Monday 7 January 2013

Re: [wanabidii] MALECELA DRIVES A HUGE NAIL INTO JK's COFFIN!

Bw. Yachama na Bw. Mngonge,

Nami nakubali kuwa hii title ni dramatization of an issue.
Labda muandishi angeliandika kama alivyoandika mhariri wa Mwananchi kuwa:
Lakini, hawa Zanzibar Ni Kwetu ni sawa na journalists wengine wowote wale, kwani dramatization kwao ndio kazi yenyewe!
Sio mnaona kutoa salam inavyogeuzwa kuwa vita baina ya Waislamu na Wapagani kutoka Washington!
Samahanini waandishi, sikusudii kumtukana mtu.

//Nkumba.


From: Yachama Gabriel <yachama2012@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, January 7, 2013 4:34:17 AM
Subject: Re: [wanabidii] MALECELA DRIVES A HUGE NAIL INTO JK's COFFIN!

Ni kweli ni dramatization of obvious discourse.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

-----Original Message-----
From: mngonge <mngonge@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 7 Jan 2013 15:23:06
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] MALECELA DRIVES A HUGE NAIL INTO JK's COFFIN!

Mr. Issa the title is too harsh if we are to weigh it basing on the
contents. What Malecela has aired out is just from common sense
discourses. It doesn't sense to anybody for the resources available in
vicinity to benefit the far reached leaving the locals with empty
handed. We can neither call malecela a philosopher nor an inventor of
the knowledge for it is an obvious fact.

We should neither blame him just for the disclosure of the fact, while
commenting on contracts and the all exercise of resources extraction
and utilization, Nyerere had this to say:- ukiwa na dhahabu akaja mtu
ana kichupa chenye vitu usivyovijua akakwambia tubadilishane yaani
wewe umpe dhahabu yeye akupe kichupa, basi wewe ni mpumbavu.
Utabadilishaje kitu cha thamani na kitu usichokijua kama kina thamani
au la?

Kwa mtazamo wangu wananchi wa mtwara wanayo haki ya kimsingi kujua ni
namna gani watafaidika kutokana na mali zilizopo katika maeneo yao.
Wazungu wanafaidika kutokana na akili nyingi waliyopewa na mwenyezi
Mungu, waarabu wanafaidika kutokana na mafuta waliyopewa na mwenyezi
Mungu. Wachagga wanafaidika kutokana na mlima Kilimanjaro pamoja na
hali ya hewa iliyopo kwao. Wasukuma wamefaidika kwa kujengewa shule
pamoja na kuletewa maji ya bomba toka ziwa victoria (japo ni kidogo
ukilinganisha na faida wanayopata wageni) kwa sababu ya madini
yanayochimbwa kwao.

Kwa maelezo hayo ni kwa vipi mtoa hoja anasema malecela kapigilia
msumari mkubwa kwenye jeneza la JK? Kama ni msumari basi JK
kajipigilia mwenyewe na wala si malecela ili si jambo linalohitaji
akili kubwa kulijua ni jambo jepesi sana linalohitaji ufumbuzi mwepesi
wa kuhakikisha wenyeji wanafaidi kwa namna moja au nyingine kutokana
na malighafi inayopatikana kwao. Nafikiri tulikofika ni patamu hakuna
sababu ya kusingizia vyama vya upinzani wakati uzembe na unyanyasaji
munaufanya wenyewe. Ata kama kuna mkono wa vyama vya upinzani lakini
tatizo la msingi liko wazi

On Mon, Jan 7, 2013 at 2:16 PM, Said Issa <saidissa100@yahoo.com> wrote:
> WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mwanasiasa Mkongwe nchini, John Malecela, asema:
> "Ukiwa karibu na waridi unatakiwa kunukia waridi. Wakazi wa Mtwara nao
> wanatakiwa wanukie waridi".
> Chanzo: Mwananchi.
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment