Friday 18 January 2013

[wanabidii] Re: MATANGAZO YA BIASHARA HAYARUHUSIWI

Ukisoma ujumbe wangu nimesema kuna njia bora zaidi za kutangaza
wanaotaka kutangaza wawasiliane tutawaonyesha ujumbe wao utafika kwa
watu wengi zaidi kuliko hivi wanavyofanya .

Matangazo ya kazi ni tofauti kidogo na hayo tunaomba watu wawe
wanaweka hata kulink na blogu au majukwaa yao .

Nadhani tumeelewana .

On Jan 18, 11:43 pm, Zephaniah Mugittu <zephymugi...@yahoo.co.uk>
wrote:
> Yona,
>
> Inategemea unavyo-define tangazo la biashara maana hata tanzazo la kazi nalo ni la biashara ktk muktadha fulani, sasa na hayo unataka watu wasiwataarifu jamaa zao kuhusu kazi au? Please, I advice uwe more specific vinginevyo utaweza kuwafuta wengi kwani hapa hatujadili CCM na CDM tu na maswala ya kukomboana kiuchumi... Ni mtazamo tu...
>
> Regards,
>
> Mugittu, Zephaniah,
>
> Cell: +255 784 769 481
> Skype: Zephaniah N.N. Mugittu
>
>
> No matter how high one is talented , business acumen still a necessity
> "Poverty is a result of attitude ..."
>
>
> --- On Fri, 18/1/13, Yona F Maro <oldmo...@gmail.com> wrote:
>
> From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
> Subject: [wanabidii] MATANGAZO YA BIASHARA HAYARUHUSIWI
> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Friday, 18 January, 2013, 21:03
>
> Ndugu zangu
>
> Matangazo ya biashara hayaruhusiwi kama unatangazo lako , uulize
> unaweza kuelekezwa njia rahisi na sahihi za kutangaza biashara yako .
>
> Atakayerudia tena kuanzia kesho atapoteza uanachama wake .
>
> --
> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment