Saturday 19 January 2013

Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015

Umeweka sawasawa kisu kwenye mfupa Kaka Heche.

Ngoja niheshimu haya maneno yako nisishupaze shingo.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: heche suguta <hechesuguta29@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 19 Jan 2013 09:50:11 -0800 (PST)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015

Hebu tuache akili finyu za kujadili watu tujadili vitu na masuala sio watu hizo ni akili finyu...

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, January 19, 2013 8:45 AM
Subject: [wanabidii] Re: Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015

Hii ni Code Language kwa wanaoelewa wameelewa kwa wasioelewa waombe
kueleweshwa sio kushambulia muwasilishaji kwa sababu tu ametoa mawazo
tofauti .

Hiyo ni mbaya sana , hatutafika popote .

On Jan 19, 5:03 pm, Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com> wrote:
> Kha mkuu Yona hii hoja umeandika mwenyewe kweli hii au kahawa street manake
> sishawishiki kabisa kuwa pamoja na nia nzuri ya kututaadharisha kuhusu Dr.
> Slaa, imekaa kiuswahili swahili sema tu linalokulinda hapa uhuru wa kusema
> chochote.
>
> Hebu kabla hatujavuka mpaka na kutoa maoni yasiyo stahili tutendee haki
> uende ziada ya maelezo uliotoa mkuu
>
> 2013/1/19 Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>
>
>
>
>
>
>
>
> > **
> > Weston.
> > Nilimaanisha mleta mada! Pole kama nitakuwa nimekukwaza mkuu! Wakati
> > mwingine inatubidi kutoa majibu ya kufyatuka kwa sababu ya hoja za kipuuzi.
> > Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
> > ------------------------------
> > *From: * weston mbuba <matut...@yahoo.com>
> > *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
> > *Date: *Sat, 19 Jan 2013 03:18:43 -0800 (PST)
> > *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
> > *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
> > *Subject: *Re: [wanabidii] Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa
> > 2015
>
> > Mtoi,
>
> > Sijamtosa mama Ngina wangu. au ulimaanisha yule aliyeanzisha mada hii?
>
> > --- On *Sat, 1/19/13, Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>* wrote:
>
> > From: Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>
> > Subject: Re: [wanabidii] Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> > Date: Saturday, January 19, 2013, 3:14 AM
>
> > Wewe mwenyewe mmetosana na mke wako kaa kimya!
> > Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
> > ------------------------------
> > *From: * weston mbuba <matut...@yahoo.com>
> > *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
> > *Date: *Sat, 19 Jan 2013 02:50:49 -0800 (PST)
> > *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
> > *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
> > *Subject: *Re: [wanabidii] Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa
> > 2015
>
> > Hakuna mwanadamu asiyetosa. Wewe mwenyewe kumbuka umetosa mangapi?
> > Tumeumbwa ili tutose. Na kutosa ndo kubadilika. Mwisho wa siku hata dunia
> > tunaitosa, au inatutosa?
>
> > --- On *Sat, 1/19/13, Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>* wrote:
>
> > From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
> > Subject: [wanabidii] Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015
> > To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> > Date: Saturday, January 19, 2013, 2:39 AM
>
> > Ndugu zangu
>
> > Dr Slaa aliwahi kuwa padre lakini baadaye akalitosa kanisa akaamua
> > kutumikia dunia kwa kujipatia jiko na maisha mengine ya kidunia .
>
> > Amewahi kumtosa Mke wake wa kwanza ambaye wamewahi kufikishana
> > mahakamani kwa ajili ya kupinga ndoa yake mpya na kuomba matunzo ya
> > watoto aliowatosa .
>
> > Miaka ya 90 Dr Slaa Aliitosa CCM Baada ya kushindwa kwenye kura wakati
> > alipotaka kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika jimbo la karatu .
>
> > Sasa tunaelekea mwaka 2015 ambapo tutakuwa na uchaguzi mkuu wa wabunge
> > na rais nchini na inasemekana Dr Slaa anaweza akakosa nafasi hiyo ya
> > kuwakilisha chama katika uchaguzi wa mwaka 2015
>
> > Swali ninalouliza wadau je Dr Slaa ataitosa CHADEMA kama alivyoitosa
> > CCM miaka ya 90 ?
>
> > Swali hili limenijia maana amewahi kufanya maamuzi mazito 3 na
> > kuendelea na maisha tu .
>
> > --
> > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
>
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment