Sunday 27 January 2013

Re: [wanabidii] HALI NI MBAYA MTWARA DAMU YA WATU SABA YAMWAGIKA NYUMBA ZA WABUNGE ZACHOMWA MOTO

Unachosema ni kweli John wakati huu habari zinaweza kuwa nyingi na zisizokuwa za ukweli au zenye chumvi nyingi. Ni hatari sana kuwa sehemu ya kueneza uzushi au uongo, ndiyo maana wanahabari/blogs/websites wawe tuwe waangalifu sana tusijekuwa sehemu ya mafarakano, bali tuwe sehemu ya kueleza ukweli kama ulivyo na kama unafaa kwa public consumtion (busara zaidi kuliko hisia) na pia kuwa wazi ili Watanzania wengi wapate haki ya kupata habari jinsi zinavyojiri katika nchi yao.

(False words are not only evil in themselves, but they infect the soul with evil.
Socrates)

2013/1/27 <johnlemomo@gmail.com>

OMBI LANGU NA WAPENDA AMANI YA NCHI YETU KWA MODERATOR:

Wakati kama huu ambapo maeneo kadhaa ya nchi yapo ktk machafuko, na hususan hili la gesi ya Mtwara/Kinyerezi (na yamkini harakati hizi zikaamka hata kwingine kwingine), tuhakikishe kwamba waleta habari zilizotiwa chumvi kupindukia wanapewa likizo ya lazima!

Shukran kwa reporters wenye nia njema ya kupashana habari za kweli juu ya nini kinaendelea katika kona mbalimbali za taifa letu.

Ee Mungu inusuru Tanzania!

Viongozi wazembe, walegevu na wabinafsi waenguke kwa namna yoyote ikupendezayo wewe Mungu ili Tanzania yetu ipone!

Amen!

John.

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: richard bahati <ribahati@gmail.com>
Date: Sun, 27 Jan 2013 09:20:55 -0800
Subject: Re: [wanabidii] HALI NI MBAYA MTWARA DAMU YA WATU SABA YAMWAGIKA NYUMBA ZA WABUNGE ZACHOMWA MOTO

Dah! sijui hata nisemeje? Tunamhitaji Nyerere sijui!

2013/1/27 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
Victor,
Taifa letu linapitia katika wakati mgumu sasa, ingawa watu hatutaki kukubali ukweli huu!
Huku malumbano ya nani achinje nyama, kule mgogoro wa gesi, kule wakulima na wafugaji n.k.
Jambo la ajabu hatujiulizi kwa nini tumefikia hapa, tumebaki kunyosheana vidole: hawa wachochezi, wale waasi, wale wanatishia amani na utulivu n.k. Halafu tunaishia hapo tu.
Hatutaki na hatuna muda wa kwenda kwenye kiini na chanzo cha matatizo yote haya. Bila kushughulikia vyanzo vya matatizo haya, itafika wakati ambapo hakuna Rais yeyote atakayefaulu kuzima yale unayosema "maasi" japokuwa hatujafikia huko na hakuna anayetaka tufike huko. Tujifunze, tusome alama za nyakati na tubadilike.
Hakuna anayeitakia nchi yetu mabaya, lakini kwa mfano suala nyeti la mchakato wa marekebisho ya Katiba, lisipokuwa handled katika namna itakayoonyesha kwamba mchakato huo utapelekea kupata Katiba itakayozingatia maslahi ya Taifa zima na siyo ya kikundi fulani tu cha watu, ni rahisi kabisa kutabiri kwamba yapo makubwa na mabaya  zaidi tutayashuhudia katika miaka miwili hii ijayo! Kwa ufupi kabisa yanayotokea kule Mtwara ni matokeo ya tulichopanda. Na kulitambua hilo, siyo ushabiki.

Date: Sun, 27 Jan 2013 16:39:54 +0200

Subject: Re: [wanabidii] HALI NI MBAYA MTWARA DAMU YA WATU SABA YAMWAGIKA NYUMBA ZA WABUNGE ZACHOMWA MOTO
From: gmdmagafu@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Kama Mtwara nayo ni Tanzania basi mtambo ujengwe huko huko Mtwara...

2013/1/27 Victor Mwita <victormwita@gmail.com>
Tukiachilia mbali utaratibu uliotumika hadi kufikia uamuzi wa kujenga bomba la gesi kuja Dar ambao pia sio mbaya sana maana bado mitambo mingine ya gas inaweza kujengwa huko Mtwara na hata Lindi, does it mean kwamba hawa wananchi wa mikoa hiyo wanajaribu kuasi au wanatakaje? Mie naona kama ni some kind of uasi na i can assure you kwamba hakuna Rais wa nchi yyt hapa duniani atakayeacha watu waasi huku yy amekaa kimya. Nafikiri sio busara kufanya fujo kama kuchoma nyumba za viongozi na cha tawala. Huko ni kutaka serikali iamue kulishughulikia jambo hilo kama maasi na kupoteza mwelekeo wa suala hili. Bado naona bomba litakuja Dar na mitambo mingine itajengwa Mtwara na Lindi na wote tutapata umeme. Tuacheni ushabiki hatuijengi nchi kwa mtindo huu.
Ni hayo tu wadau
On Jan 27, 2013 5:21 PM, "Deogratias Kawonga" <deogratias.kawonga@gmail.com> wrote:
>
> Unamaanisha JWTZ? Mhhh......
>
> Sent wirelessly from my iPhone device on the Airtel Network
>
>
>
>
>
> On Jan 27, 2013, at 16:59, Thobiass Mwanakatwe <mwanakatwe2005@yahoo.com> wrote:
>
>> Dawa ni kupeleka jeshi Mtawara itanyoka kwa dakika mbili.
>>
>>
>>
>> --- On Sun, 1/27/13, Said Issa <saidissa100@yahoo.com> wrote:
>>>
>>>
>>> From: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>
>>> Subject: Re: [wanabidii] HALI NI MBAYA MTWARA DAMU YA WATU SABA YAMWAGIKA NYUMBA ZA WABUNGE ZACHOMWA MOTO
>>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>, "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>>> Date: Sunday, January 27, 2013, 5:20 AM
>>>
>>> Tony,
>>> Please, don't write nonsense!
>>>
>>> ...bin Issa.
>>>
>>> ________________________________
>>> From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>> Sent: Sunday, January 27, 2013 1:34:26 AM
>>> Subject: Re: [wanabidii] HALI NI MBAYA MTWARA DAMU YA WATU SABA YAMWAGIKA NYUMBA ZA WABUNGE ZACHOMWA MOTO
>>>
>>> Mgonge,
>>>
>>> Inatakiwa kutumia mkono wa chuma kuonyesha serikali ipo na sio butu! Kubembeleza watu kumezidi, ifike watu washughulikiwe kama ilivyofanyika Zenj kwa watu wa uamusho! Picha zilizopigwa zitumike kushikisha watu adabu kisawa sawa!
>>>
>>> Watu hawajabadilika ila usimamizi wa sheria ndio umekuwa legelege! Binadamu ni hulka yake kutaka uhuru wake uwanyime uhuru watu wengine. Wakumbushwe kwa vitendo kuwa serikali ipo na sio legelege. Uongozi wa kiswahili swahili ndiyo matokeo yake haya! Yakhee, yakhe..., ruksa, ruksa... Ndiyo yanatufikisha huko tulikofikia.
>>> Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
>>> Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
>>>
>>> -----Original Message-----
>>> From: mngonge <mngonge@gmail.com>
>>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>> Date: Sun, 27 Jan 2013 12:18:34
>>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>>> Subject: Re: [wanabidii] HALI NI MBAYA MTWARA DAMU YA WATU SABA YAMWAGIKA
>>> NYUMBA ZA WABUNGE ZACHOMWA MOTO
>>>
>>> Tabia hii tumeianzisha na kuilea wenyewe sasa ona yanayotupata, huko
>>> nyuma viongozi wetu waliona kutumia polisi katika kuzima ghasia ndo
>>> suluhisho pekee. Watu wamebadilika hawana utii kwa viongozi wala jeshi
>>> la polisi, tukubali mabadiliko hayo na kutafuta mbinu mbadala. Kitendo
>>> cha kuchoma nyumba za wanasiasa kinaonyesha kwamba kuna chuki
>>> zilizojengeka kati ya wanasiasa hao na raia au kati ya makundi yenye
>>> itikadi tofauti
>>>
>>> Imefikia kiwango raia wanaliona jeshi la polisi kama si lao bali ni la
>>> watu wanaoishi dunia nyingine. Tuanze kufikiria njia za kutmia
>>> ushawishi badala ya kutumia nguvu kama njia pekee ya kumaliza
>>> manunguniko ya watu. kama kuna malalamiko ni vyema kukaa chini na
>>> kujaribu kulielewa tatizo lenyewe ndo ufumbuzi wa kudumu utapatikana.
>>> Kwa mwendo huu tuna tofauti gani na nchi nyingine zenye vurugu? Kidogo
>>> kidogo mwisho ni mauaji ya wenyewe kwa wenyewe. watu hawaliogopi jeshi
>>> la polisi wala mamlaka iliyo madarakani, ni unyama tu. Lazima tutafute
>>> suluhisho sahihi tofauti na hapo maisha yetu ni wasiwasi, uhasama
>>> mkubwa na hatari tupu na tuisubirie misiba kila uchao
>>>
>>> 2013/1/27 richard bahati <ribahati@gmail.com>:
>>> > HALI NI MBAYA MTWARA DAMU YA WATU SABA YAMWAGIKA NYUMBA ZA WABUNGE ZACHOMWA
>>> > MOTO
>>> >
>>> > Habari zaidi na picha hapa:
>>> > http://goldentz.blogspot.com/2013/01/hali-ni-mbaya-mtwara-damu-ya-watu-saba.html
>>> >
>>> > --
>>> > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>> > International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>> >
>>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> > ukishatuma
>>> >
>>> > Disclaimer:
>>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> >
>>> >
>>>
>>> --
>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>  
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>  
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>  
>>  
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>  
>  

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment