Yakulaumiwa ni Serikali haswaaaaa. Imelea hili suala. Tulisema watu waelimishwe! Ilikuwa ianzishe mazungumzo mapema walipoziona dalili za fujo kupitia manung'uniko ya watu. Walianza kujibu hovyo; vijembe nk. Sasa leo hii wananchi wakae kufikisha hoja zao wakati wamefikia "a point of no return". Sasa ni serikali kushuka chini na kuomba radhi kwa kuwapuuza wananchi na kuomba mazungumzo.
VIn
2013/1/27 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Victor,
Unachokisema ni sahihi kabisa na kama kama hakutakuwa na mkono wa mtu ndani yake basi wameshindwa kutumia busara na kuamua kufanya uharibifu. Tusubiri tutasikia mengi.Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.From: Victor Mwita <victormwita@gmail.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Sun, 27 Jan 2013 12:08:59 +0300ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] Re: MTWARA DAMU YA WATU SABA YAMWAGIKA NYUMBA ZA WABUNGE ZACHOMWA MOTOHayo yanayofanyika Mtwara tuyaite maasi au? Kwa nn wasiweke terms zao kwenye meza ya mazungumzo? Hapo naomba ku-differ na wale wanaooilaum Serikali kwa hili. Kama kulikuwa na hoja hiyo kwa nn hawakuilleta kupitia kwa wawakilishi wao? Hizi fujo nazifananisha na zile za waumini wa kanisa la Kakobe waliojaribu kuzuia umeme usipite juu ya kanisa lao. Wote tunajua kilichotokea. Much as naona wana hoja ya msingi but vurugu hazitawafikisha popote. Hii ni nchi yetu sote, so tuanzishe mjadala wa namna bora ya kutumia rasilimali za nchi yetu kwa faida ya sisi sote
On Jan 27, 2013 11:52 AM, "Yona F Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:--Sasa kwanini washambuliaji wanavamia nyumba za wanachama wa CCM au
viongozi wao ?
Hawa wananchi si wao wenyewe ndio wamewachagua tena kwa kishindo ?
On Jan 27, 11:21 am, richard bahati <ribah...@gmail.com> wrote:
> HALI NI MBAYA MTWARA DAMU YA WATU SABA YAMWAGIKA NYUMBA ZA WABUNGE ZACHOMWA
> MOTO Habari zaidi na picha hapa:http://goldentz.blogspot.com/2013/01/hali-ni-mbaya-mtwara-damu-ya-wat...
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:
Post a Comment