Tuesday 29 January 2013

Re: [wanabidii] DIALLO: WATENDAJI SERIKALI WATAKAO SHABIKIA UPINZANI KUSHUGHULIKIWA.

Ndugu yangu Yachama,

Kwani Obama akiruka na ndege ya ikulu ndio na sisi tutumie mali zetu
za umma?? Umaskini huu bado hatujautoa na bado twataka kuuongeza kwa
style za kipuuzi!! hata kama Marekani wamwita baba wa demokrasia hiyo
haijalishi, Tuitengeneze ya kwetu iwe na faida kwetu, ifae mazingira
yetu, isiingilie cha watu kama inahusu ya wengine watu.
Haka ka-inji kamaskini namna hii bado mwataka kukafilisi kwa kunyonya
hata hivyo vidogo vilivyopo kwa kisingizio cha kuiga Demokrasia za
Marekani, Mbona hatuja-copy and paste katiba yao kuhusu vyama vingi
kama kweli ubaba wao ndio ukamilifu kwetu!!

EBO!!!!

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment