if you balance it. So Magufuli and mzee Msuya did the wrong
> >>>> thing to help their area to leap forward eti eeeh?
> >>>> On Jan 11, 2013 9:41 PM, "RICHARD MGAMBA" <rmgamba2...@yahoo.com>
> >>>> wrote:
>
> >>>>> We didnt hold those positions to serve our tribes but our beloved
> >>>>> nation.
>
> >>>>>    *From:* Victor Mwita <victormw...@gmail.com>
> >>>>> *To:* wanabidii@googlegroups.com
> >>>>> *Sent:* Friday, January 11, 2013 7:50 PM
> >>>>> *Subject:* Re: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi?
>
> >>>>> Mr. Mgamba u have put it right, Kuryans are known for their hard work
> >>>>> which is a slecial attribute. Wherever they are they work hard. But i have
> >>>>> the opinion that some people are deliberately pulling them back. We who
> >>>>> have been fortunate to hold positions of influence should unite and be the
> >>>>> reason for change of our society. I am trying to find a forum where we can
> >>>>> meet and discuss means that will enable our district shine as it is
> >>>>> supposed to be
> >>>>> On Jan 11, 2013 6:20 PM, "mati...@hotmail.com" <mati...@hotmail.com>
> >>>>> wrote:
>
> >>>>> Jabir,
> >>>>> Tanzania ina wapumbavu wengi sana. Ndiyo maana tuko hivi.
> >>>>> Matinyi.
>
> >>>>> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>
> >>>>> ----- Reply message -----
> >>>>> From: "jabir yunus" <jabirg...@yahoo.com>
> >>>>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> >>>>> Subject: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi?
> >>>>> Date: Fri, Jan 11, 2013 9:19 am
>
> >>>>> Richard's talking volume.
>
> >>>>> Is Mizengo Pinda one of those stooges? Once he said before journalists
> >>>>> that Kuryas must stop to LOVE fighting.
>
> >>>>> --- On Fri, 1/11/13, RICHARD MGAMBA <rmgamba2...@yahoo.com> wrote:
>
> >>>>> From: RICHARD MGAMBA <rmgamba2...@yahoo.com>
> >>>>> Subject: Re: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi?
> >>>>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> >>>>> Date: Friday, January 11, 2013, 3:57 AM
>
> >>>>> Hivi kweli hawa ni watu wa Tarime au ninaota?
> >>>>> Miaka miwili iliyopita nilisikia watu wa Tarime wasomi wameunda umoja
> >>>>> wa Tarime, na kufanya vikao mbali mbali, sasa what happened?
>
> >>>>> Kwa kifupi: Tarime is no longer the domant place it used to be called.
> >>>>> It's no longer a place of criminals or thugs as many people thought. Today,
> >>>>> our youths are the best enterpreneurs in Mwanza, Mara and eslewhere. They
> >>>>> have invested back home, and through their sacred efforts, we have modern
> >>>>> hotels and many more good things.
> >>>>> Today in Lake zone Kurya youths are among the wealthy, contrary to
> >>>>> four decades ago. Today, our brothers and sisters are taking their children
> >>>>> to the best private schools in Tanzania, Kenya and elsewhere.
>
> >>>>>  The first thing that can change our society is stop being negative
> >>>>> about ourselves. What we have done for this country can't be undermined by
> >>>>> those who are naive of what we are and the values that we stand for as a
> >>>>> society.. During the liberation struggle and post independence, our
> >>>>> brothers sacrificed the lives becuase they wanted us to have a better
> >>>>> country. Though at the end we were branded as the most violent, barbaric
> >>>>> and brutal people, the truth is very clear: We have never produced wealthy
> >>>>> individuals who made their fortunes by stealing from the government.
>
> >>>>>  Cattle theft was just  a minor traditional process, which in today's
> >>>>> world, has been abandoned by many of us. We have first of all to be very
> >>>>> proud of what we are before thinking about having our umbrella organisation
> >>>>> for development of our people.
>
> >>>>> One thing I have never regretted in my life is being a Kurya because
> >>>>> it's something that happened naturally. I never chose to be born there, but
> >>>>> God did it for me and therefore I am proud of who I am as well as my
> >>>>> people. While we think of having an umbrella organisation, we
>
> ...
>
> read more »

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment