Tuesday 15 January 2013

Re: [wanabidii] Safari ya miaka 18 bila kupumzika inaanzia hapa

Asante Sabula kwa changamoto, nimeisoma hiyo link. Hiiya kwangu nilipiga mahesabu ya ki-gentle man tu na hii ni cost ya item moja tu. Education tena kwa kima cha kawaida kabisa. Ukweli ni kwamba, costs za kumkuza mtoto hadi amalize japo tu univeristy ni nyingi zaidi ya hapo. Ni challenge kweli kwa kuwa hata serikali zetu hazina uwezo wa kumlipa mwajiriwa wake kiasi cha kuweza kumudu hilli moja tu. Ndiyo maana anayepata upenyo/rushwa analamba kweli kweli maana hajui kama hiyo bahati ataipata tena na ni either arisk au aamue kuendelea kusurvive. Few are living and many are surviving.

2013/1/14 Mabula Sabula <mabsab@hotmail.com>
Ndugu Bahati,
 
Hili ni swali la wazazi duniani kote ...kuhusu hapa Canada..."According to MoneySense.ca, the average cost of raising a child to age 18 is a whopping $243,660. Break down that number, and that's $12,825 per child, per year -- or $1,070 per month. And that's before you send them off to university..." soma zaidi hapa... http://www.canadianliving.com/life/money/how_much_does_it_cost_to_raise_kids_in_canada.php . Ukiwa mzazi, pia majukumu hayaishi, watoto wakifika miaka 18!

Mabula Sabula
Toronto, Canada
____________________________________________________________________________
Date: Mon, 14 Jan 2013 18:56:36 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Safari ya miaka 18 bila kupumzika inaanzia hapa
From: zulqarnayn.alexander@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Hongera sana Bahati, bravo big up sana 

2013/1/14 king kingu <kingkingu3@gmail.com>
Asante kaka Bahati,
 huu ni mfano wa kuigwa hasa kwa wazazi wenzio tujifunze kuandaa maisha ya watoto, wetu kupanga na kufikiri kwa pamoja.
 pia ni fundisha kwa vijana wasikurupuke kuleta watoto duniani au kuzaa na kuwatelekeza.
 Keep giving good examples brother!!!!!!!!!!!!!!

2013/1/14 richard bahati <ribahati@gmail.com>
Ni wakati ambapo Mama Sia na mimi tunaangalia nyuma tulikotoka. Tulipomwacha mtoto shuleni na kuelekea kazini, njiani tulikuwa tunajadili, hivi itachukua muda gani mpaka  Mary-Sia aweze kusimama na miguu yake mwenyewe kama Mungu atampa uzima? Hapo tulianza kuhesabu
1.Chekechea miaka miwili 2013-2014
2.Primary School 2015 - 2021
 Kwa picha na habari zaidi: http://goldentz.blogspot.com/2013/01/safari-ya-miaka-18-bila-kupumzika.html

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment