Tuesday 8 January 2013

Re: [wanabidii] Msiba Mkubwa Kenya

Hizo ni biashara za watu wenye uwezo ambao hakuna kinachowashinda chini ya jua, isipokuwa kifo pekee!

2013/1/8 richard bahati <ribahati@gmail.com>
Wakati Jeshi la Polisi Jijini Arusha likiendelea kumhoji mtu aliyekamatwa na nyara nyingi za Serikali, nchini Kenya katika mbuga ya Tsavo mpakani na Tanzania familia nzima ya tembo 11 imeuwawa na kukatwa meno yake usiku wa kuamkia leo. Huu ni msiba mzito kwa  kenya kwani katika historia ya nchi hiyo haijapata kutokea kwamba tembo kumi na moja wameuwawa kwa wakati mmoja. Tembo wote 11 wamekutwa na majeraha makubwa ya risasi na meno yamekatwa.

Kwa habari kamili na picha mbalimbali za mkasa huu tembelea: http://goldentz.blogspot.com/2013/01/msiba-mkubwa-kenya.html

-- chini ya
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--

0 comments:

Post a Comment