Tuesday 8 January 2013

Re: [wanabidii] Rais Kikwete amu-endorse Kigwangala na matumaini yake ya baadae

Nimeisoma hii habari or rather taarifa kama unavyoiita wewe na kuna vitu vingi vilitokea pale jana lakini havikuandikwa, nadhani aliyeandika ameamua kuchagua alichoona yeye kinafaa na cha muhimu
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 8 Jan 2013 12:59:31 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Rais Kikwete amu-endorse Kigwangala na matumaini yake ya baadae

Hii ni taarifa kuhusu ziara ya JK tabora? au kushangiliwa kwa HK huko jimboni kwake?? Lipo lililozidi kichwa cha habari hapo. Endelea kutujuza na ziara nyingine kwa mtindo huu huu!!
:)

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment