Thursday 3 January 2013

Re: [wanabidii] Re: Mjadala wa bomba la gesi Mtwara liwe somo kwa Wa-Tanzania

Kutumia herufi kubwa kwenye emails, humaanisha kuzomea unaoatumia. Soma email etiquettes.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

From: Yahoo! <bertmutta@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 3 Jan 2013 22:15:02 -0800 (PST)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Cc: Sangare Loserian<sangaleloserian@yahoo.com>; Maimuna Kanyamala<maimunakanyamala@hotmail.com>; manyelezi@yahoo.com<manyelezi@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mjadala wa bomba la gesi Mtwara liwe somo kwa Wa-Tanzania

MBONA HILDA KIWASILA HUWA UNA HOJA SASA YOU ARE DERAILING YOURSELF. HIVI KWELI HUONI KUWA SERIKALI TUNAYOIPA KODI NA INAZOSAMEHE KIFISADI INA WAJIBU WA KUTOA HUDUMA ZA JAMII? JE, MATUMIZI YASIYO YA LAZIMA AMBAYO YANGEELEKEZWA KWENYE HUDUMA MUHIMU KAMA ELIMU, AFYA, MIUNDOMBINU UYAJUI? KAMA TUNATENGENEZA ARV FAKE NA MSD INALIPA MABILIONI KWA FAIDA YA WEZI SI TUNGENUNUA HAYO MADAWATI YA KUTOSHA AU TUNGELIPA MADAKTARI. TUNAUNDA MIKOA NA WILAYA NYINGI ILI TUONGEZE MATUMIZI WAKATI WILAYA MPYA HAIONGEZI IDADI YA WALIMU, WALA VITUO VYA AFYA WALA UREFU WA BARABARA.

HILDA KUMBUKA SHULE TUMEZIJENGA WANANCHI TUKITEGEMEA TUNAONGEZEA KWENYE KODI ZETU SASA NA WALIMU TUWAAJIRI?
Gosbert Mutasingwa
P.O Box 40
Biharamulo
KAGERA-Tanzania
0784 857 775/0758 491 247

--- On Thu, 1/3/13, Japhet Makongo <makongo@yahoo.com> wrote:

From: Japhet Makongo <makongo@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: Mjadala wa bomba la gesi Mtwara liwe somo kwa Wa-Tanzania
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: "Sangare Loserian" <sangaleloserian@yahoo.com>, "Maimuna Kanyamala" <maimunakanyamala@hotmail.com>, "manyelezi@yahoo.com" <manyelezi@yahoo.com>
Date: Thursday, January 3, 2013, 9:42 PM

Ninafuatilia mjadala huu kwa makini. Maoni yanayotolewa kuhusu uhalali wa malalamiko na hatimaye maandamano ya baadhi ya watu wa mtwara yana uzito wake. Na pia ufafanuzi wa serikali una mantiki yake. Wananchi wanyo haki ya kuhoji na kupata maelezo ya jinsi watakavyonufaika na uvunaji wa raslimali hii. Hii ni haki ya kila mtanzania, hata wale walio na dhahabu, samaki, wanyama pori nk, hata kama hawakuwahi kuuliza kwa sauti kubwa kama hii ya mtwara. Wananchi wanapouliza ni kiashiria kwamba serikali au mamlaka husika ilikuwa haitajatoa taarifa  yenye kueleweka. Ombwe hili la kukosa taarifa rasmi linafungua mwanya wa mkanganyiko wa nini kinatokea na kuwafanya watu watafute taarifa na tafsiri kwa njia tofauti.

Kwa mtazamo wangu, hili ni FUNDISHO MOJA KWA SERIKALI. Kwa mtazamo wangu, maelezo ya serikali (hata kabla sijatoa tathmini yangu kama ni sahihi au siyo sahihi) yalitakiwa kutolewa mapema sana sanjari na uamuzi wa kujenga bomba la gesi kuja Dar.  Hii ingesaidia wadau wengi kuelewa na hata kuchangia/kuboresha mkakati wa kujenga bomba hilo. Na pia kuboresha njia ya kuwasiliana na wananchi kwa masuala kama haya.

KWA UPANDE WETU WANANCHI, tunajifunza kuwa wawakilishi wetu katika vyombo vya maamuzi hawajawa na uwezo wa kutosha kushirikisha au hata kudadisi juu ya maamuzi yanayogusa maslahi ya wananchi. Sanjari na kuibana serikali kwa njia hizi zilizotumika Mtwara tutafute mbinu nyingine za kuwawajibisha madiwani na wabunge ili wasiwe sehemu ya watu wanaolalamikia serikali (na mara nyingine kijiunga na katika maandamano ya raia!).

KWA SASA, serikali ione haja ya kuendeleza mazungumzo ya ufafanuzi wenye kuleta tija na kujenga mshikamano badala ya kulaumiana. Kila mtu anayechangia hapa ni mdau na ana haki ya kusikilizwa. Nafasi ya ya kujenga ndiyo imeanza, tuitumie vyema ndugu zangu.

makongo

----------------------------------------------------------------

Japhet Maingu Makongo
Director, Ubunifu Associates Ltd
P.O. Box 32971, Dar es Salaam,
TANZANIA
Website: www.ubunifu.co.tz, info@ubunifu.co.tz,
Tel: +255 22 2762027, Mobile:+255 754 571 256

--- On Thu, 1/3/13, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:

From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: serikali haijawaelewa watu wa Mtwara
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, January 3, 2013, 3:11 PM

Dr. HK,
Kuna kipindi ulikua unalalamika juu ya mgodi ulioko jimboni kwako kua wananchi wako hawafaidiki na machimbo ya madini. Vipi Hamis unalinganishaje hili la gas ya Mtwara na hayo maandamano yanayo endelea.
Alexander

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, January 3, 2013 3:54 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: serikali haijawaelewa watu wa Mtwara

Meli, inayofanya utafiti wa mafuta baharini Mafia maeneo ya 'Ndagoni' imepambana na GAS nyingi sana baharini katika uchimbaji wake baharini hii gas inayotajwa kuwepo baharini karne. Kampuni ya kigeni (ya Kifaransa kama sijakosea) inafanya drilling huko majini na bomba la uchafu linamwaga nje ya bahari nchi kavu eneo maalum Ndagoni.

Hii meli ndio ile ambayo maharamia wakisomali waliivamia kutaka kuiteka wakakamatwa. Kelele tupunguze tuache ushabiki potovu. GAS baharini ipo, nchi kavu. Serikali ipo katika tafiti nyingi. Mzee Nyerere aliziona raslimali hizi akasema tusivune na kuwaachia hawa wazungu waliochora ramani ya mali hizi mpaka tusomeshe vijana wetu waendeshe mitambo na kusimamia governance. Vijana tuache politiking, tusaidie mipango na mikakati mizuri na kujibidiisha ili tuweze kuwa na skills za kujajiriwa na kujiajiri kutumia raslimali hizi for development. Hii muhimu badala ya kujigawa nchi kwa ufahari na majisifa kisiasa. Wapigao kelele waonyeshe mifano mizuri ya utendaji mikoa au vijijini kwao ambako raslimali zipo lakini watu wamebweteka. Ulanzi twanywa elfu mbili kwa siku lakini kuchania elfu 5 tu kila mzazi ili fundi seremala alipo posho kwa kutengeneza madeski ya shule wala hatutaki. Misitu ipo, halmashauri inatoa miti migumu kadhaa madeski yatengenezwe na seremala wa kijijini na timu yake alipwe na wazazi-haieleweki. Ulanzi/kindi, kangara 2000/= per day x 30 days or 366 days ni kiasi gani ushindwe mchango wa elfu tano baada ya mavuno ya mwaka mara moja kwa mwaka kaya 1000+ x 5,000/= ni hela za kutosha wanafunzi wapate madeski, meza ya teacher, kabati la vitabu etc. Tunafanya?
Waziri ameweka clear haswa.

--- On Thu, 3/1/13, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Re: serikali haijawaelewa watu wa Mtwara
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 3 January, 2013, 13:56

Ndugu Rashid na wengine waziri ameweka clear

Kwamba Gesi na Mafuta yako baharini na yamekuwepo huko miaka maelfu
yalipopita kabla ya hata hii mipaka yetu kuwekwa , kwahiyo huwezi
kusema tu ni yetu au yao sijui ya upande huu .

On Jan 3, 12:19 pm, ELISA MUHINGO <elisamuhi...@yahoo.com> wrote:
> Labda wananchi wa Mtwara ndio hawajaielewa serikali. Sikutegemea serikali ieleze wanachotaka wananchi wa Mtwara. Kuna mfano gani hai serikali iliwahi kuonekana kuwaelewa wananchi wake.
> Ni kutafuta njia nyingine ya kutatua tatizo hilo Tunaweza kuwahi kabla ya kuelekea hatua ya Somalia. Inawezekana.
>
> --- On Wed, 1/2/13, rashid martin <rashi...@hotmail.com> wrote:
>
> From: rashid martin <rashi...@hotmail.com>
> Subject: [wanabidii] serikali haijawaelewa watu wa Mtwara
> To: "wanabidii google" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, January 2, 2013, 11:10 PM
>
>                          natia wasi wasi na uelewa wa viongozi wetu, sijui niwaite watawala,
> wananchi wa Mtwara hawajasema hawataki gesi isitumike kwa watu wengine, au ni lazima watumie wao tu, si kweli
> watu wa mtwara wanataka si tu kushirikishwa bali hata kufaidi juu ya gesi hiyo ikiwa pamoja na kufungua viwanda hivyo na wao wakapata ajira, wanaogopa falsafa ya kivuli cha mti wa mvuno ambao kimvuli cha mti huo hutua mbali sana na hivo kimvuli icho hakimfaidishi alie panda mti huo, hivi ina yamkinika MAFINGA-IRINGA pamoja na msitu mkubwa kiasi kile lakini wanafunzi wanakaa chini madarasani na wengine wanaweka viroba vikiwa vimejazwa mchanga ndo wanakalia, baba zao na mama zao waliulinda ule msitu kwa mali na kwa hali zao zote.....rejea film ya Darwin's nightmare(filamu ya mapanki) iliyo onyesha jinsi gani wananchi wa Mwanza walivo na wanavokula mapanki alafu minofu ya samaki inapelekwa nje
> watanzania tufunguke tukichekeana nchi itaharibika, hata Somalia na siera lione ilianza hivi hivi
> --
> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment