Friday 25 January 2013

[wanabidii] Re: CHADEMA WAKO SAWA NA FALSAFA YA "NGUVU YA UMMA"

Ndugu Mbise .

Mnafanya maandamano mnaharibu miundombinu na miradi ambayo imejengwa
kwa fedha za mikopo ya muda mrefu , Kesho mnaenda na kopo lenu .

Tuhamasishane kufanya kazi na kuelimisha umma ili waweze kujiletea
maendeleo wenyewe kwa nchi zetu hizi ambazo demokrasia ni changa
maandamano yanaumiza wengine .

On Jan 26, 7:13 am, "Mbise, Emmanuel (Bulyanhulu)"
<EMb...@africanbarrickgold.com> wrote:
> Nionavyo mimi falsafa hii  inafanya kazi  maana maandamano mengi japokuwa yanazuiwa kwa nguvu kubwa lakini utekelezaji unafanywa kwa haraka zaidi, wananchi tumeliona hilo na mafanikio yanaonekana na ndio yanayopelekea  kila siku maandamano kufanyika ili kero ziweze kushughulikiwa kwa haraka.
> Kwa hatua tuliyofikia mpaka kitu kidogo ndio upate huduma ,uwajibikaji hakuna,uadilifu sifuri n.k
> "NGUVU YA UMMA" inafaa saana
>
> safety has no luck play your role
> Emmanuel G Mbise | Mine Captain Conventional| African Barrick Gold (Pty) | Phone: +255 (22) 2600 508 Ext: 6061 |  Mobile: +255755347135 Fax: +255 (22) 2600 222 | Address: Bulyanhulu Gold Mine, African Barrick Gold, P.O. Box 1081, Dar es Salaam, Tanzania | Email EMb...@africanbarrickgold.com

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment