Makamu Mwenyekiti wa CCM (T) ametua jijini Mwanza na kupokelewa na msafara wa vijana wa pikipiki katika msafara.
Yawezekana amekuja katika ziara ya Chama huku CCM MZA ikiwa vipanda vipande. Antony Dialo toka achukue kiti toka kwa Clement Mabina bado kuna majeraha ya uchaguzi kati ya makada wa chama hiki mkoani Mwanza.
Mwenyekiti mkoa haivi na baadhi ya wenyeviti wa Wilaya, achilia mbali "bifu" alilonalo kati yake na baadhi wa wajumbe wa NEC kutoka katika baadhi ya wilaya za mkoa huu.
Ngoja tutasikia mkongwe huyu wa siasa ndani ya CCM atafanya nini katika ziara yake
Fred
MATURITY does not come with age, it begins with acceptance of Responsibility
Change is Essence to maturation
0 comments:
Post a Comment