Sunday 27 January 2013

Re: [wanabidii] Rais zuia matumizi ya demokrasia mtwara

Ndo unasemaje wewe???!

2013/1/27 mobini sarya <mobinsons@yahoo.com>
Rais wangu Kikwete nimejaribu kukuambia hii lakini najilaumu kuwa nimechelewa baada ya kuugua sasa nimetoka wodini naambia kuwa damu imemwagika Mtwara, kwa ubinaaaaafsi.\

nachokuambia ni kimoja "ZUIA MATUMIZI YA DEMOKRASIA MTWARA CORRIDOR" nchi isonge mbele kimaemdeleo ,mwenzako Mkapa kutoka mtwara alizuia matumizi ya demokrasia Shinyanga Migodi ikafunguliwa baada ya watu kuzikwa saaa nane mchana kwenye mgodi wa Buliyahuly.

ni kosa kubwa  kwa nchi masikini kama tanzania yenye watu masikini  wa akili kupewa demokrasia inayozidi uwezo wa kujitawala,;tunahitaji Demokrasia inayokua sambamba na maendeleo yetu, bila kuzuia matumizi ya deomokrasia mtwara tunaweza kujenga Abey nyingine ya akina saro wa Nigeria au Sudan.
bila kuzuia demokrasia Mtwara ili serikali ifanye kazi yake tutatarajie na mikoa mingine ikianzisha ghasia wachaga wakipiga marufuku watalii kupanda kilimanjaro, wasukuma na wazinza wakizuia ziwa, wakurya na  wasukuma  wakizuia dhahabu na wanyakyusa wakibeba kiwila mikoa mingine je.Raisi
mbele ya maendeleo hakuna demokrasia piga marufuku........................

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment