Saturday 19 January 2013

[wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015

Kwa kuwa umeshakiri mwenyewe unadharau basi uache dharau , ukaongeze
maarifa zaidi uje kupambana kwa hoja na ukomboe jamii yako huko ulipo
kwanza .

Shika maneno yangu yatakusaidia , Usiige vitu na kufuata mkumbo kuna
wengi walikuwa zaidi yako kwenye mitandao hii ya kijamii alikusha
kushtuka baada ya kupoteza vingi na sometime huwa wamepoteza vingi
zaidi pamoja na nguvu za kufanya kazi .

On Jan 19, 8:22 pm, "Mohamedi Mtoi" <mouddym...@gmail.com> wrote:
> Ndugu Maro.
> Sijawahi kumletea mtu yoyote dharau isipo kuwa nalazimika kudharau hoja kama hizi ulizo.
>
> Ona na hii nyingine ambayo naamini nikikubana ulete ushahidi utaishia kuingia mitini kama ulivyo ingia mitini kwenye swala la fedha za FOS.
>
> Umesema  "Watu wengi wamekuambia na kukusisitizia acha dharau na acha kushambulia watu Binafsi maana haitokufikisha popote". Ni watu gani waliowahi kusema na lini limshambulia mtu binafsi zaidi ya kushambulia na kukemea tabia zisizo faa kama ile uliyo onyesha kwenye michango ya Mkina?!
>
> Nashukuru kwa ushauri "usome na utafute maarifa zaidi ukomboe jamii yako hiyo iliyokuzunguka hapo kijijini" na wewe usome na utafute maarifa yasiyopotosha au kushambulia watu ili jamii ya wana oldmoshi iweze kunufaika na maarifa yako.
>
> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
>
>
>
>
>
>
> -----Original Message-----
> From: Yona Maro <oldmo...@gmail.com>
>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sat, 19 Jan 2013 20:02:14
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015
>
> Mtoi Ndugu yangu Acha dharau , Watu wengi wamekuambia na kukusisitizia acha
> dharau na acha kushambulia watu Binafsi maana haitokufikisha popote .
>
> Kingine nakushauri usome na utafute maarifa zaidi ukomboe jamii yako hiyo
> iliyokuzunguka hapo kijijini kwanza haya mengine hayatakusaidia wala
> kukupoleka popote unadanganyika tu .
>
> Mark My words .
>
> 2013/1/19 Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>
>
> > Kwa hili huyo mkufunzi wako wa Code Language amekulisha matango pori au
> > alitumia notes za kichina wewe ukawa una zitafsiri kwa uelewa wako.
> > Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
> > -----Original Message-----
> > From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
> > Sender: wanabidii@googlegroups.com
> > Date: Sat, 19 Jan 2013 08:45:32
> > To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> > Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> > Subject: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015
>
> > Hii ni Code Language kwa wanaoelewa wameelewa kwa wasioelewa waombe
> > kueleweshwa sio kushambulia muwasilishaji kwa sababu tu ametoa mawazo
> > tofauti .
>
> > Hiyo ni mbaya sana , hatutafika popote .
>
> > On Jan 19, 5:03 pm, Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com> wrote:
> > > Kha mkuu Yona hii hoja umeandika mwenyewe kweli hii au kahawa street
> > manake
> > > sishawishiki kabisa kuwa pamoja na nia nzuri ya kututaadharisha kuhusu
> > Dr.
> > > Slaa, imekaa kiuswahili swahili sema tu linalokulinda hapa uhuru wa
> > kusema
> > > chochote.
>
> > > Hebu kabla hatujavuka mpaka na kutoa maoni yasiyo stahili tutendee haki
> > > uende ziada ya maelezo uliotoa mkuu
>
> > > 2013/1/19 Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>
>
> > > > **
> > > > Weston.
> > > > Nilimaanisha mleta mada! Pole kama nitakuwa nimekukwaza mkuu! Wakati
> > > > mwingine inatubidi kutoa majibu ya kufyatuka kwa sababu ya hoja za
> > kipuuzi.
> > > > Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
> > > > ------------------------------
> > > > *From: * weston mbuba <matut...@yahoo.com>
> > > > *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
> > > > *Date: *Sat, 19 Jan 2013 03:18:43 -0800 (PST)
> > > > *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
> > > > *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
> > > > *Subject: *Re: [wanabidii] Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa
> > > > 2015
>
> > > > Mtoi,
>
> > > > Sijamtosa mama Ngina wangu. au ulimaanisha yule aliyeanzisha mada hii?
>
> > > > --- On *Sat, 1/19/13, Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>* wrote:
>
> > > > From: Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>
> > > > Subject: Re: [wanabidii] Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa
> > 2015
> > > > To: wanabidii@googlegroups.com
> > > > Date: Saturday, January 19, 2013, 3:14 AM
>
> > > > Wewe mwenyewe mmetosana na mke wako kaa kimya!
> > > > Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
> > > > ------------------------------
> > > > *From: * weston mbuba <matut...@yahoo.com>
> > > > *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
> > > > *Date: *Sat, 19 Jan 2013 02:50:49 -0800 (PST)
> > > > *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
> > > > *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
> > > > *Subject: *Re: [wanabidii] Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa
> > > > 2015
>
> > > > Hakuna mwanadamu asiyetosa. Wewe mwenyewe kumbuka umetosa mangapi?
> > > > Tumeumbwa ili tutose. Na kutosa ndo kubadilika. Mwisho wa siku hata
> > dunia
> > > > tunaitosa, au inatutosa?
>
> > > > --- On *Sat, 1/19/13, Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>* wrote:
>
> > > > From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
> > > > Subject: [wanabidii] Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015
> > > > To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> > > > Date: Saturday, January 19, 2013, 2:39 AM
>
> > > > Ndugu zangu
>
> > > > Dr Slaa aliwahi kuwa padre lakini baadaye akalitosa kanisa akaamua
> > > > kutumikia dunia kwa kujipatia jiko na maisha mengine ya kidunia .
>
> > > > Amewahi kumtosa Mke wake wa kwanza ambaye wamewahi kufikishana
> > > > mahakamani kwa ajili ya kupinga ndoa yake mpya na kuomba matunzo ya
> > > > watoto aliowatosa .
>
> > > > Miaka ya 90 Dr Slaa Aliitosa CCM Baada ya kushindwa kwenye kura wakati
> > > > alipotaka kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika jimbo la karatu .
>
> > > > Sasa tunaelekea mwaka 2015 ambapo tutakuwa na uchaguzi mkuu wa wabunge
> > > > na rais nchini na inasemekana Dr Slaa anaweza akakosa nafasi hiyo ya
> > > > kuwakilisha chama katika uchaguzi wa mwaka 2015
>
> > > > Swali ninalouliza wadau je Dr Slaa ataitosa CHADEMA kama alivyoitosa
> > > > CCM miaka ya 90 ?
>
> > > > Swali hili limenijia maana amewahi kufanya maamuzi mazito 3 na
> > > > kuendelea na maisha tu .
>
> > > > --
> > > > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > > > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> > > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > > > ukishatuma
>
> > > > Disclaimer:
> > > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> > legal
> > > > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> > must be
> > > > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> > agree
> > > > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> > --
> > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
>
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> --www.wejobs.blogspot.comJobs in Africawww.jobsunited.blogspot.com
>
> ...
>
> read more »

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment