Sunday 27 January 2013

Re: [wanabidii] TAARIFA YA NDUGU ZITTO KABWE (MB) KUHUSU YANAYOENDELEAMTWARA NA MRADI WA BOMBA LA GESI

Uzuri wa Zitto huwa anatoa hoja kwa vielelezo na ndicho kinachofanya watu wengi tumkubali angalau kwa hilo. Ukitembea kwenye mistari yake unagundua kitu kisicho cha kawaida katika makubaliano ya Serikali na hao Investors.

Sasa ni muda muafaka kwa Serikali kuweka wazi Mkataba wa bomba ili wananchi tujiridhishe pasipo shaka kwamba hakuna UCHAKACHUZI uliofanyika...Wananchi wa Kusini wasikilizwe

Dida

--- On Sun, 1/27/13, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] TAARIFA YA NDUGU ZITTO KABWE (MB) KUHUSU YANAYOENDELEAMTWARA NA MRADI WA BOMBA LA GESI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, January 27, 2013, 7:06 PM

Taarifa hii ya Zitto ikisomwa na mwenye akili sawasawa utaona kuwepo kwa kitu kisicho cha kawaida katika mradi huu wa bomba la kusafirisha gesi badala ya mradi wa kwanza wa kujenga kituo cha umeme huko Mnazi.
Mkataba huu wa bomba la gesi yafaa uwekwe hadharani tuuone na tarehe zake.

--- On Sun, 1/27/13, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:

From: richard bahati <ribahati@gmail.com>
Subject: [wanabidii] TAARIFA YA NDUGU ZITTO KABWE (MB) KUHUSU YANAYOENDELEAMTWARA NA MRADI WA BOMBA LA GESI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, January 27, 2013, 10:09 AM

TAARIFA YA NDUGU ZITTO KABWE (MB) KUHUSU YANAYOENDELEAMTWARA NA MRADI WA BOMBA LA GESI

http://goldentz.blogspot.com/2013/01/taarifa-ya-ndugu-zitto-kabwe-mb-kuhusu.html

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment