Saturday 19 January 2013

Re: [wanabidii] Dr Slaa anaweza Kuitosa Chadema isipomteuwa 2015

Hoja ya kitoto sana. Lete hoja za kujenga hapa jukwaani, siyo kama hizi za mipasho ya kubinua vidole juu na kukatika makalio, hazisaidii. Tuna hali ngumu ya maisha, tujadili namna ya kufanya ili resources tulizonazo zitukwamue.

Marekani miaka ya 1990s, watu weusi wa hali ya chini walitumia sana pamoja na mambo memgine, RAP music kuelezea hisia zao. Sasa hivi wanatumia hip hop kuraise mwamko wa science miongoni mwa jamii ili kuvutia vijana na watu wazima kujifunza science zaidi na hatimaye kutambua kirahisi kinachoendelea kwenye ulimwengu wa science na technology na kisha kushiriki kwenye maendeleo.



Sent from my iPhone

On 19 Jan 2013, at 13:39, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

> Ndugu zangu
>
> Dr Slaa aliwahi kuwa padre lakini baadaye akalitosa kanisa akaamua
> kutumikia dunia kwa kujipatia jiko na maisha mengine ya kidunia .
>
> Amewahi kumtosa Mke wake wa kwanza ambaye wamewahi kufikishana
> mahakamani kwa ajili ya kupinga ndoa yake mpya na kuomba matunzo ya
> watoto aliowatosa .
>
> Miaka ya 90 Dr Slaa Aliitosa CCM Baada ya kushindwa kwenye kura wakati
> alipotaka kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika jimbo la karatu .
>
> Sasa tunaelekea mwaka 2015 ambapo tutakuwa na uchaguzi mkuu wa wabunge
> na rais nchini na inasemekana Dr Slaa anaweza akakosa nafasi hiyo ya
> kuwakilisha chama katika uchaguzi wa mwaka 2015
>
> Swali ninalouliza wadau je Dr Slaa ataitosa CHADEMA kama alivyoitosa
> CCM miaka ya 90 ?
>
> Swali hili limenijia maana amewahi kufanya maamuzi mazito 3 na
> kuendelea na maisha tu .
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment