Wednesday 16 January 2013

Re: [wanabidii] CCM/CHEDEMA ...SIASA AFRICA MTAJI

Tutegemee mengi zaidi uibuliwa, hizi ndizo siasa za maji taka.
Watanzania tukae chini na kutafakari kwa kina. Wapo wanaomuhisi mzee
mmoja kutoka kundi la wenye hati miliki ya kuliongoza taifa kuwa nyuma
ya siasa hizi za maji taka. Maana kasi ya siasa hizi imeongezeka baada
ya yeye kurejea kwenye siasa kwa kishindo.

Kila tuhuma imeelekezwa kwa Dr. Slaa ina maana Chadema ni Dr.Slaa tu?
Ningeomba watueleza matatizo ya mfumo wa chama siyo mtu. Kama ni mtu
basi wasingetangaza kujiondoa badala yake watafute namna ya kumuondoa
huyo mtu mmoja au wawili ili chama kiwe imara. Kwa nini wanakimbilia
kwenye vyombo vya habari badala ya kutumia vikao vya chama?

Swali moja la kuwauliza wahusika ni je siasa za namna hii zina msaada
wowote katika kutafuta ufumbuzi wa matatizo waliyonayo watanzania?
Kama jibu ni hakuna basi waelewe wanafunika moto kwa majivu na hivyo
kuuchelewesha kuwaka lakini muda muafaka ukifika utawaka tu. MUNGU
IBARIKI TANZANIA, MUNGU TUPE VIONGOZI WENYE UWEZO WA KUTULETEA
MAENDELEO SIYO MACHAFUKO

2013/1/16 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>:
> HAHAHA Choli ndugu yangu haijalishi unasema ukweli kiasi gani hapa neno
> mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo linamaana halisi. Huna nia ya
> kuchafua chama mwisho wa siku utafanywa mpuuzi hoja yako ikose mshiko.
> Natamani kutumia lugha fulani lakini naogopa panga kwa moderators nabaki na
> imani kuwa iko siku kelele hizi zitakosesha watu usingizi wataamka.
>
>
> 2013/1/15 Choli Gogo <choligogo@gmail.com>
>>
>> Inasikitisha kuona chama ambacho tunategemea kilete Mapinduzi Viongozi
>> wake wanajikopesha hela za chama(RUZUKU) badala ya
>> Kutumia pesa hizo za RUZUKU kuwafikia wananchi. Kama tunalalamika CCM
>> MAFISADI na huu mpango wa kuchukua
>> Pesa za wananchi kwa kutumia mgongo RUZUKU ni UFISADUI mbaya sasa
>> nitakupigiaje kura namna hii..
>>
>> Siku za nyuma niligundua Miradi yote ya Chama imeshikwa na Viongozi wetu
>> wa juuu....Jamaniii...KWELI SIASA MTAJI...
>>
>> 1.
>> http://www.mwananchi.co.tz/habari/-/1597578/1666686/-/vk8ic8/-/index.html
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment