Tuesday 15 January 2013

Re: [wanabidii] CCM/CHEDEMA ...SIASA AFRICA MTAJI

Choli,
Kwanza chanzo cha hii habari kina mushkeri. Tungesema the source is unreliable.
Pia hakuna watu waliotumia hela zao binafsi kwa manufaa ya chama ndani ya Chadema kama Freeman Mbowe na
Mzee Ndesamburo. Bear that in mind.
em

2013/1/15 Choli Gogo <choligogo@gmail.com>
Inasikitisha kuona chama ambacho tunategemea kilete Mapinduzi Viongozi wake wanajikopesha hela za chama(RUZUKU) badala ya 
Kutumia pesa hizo za RUZUKU kuwafikia wananchi. Kama tunalalamika CCM MAFISADI na huu mpango wa kuchukua
Pesa za wananchi kwa kutumia mgongo RUZUKU ni UFISADUI mbaya sasa nitakupigiaje kura namna hii..

Siku za nyuma niligundua Miradi yote ya Chama imeshikwa na Viongozi wetu wa juuu....Jamaniii...KWELI SIASA MTAJI...

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment