Monday 28 January 2013

Re: [wanabidii] Zaidi ya watu 230 wafa kaika club ya usiku Brazil

Duh...Pole zao

On Jan 28, 2013, at 12:38, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

Tujifunze kutoka kwa wenzetu. hayo maholi ya starehe 'Maisha Clud'; Mbagala huko kwa Shigongo etc maukumbi makubwa kuwe na milango ya dharura zaidi ya mmoja ya kutoka. Pili, kuacha kutumia 'Fataki'. Hata wakati wa arusi nyingine  unaona kuna vitu vya fataki maids wanafyatua. Tuache mambo haya ya hatari. Huko Brazil zima moto imewahi, hapa TZ zima moto yenyewe inahitaji ibebwe na ungo ndio ifike haraka. wengi watakuwa. Labda wale wa usafiri wa ungo kwenda Mbeya saa 1.30 watumike kuanzisha huduma ya zimamoto labda kutakuwa na kuwahi. Otherwise, itakuwa balaa sana.

--- On Mon, 28/1/13, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:

From: richard bahati <ribahati@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Zaidi ya watu 230 wafa kaika club ya usiku Brazil
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 28 January, 2013, 9:24

Zaidi ya watu 230 wafa kaika club ya usiku Brazil

http://www.goldentz.blogspot.com/2013/01/zaidi-ya-watu-230-wafa-kaika-club-ya.html

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group, send email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment