Wednesday 23 January 2013

Re: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Waangalie mikataba yao ya kazi inasemaje na taratibu za mawasiliano walizojiwekea na kuzikubali kwenye wizara au idara kadhaa za serikali .

Kwangu mimi ushabiki wa mfanyakazi kwenye siasa haswa vya upinzani kwa kiasi kikubwa unaweza kudhoofisha utendaji wake wa kazi na ya serikali ambayo ndio muajiri wa mfanyakazi huyo , ushabiki aufanyie nyumbani kwake na kwa kutumia vifaa vyake vya mawasiliano na sio vya serikali na pia ahakikishe analinda maslahi ya serikali yake na pia ajiandae kuwajibika kwa ushabiki huo endapo hatatekeleza maslahi ya mwajiri .

On Wed, Jan 23, 2013 at 8:05 PM, Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com> wrote:
Tony PT.
Una uchambuzi gani wa kimantiki kwenye ombwe la hoja za Diallo juu ya watendaji wa serikali watakao shabikia upinzani?
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Date: Wed, 23 Jan 2013 16:55:50 +0000
Subject: Re: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Lushengo!!

Matusi hayo, jadili hoja iliyosemwa badala ya mtu/watu.
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
Date: Wed, 23 Jan 2013 19:44:26 +0300
Subject: Re: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

A failed bottom feeder, anaweweseka.

Lutinwa

Sent from Samsung Tab 10.1

On Jan 23, 2013 7:07 PM, "Yachama Gabriel" <yachama2012@gmail.com> wrote:

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment