Monday 14 January 2013

Re: [wanabidii] JAMANI WAMAMA JIHADHARINI NA KIM

Hii ni mbaya sana kwa aliyeandika hii.
Angekuwa na nia nzuri na anaogopa kum face Mwele angetafuta njia ya kufikisha ujumbe.
Kwani hao wadada wengine aliowaandika nao walipenda kutapeliwa?
Hii ni kuchafuana jamani. Hakuna mwanamke anayependa kutapeliwa kimapenzi.
Hakupaswa kuandika majina halisi ya watu, hata kama alikuwa na nia njema.
Hivi leo jiulize ingekuwa ni wewe umeingia mkenge kwa Kim! Kwanza utakuwa na uchungu wa kutumiwa, halafu unaongezewa uchungu na aibu nyingine ya kuanikwa!
Na kama ni mwanaume unaona jina la dada yako, ungejisikiaje?
Watu wanaoandika hivi ni wasiojiamini na wenye wivu mbaya.
Sijaipenda kabisa hii tabia. Kuna njia nyingi za kumfikishia mtu ujumbe bila ya kujulikana.
Tuache jamani.
Hii ni mbaya, mbaya, mbaya sana, mbaya sanaaaaaaa.
Abby

On Tuesday, January 15, 2013, Neville Meena <nevilletz@gmail.com> wrote:
> Duh hii kali kwelikweli. Binafsi namfahamu Kim nakumbuka kipindi fulani alikuwa Mzee wa Kanisa!
>
> 2013/1/15 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
>
> Rachel A. Temu
>
> Hii umeipata ndio stori mjini nakumegea..................
>
>
> Bi. Mwele Malechela,
> Najua utashangaa sana kuusoma huu ujumbe. Usishangae mshukuru Mungu
> kwa kuzipata taarifa hizi. Nimeona njia nzuri kukupatia ni kukueleza
> ukweli kwa njia hii kuhusu mtu unayejihusisha naye sasa hivi
> anayejiita Kim. Majina yake halisi ni Kimbangambanga Julius Mgaya.
> Jamaa ni mtu mbaya na hatari sana. Wewe ni mtu mwenye heshima mbele ya
> jamii na mkubwa sana kiumri kujihusisha kimapenzi na Kim. Waswahili
> wanasema mapenzi hayachagui ni sawa isipokuwa tabia mbaya za mtu huyo
> ndio tatizo. Jamaa ameshatapeli sana hapa mjini na kuwarubuni wanawake
> wengi wenye nafasi zao kimapenzi na mwisho wa siku anawatapeli na
> kuwachuna mali zao.
>
> Kim anafahamika sana hapa mjini kwa kuishi maisha ya kitapeli,
> utasikia hadithi nyingi kuwa yupo bize ana mikutano hadi usiku na
> wafanyabiashara au viongozi wa serikali kumbe ni uongo, hiyo ni kutaka
> kujionyesha kwa watu kuwa ni mtu muhimu na wa maana. Safari nyingi
> anazofanya ndani na nje ya nchi ni za kitapeli. Ana wanawake
> anaowachuna wapo Marekani na UK. Maisha yake yote ni utapeli na
> kupitia wanawake wenye nyadhifa au wafanyabiashara wakubwa.
> Kinachomsaidia ni utanashati wake wanawake humnunulia vitu vya
> thamani. Kim amesoma hadi kidato cha nne tu hana cheti chochote zaidi
> ya hapo. Kim anajifanya ni mbia kwenye biashara kubwa kubwa hapa mjini
> akijichanganya na wahindi na viongozi wakubwa. Ukweli ni kwamba hana
> kitu na yeye ni kishoka tu anawahangaikia watu mahali walipokwama na
> yeye analipwa kamisheni yake. Anatangaza mjini kuwa majengo
> yaliyobomolewa kule Masaki ni yakwake, kumbe ni ya mfanyabiashara
> mwenye asili ya kihindi. Anasema anamiliki hoteli Arusha inayoitwa
> Snowcrest, ukweli ni kwamba hoteli hiyo inamilikiwa na kijana wa
> kichaga anayeitwa Willy pamoja na dada yake anayeitwa Theo.
> Kujihusisha kwa Kim kwenye hoteli hiyo ni kwa ajili ya kutafuta
> biashara na uurafiki wake na mmiliki wa hoteli hiyo lakini amekuwa
> anajifanya ni mali yake.
>
> Mama yangu Mwele, nakueleza mambo ya Kim ili usiingie kwenye mtego
> wake. Anakuhadaa ili mbadilishane magari, usithubutu. Kwa muda sasa
> amekuwa akikushawishi umpe gari lako nayeye akupe gari lake aina ya
> Benz . Benz hilo alikuwa amelipaki muda mrefu bila kulitembeza, sio la
> kwake. Benz lina kesi maana alimdhurumu mwanamke mmoja na sasa
> mwenyewe amechachamaa analitaka gari lake. Sasa kuziba kasheshe hilo
> anataka kukuingiza wewe mkenge ili yeye ajitoe. Mama chukua tahadhali
> bado mapema. Kim anapenda sana kubadilisha magari lakini
> yasikubabaishe, yote unayoyaona sio mali yake ni ya kutaperi na
> kubadilishana na watu kama anavyotaka kukufanyia. Alishawahi kuwa na
> gari aina ya Hammer lakini halikuwa la kwake, alimtapeli mwanamke
> Zanzibar mwenyewe husema kwa watu kuwa ameliuza. Alichukua magari
> mawili kwa Chikawe yule waziri wa sheria mojawapo ni BMW X5 ya rangi
> ya kibluu hadi leo hajamrudishia na anajizungusha nayo.
>
> Chikawe anamuonea aibu kumdai kwa kuwa alimsaidia kumtafutia nyumba
> binti yake. Kim alivyo sasa hivi ana mahusiano ya kimapenzi na binti
> huyo wa Chikawe anayeitwa Tamika ameolewa na mzungu lakini utafikiri
> Kim ndio mume wake alivyomganda. Kim alikuwa na magari mengine Suzuki
> Grand na Mitsubishi ambazo si mali yake. Magari hayo kabla ya
> kunyang'anywa na mwenye mali alimtapeli mama mmoja anayefanya kazi
> shirika la nyumba NHC, ofisi yake ipo Msasani. Mama huyo mtu mzima
> aliingizwa mkenge na Kim baada ya kuingia kwenye uhusiano wa
> kimapenzi. Na kwa kuwa mama huyo anafanya kazi NHC alimsaidia Kim
> kuipata nyumba ya nationa house anayoishi sasa Kim Chang'ombe. Nyumba
> hiyo aliipata kitapeli kwa msaada wa huyo mama, wakaibomoa na kujenga
> nyumba nyingine kubwa ambayo ndio anaishi Kim sasa hivi. Huyo mama
> aliyafanya yote hayo akijua kuwa wataishi na Kim kama mume na mke.
> Nyumba ilipoisha Kim hakumjali tena huyo mama jambo lililomfanya mama
> wa watu ajue kuwa ametaperiwa na kumyang'anya magari yake mawili
> Suzuki Grand na Mitsubishi. Hivi sasa mama wa watu yupo mbioni
> kuikomboa nyumba hiyo ya Chang'ombe maana kaijenga kwa jasho lake.
> Kuna gari nyingine tena saloon Progress ambayo nayo haikuwa yakwake.
> Gari hiyo alimtapeli dada mmoja anayeitwa Lucy ambaye ameolewa na
> Mkorea wanamiliki kampuni inayoitwa TAKAOKA. Kama kawaida yake Kim
> alianzisha uhusiano wa kimapenzi na dada huyo huku akimshawishi
> wafungue kampuni. Lucy alimpa pesa nyingi Kim, gari na jenereta kubwa
> lilifungwa kwenye nyumba ya Kim huko Chang'ombe. Lucy alipomsht
>
> --
> Neville C. Meena,
> Secretary General,
> Tanzania Editors Forum - TEF,
> Dar es Salaam - Tanzania.
> Cell: +255 - 787 - 675555
>         +255 - 753 - 555556
>  
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>  
>  
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment