Monday, 14 January 2013

RE: [wanabidii] UFUGAJI WA NGURUWE NI RAHISI NA WENYE TIJA

Ndugu yangu Jagem,

naamini mtu makini haanzi kusoma habari kabla ya kichwa cha habari maana ndicho kinachoashiria kilichomo ndani ya habari. Kila mtu anauhuru wa kusoma habari anayoipenda, la huiacha kwa ajili ya wengine. Na kwa taarifa yako kuna waliosilimu wanasoma shahada ya Tiba Mifugo, wanakamata nguruwe kama kawaida. Sijui nao tusemeje, kwa nini hawajawaletea shida(noma) wanaowafundisha? Natoa elimu kwa wanaohitaji wasioihitaji wanapotezea tu, mbona bado itapendeza tu.

-----Original message-----
From: Jagem K'Onyiego
Sent: 14/01/2013, 04:25
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] UFUGAJI WA NGURUWE NI RAHISI NA WENYE TIJA

Agostino,

Tafadhal usithubutu kuwaaambia walio 'silimu' maswala kama hichi unachokiandika hapa mtandaoni. Wata tafuta kichwa chako eti umewadhulumu.

Jagem
 
Living among the Mighty requires Wisdom.

________________________________
From: Augustino Chengula <achengula@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, January 13, 2013 5:25 AM
Subject: [wanabidii] UFUGAJI WA NGURUWE NI RAHISI NA WENYE TIJA

Nguruwe ni mnyama mwenye faida, ni rafiki kwa mazingira na hahitaji
gharama kubwa

"Ufugaji wa Nguruwe ni lazima uwe wa kisasa ili kupata mazao bora.
Unaweza kupata kila unachohitaji wewe, familia na hata ndugu zako kutokana na
ufugaji wa nguruwe", anasema Bwana Lomaiyani Molel kutoka Arusha. Jamii nyingi
hapa Tanzania huchukulia nguruwe kama mnyama mchafu na asiyefaa kuwa karibu
naye na hata kwa matumizi kama lishe. Zaidi, nyama yake inapendwa na haina
madhara kwa afya na inapendekezwa kuliwa zaidi kuliko nyama nyekundu. Unaweza
kuanzisha mradi wa nguruwe kwa gharama ndogo lakini baada ya kipindi cha miezi
tisa tu ukaanza kujipatia kipato kutokana na ufugaji huo. Maelezo zaidi hapa http://achengula.blogspot.com/
--

To all the questions of your life YOU are the  most possible answer. To all the problems of your life YOU are the best solution. Trust yourself
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidi
Email truncated to 2,000 characters
:::0:891bc5641338823280c711e30d1c494b:7d0::::

Original message is located on server

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

2 comments:

  1. mimi naomba picha ya mapanda ya kisasa ya nguruwe. gshilangi@gmail.com

    ReplyDelete
  2. mimi naomba picha ya mapanda ya kisasa ya nguruwe. gshilangi@gmail.com

    ReplyDelete