Tuesday 22 January 2013

[wanabidii] Kumekuwa na vurugu MWANZA kati ya Polisi na waendesha boda boda

Wadau, leo barabara ya makongoro muda wa asubuhi kulikuwa na vurugu kati ya polisi na waendesha boda boda.
Sababu ya vurugu mpaka sasa haijaeleweka vizuri. Mwenye taarifa za kina anaweza kutujuza hapa jukwaani.

Japo ukiongea na baadhi ya watu wanasema jana kulikuwa na operation kabambe ya askari wa usalama barabarani kukamata pikipiki na zikawa zinasombwa kwenda kituo cha kati cha polisi. Inawezekana hiyo ndiyo ime-fuel yote hayo
 
Fred 
MATURITY does not come with age, it begins with acceptance of Responsibility
Change is Essence to maturation 

0 comments:

Post a Comment