Friday 4 January 2013

Re: [wanabidii] Deogratius Kisandu : UAMUZI WANGU WA KUJIUNGA NA NCCR - MAGEUZI

Kitigwa,

Naona hicho ulichokisema ni fallacious kweli kweli... Kwavile huyu ana mawazo ya kitoto, ina maana Zitto naye ana mawazo ya kitoto, kwa maana hiyo yeyote yule anayewaza na anayetaka kugombea urais ana mawazo ya kitoto!

Uhuru wa kuamua kwanini mwataka ubaki kwa wafuasi na anachama wenu tu? Akiamua kutoka hata kwa akili yako unaona sio sababu muruaa, ni yeye kaamua na vyema kuheshimu uamuzi wake na sio kumuona kawa mtoto. Naona demokrasia, haki na uhuru wa mtu kujiamulia mambo yake kwa engine ni utoto. Kwani watoto hawana uhuru na haki zao!

Unyanyapaa wa mawazo tu huo.
------Original Message------
From: ELISHILIA.D.S KAAYA
Sender: wanabidii@googlegroups.com
To: Paschal Leon
To: wanabidii@googlegroups.com
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Deogratius Kisandu : UAMUZI WANGU WA KUJIUNGA NA NCCR - MAGEUZI
Sent: Jan 5, 2013 09:13

Leon
So many people are sick particularly those that one is not in agreement with. Equally true is ones ?correctness in conviction however stupid it may sound to others. So it depends on what kind of glasses one is wearing!

Shilia KaayaShilia Kaaya</div>
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

-----Original Message-----
From: Paschal Leon <paschalleon@yahoo.com>
Date: Sat, 5 Jan 2013 05:19:49
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] Deogratius Kisandu : UAMUZI WANGU WA KUJIUNGA NA NCCR - MAGEUZI


THIS KISANDU MUST BE SICK; VERY SICK

--- On Fri, 1/4/13, KULWA MAGWA <magwakulwa12@gmail.com> wrote:

From: KULWA MAGWA <magwakulwa12@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Deogratius Kisandu : UAMUZI WANGU WA KUJIUNGA NA NCCR - MAGEUZI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, January 4, 2013, 8:17 PM


Mhhh makubwa haya tusubiri tuone hili picha litaishaje!


2013/1/5 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com <http://us.mc1260.mail.yahoo.com/mc/compose?to=hamisznz@gmail.com> >


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


UAMUZI WANGU WA KUJIUNGA NA NCCR - MAGEUZI

Ndugu wanahabari,
Mimi ninaitwa Deogratius Kisandu, nimehitimu katika Chuo Kikuu cha Sebastian Kolowa huko Lushoto (SEKUCO) nina Shahada ya Elimu Maalum, Siasa na Utawala.
Nilikuwa mwanachama na kiongozi wa CHADEMA katika nafasi za; Katibu wa Wilaya ya Lushoto na Katibu wa Vijana wa Mkoa wa Tanga (Bavicha).
Mwaka 2010 niligombea ubunge katika jimbo la Lushoto, nilishika nafasi ya pili kwa kupata kura 5000+ dhidi ya mgombea wa CCM aliyepata kura 14000+ .
Ndugu wanahabari, 
Kwa muda mrefu nikiwa ndani ya CHADEMA, tumekuwa katika maelewano mabaya na hata pengine kujengewa chuki na fitina pale nilipojaribu kuhimiza viongozi wenzangu kufuata katiba ya Chama chetu.
Mwishoni mwa mwaka jana (2012) niliamua kujivua uanachama ndani ya CHADEMA na kuahidi kujiunga na Chama kingine.Vile vile nilisema siku hiyo nitaeleza sababu za msingi zilizonifanya nijivue uanachama na kukabidhi kadi ya Chama hicho.

1. Mnamo mwaka 2012 nilitangaza nia yangu ya kugombea urais kupitia CHADEMA. Msimamo huo umenijengea chuki na uhasama kwa viongozi wakuu wa CHADEMA akiwemo muasisi wa Chama hicho Mzee Edwin Mtei, kupinga vijana kuonesha dhamira zao.
Nimejiridhisha kwamba, CHADEMA ina watu wake inaowataka wagombee urais na hususan watu wa Kaskazini mwa nchi hii.
Yaliyonikuta mimi pia yamewahi kuwatokea marehemu Chacha Zakayo Wangwe, Zitto Zuberi Kabwe na John Magane Shibuda pale walipojaribu kuwania nafasi hiyo ndani ya Chama.
Inasikitisha sana kwa watu wanaotaka kugombea urais wanasakamwa, wale ambao hawataki kugombea na wala kutangaza kugombea urais ndiwo wanaolazimishwa kugombea nafasi hiyo.
Itakumbukwa kwamba, Dkt. Wilbroad Peter Slaa hakuwahi kujitangaza kuwa anataka kugombea urais, bali amekuwa analazimishwa kugombea urais, hata juzi Mwenyekiti wa CHADEMA ameonekana kumlazimisha Dkt. Slaa kugombea urais (2015).
2. Mnamo mwaka 2012, Dkt. Slaa ametangaza na kukiri kuwa anamiliki Kadi ya Chama Cha Mapinduzi na kwamba Kadi hiyo ililipiwa ada kwa miaka 20 hadi mwaka 2017.
Ninajua kuwa Dkt. Slaa anayo haki ya kuwa na Kadi hiyo kwa sababu aliinunua kwa fedha zake na hivyo ni mali yake.
Binafsi siridhiki na vitendo vya Dkt. Slaa, amekuwa anahamasisha watu wanaotoka CCM wamkabidhi Kadi za CCM. Je, hao nao hawakununua kwa fedha zao? Je, hawataki nao kuwa na kumbukumbu kama yeye? Bila shaka kuna siri kubwa imejificha nyuma ya pazia.
3. CHADEMA haitaki kuona vijana wanaochipukia wanakuwa na umaarufu ndani ya Chama hicho. Kwenye ziara za M4C wamekuwa wanawatumia watu wasioijua CHADEMA, wanazunguka nao Mikoani, wanawaacha vijana waliokipigania Chama hadi kikafika hapa kilipo.
Watu wanaopata nafasi nyeti ndani ya Chama hicho ni wale tu wenye udugu au uhusiano na viongozi wakuu wa Chama. Mfano mzuri ni mgawanyo wa vitu maalum vya ubunge.
Zaidi ya nusu ya viongozi wa juu wa Chama wamehakikisha ndugu zao au wake zao ndio wamepata nafasi hizo, zingine zinagawiwa kwa njia za kudhalilishana. Hivi sasa kuna mmoja wa wabunge wa viti maalum ana uja
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment