Wednesday, 16 January 2013

Re: [wanabidii] CCM/CHEDEMA ...SIASA AFRICA MTAJI

Choli
Habari ya kiongozi yeyote wa CHADEMA kukopeshwa hela na Chama hazina ukweli wowote.Tuhuma hizi zimetolewa na watu ambao ni waadhirika wa maamuzi kwenye chama

2013/1/16 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Bwana Choli,
Sasa wizi wa enzi za Mwinyi unahusiana vipi na Chadema. Walioneemeka enzi hizo wanafahamika, wakiwemo wanae
na mmoja mpaka leo ni waziri katika serikali ya Kikwete.

em

2013/1/15 Choli Gogo <choligogo@gmail.com>
There is nothing to bear in Mind...Cha Muhimu katika Mchakato wa hiyo katiba waruhusu wagombea binafsi..
Lakini hivi vyama nikama vile kama Makampuni feki...Nani Msafi Pale si CCM WALA CHADEMA..
Nafasi za kifedha wengi wao ndio zimewasimamisha..Angalia hao wabunge ndani ya siku 30 mtu anatoa
Michango mara mpaka 5 ya Mshahara wake..ukisema alikua ana Miradi ilisanzia wapi...au chukua na wewe 
alafu tukae kimya....Ya kifamilia wakati kampuni hizo walizo nazo ndio zinaongoza kuchukua fedha serikalini na wengine 
kampuni zao zinaongoza kwa madili mjini...Kama Miaka ya Tisini ulikuwa kijiweni Mitaa fulani utaelewa nasema nini...
Enzi hizo za Mzee Mwinyi...Pesa zimeibwa sana Hazina leo hii wengi wako Madarakani...Funguka Mzee

2013/1/15 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Choli,
Kwanza chanzo cha hii habari kina mushkeri. Tungesema the source is unreliable.
Pia hakuna watu waliotumia hela zao binafsi kwa manufaa ya chama ndani ya Chadema kama Freeman Mbowe na
Mzee Ndesamburo. Bear that in mind.
em

2013/1/15 Choli Gogo <choligogo@gmail.com>
Inasikitisha kuona chama ambacho tunategemea kilete Mapinduzi Viongozi wake wanajikopesha hela za chama(RUZUKU) badala ya 
Kutumia pesa hizo za RUZUKU kuwafikia wananchi. Kama tunalalamika CCM MAFISADI na huu mpango wa kuchukua
Pesa za wananchi kwa kutumia mgongo RUZUKU ni UFISADUI mbaya sasa nitakupigiaje kura namna hii..

Siku za nyuma niligundua Miradi yote ya Chama imeshikwa na Viongozi wetu wa juuu....Jamaniii...KWELI SIASA MTAJI...

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment