Tuesday 29 January 2013

Re: [wanabidii] Kwa nini serikali tatu?

Matinyi,
Siwezi ku-imagine rais wa muungano atakayesimamia masuala ya muungano na jeshi peke yake. Na rais wa Tanganyika itakuwa kama vile amekuwa demoted. Maana hatakuwa tena na mamlaka ya kuitisha vita au kuamuru jeshi liende popote pale kulinda mipaka mpaka ashauriane na rais wa muungano. Na ninavyojua jinsi waafrika tulivyo na madaraka kutatokea ugomvi mkubwa tu.
Tukubaliane wazanzibari waende zao na sisi tubaki tulivyo. P.S. Unadhani wazanzibari watakubali kuchangia gharama za kuendesha serikali ya muungano?
em

2013/1/29 matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
Chadema is totally misled in this. Sad.

T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Kwa nini serikali tatu?
Date: Tue, Jan 29, 2013 10:01 am

Lakini, bara tunahitaji serikali ya nini? Kikwete ni rais wetu na amiri
jeshi mkuu, kwa nini mnataka kutuongezea viongozi?
Mimi naunga mkono Chadema lakini sijaona mantiki ya kuwa na serikali tatu.
Ni matumizi juu ya matumizi na matatizo juu ya matatizo tu. Zanzibar hawana
jeshi na hatuwezi kuwa kwenye mizani sawa, a million people versus 45
million.
em

2013/1/29 Said Issa <saidissa100@yahoo.com>

> >Mbowe na wafuasi wa CHADEMA wako sahihi kusema ziwepo serikali tatuMbowe
> na wafuasi wa CHADEMA wako sahihi kusema ziwepo serikali tatu
>
> Yes!  Now you are talking sense brother!
> Sasa sio tuseme tu, lakini na nyinyi huko Bara piganeni mpate hio serikali
> yenu ya Tanganyika.
> Waungeni mkono hao Chadema, kwani wao wanaonesha kuwa they are very
> practical na sio wa midomo mitupu kama wengine.
>
> >Je vitambulisho vya Tanzania vitakuwa vya aina ngapi?
>
> Sijui hapa Nd. Mngonge unazungumzia vitambulisho gani, lakini kama ni
> passports, basi passports zote zitakuwa kama zilivyo hivi sasa isipokuwa
> kwa nyuma zitaandikwa :
> THE GOVERNMENT OF TANGANYIKA or THE GOVERNMENT OF ZANZIBAR.
> Kwahivyo, mtu ukimpa passport yako atajua mara moja kuwa wewe ni Mtanzania
> lakini unatoka either Tanganyika au Zanzibar. Hili naona Chadema wakichukua
> nchi 2015 litakuwa
> ni jambo rahisi sana kukubaliana nao, kwasababu muelekeo mzuri wanao
> tayari.
> Tukeshakubaliana hilo na baadae kila mtu akawa na sarafu yake na wakilishi
> wake wa nje (diplomats), basi hatuna tena cha kugombania. Itakayobakia
> itakuwa ni kuchapa kazi tu!
>
> ...bin Issa.
>
> N.B.
> I hope Matinyi will not see this msg.
> Kama Admin utaweza kufanya yeye asiipate msg hii nitashukuru sana,
> kwasababu sina mood ya ugomvi kwa leo.
>
>   ------------------------------
> *From:* mngonge <mngonge@gmail.com>
> *To:* wanabidii@googlegroups.com
> *Sent:* Tuesday, January 29, 2013 3:42:17 AM
> *Subject:* Re: [wanabidii] Kwa nini serikali tatu?

>
> Nafikiri sababu ya msingi wanayosimamia CHADEMA ni pale Mbowe
> aliponukuliwa akisema "tayari wakitoa uhuru wa Zanzibar kuwa na Rais,
> bendera na wimbo wao wa taifa"
> Ukiangalia kwa makini uwepo wa serikali tatu unaletwa zaidi na kitendo
> cha wazanzibar kutaka kuwa na nchi yao inayojitegemea. Kama hilo
> lisingekuwepo sidhani kama tungekuwa na mjadala unaohusu muungano.
> Wote tungependa tuwe na serikali moja ya kitaifa na hivyo kila kitu
> kuwa sawa kati ya bara na visiwani.
>
> Mbowe na wafuasi wa CHADEMA wako sahihi kusema ziwepo serikali tatu (
> Tanganyika au Tanzania bara, Zanzibar au Tanzania Visiwani na Serikali
> ya Muungano). Kama Zanzibar wanapenda kutambuliwa kama wazanzibar
> chini ya serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iweje Tanganyika isiendelee
> kutambuliwa kama Tanganyika na watanganyika wake? Nafikiri jibu liko
> wazi, ni ama kuwa na serikali moja au tatu hiki kiini macho cha kuwa
> na serikali mbili ambapo tuna serikali ya muungano na serikali ya
> Zanzibar kitaendelea mpaka lini? Je vitambulisho vya Tanzania vitakuwa
> vya aina ngapi?
>
> 2013/1/29 Ntunaguzi Ntiyakunze <ntunaguzin96@gmail.com>:
> > Wanabidii,
> >
> > Nanukuu kauli moja ya mwenyekiti wa CHADEMA katika kikao cha Kamati Kuu
> (CC)
> > juzi ambapo agenda moja kubwa ilikuwa ni kupitisha mpango mkakati wa
> mwaka
> > 2013 ili kushinda chaguzi zote kuanzia serikali za vitongoji, vijiji na
> > mitaa mwaka 2014 na Uchaguzi Mkuu 2015.
> >
> >
> > Katika suala zima la Muungano, Mbowe alisema uwepo wa serikali tatu
> > hauepukiki kwa kuwa tayari Tanzania Visiwani wameshakuwa na serikali yao
> > hivyo ni jukumu la Watanzania Bara kupata serikali ya Tanganyika na kisha
> > kuwepo na serikali ndogo ya Muungano. Alisema serikali tatu inawezekana
> > ikiwa viongozi wataacha unafiki wa kusema muungano utavunjika huku tayari
> > wakitoa uhuru wa Zanzibar kuwa na Rais, bendera na wimbo wao ya taifa.
> > Tunawaunga mkono wenzetu Wazanzibar katika kupigania uhuru kamili na kwa
> > sasa sisi ndio tunaoonekana wa ajabu kushindwa kuuliza serikali ya
> > Tanganyika," alisema.
> > Swali;
> > Je kuna sababu za msingi ambazo CHADEMA wanazo mpaka kufikia hatua ya
> > kuzitaka serikali tatu tofauti na ilivyo hivi sasa?
> >
> > --
> > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> > International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
> >
> >
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment