Friday 18 January 2013

Re: [wanabidii] BRITISH AIRWAYS YAFUNGASHA VIRAGO TANZANIA

Hili la kodi kidogo sina uhakika nafikri mashirika mengi yaliondoka huko nyuma sababu kodi zetu zilikuwa juu nakumbuka hata lile dege lililokuwa linabeba abiria na samaki mwanza walisema waliondoka sababu ya kodi za parking kuwa kubwa. All in all tanzania inaanza kuwa mbali.

On Fri, Jan 18, 2013 at 1:29 PM, jones konga <lufj.24@gmail.com> wrote:
labda walizoea kulipa kodi kidogo sasa wanapopandishiwa wanaamua kuondoka

On 1/17/13, Tracy John Kimambo <tracykwetu@gmail.com> wrote:
> BAADA YA KUFANYA KAZI TANZANIA KWA MIAKA ZAIDI YA 80 BRITISH AIRWAYS
> SASA INAFUNGASHA VIRAGO KWA NCHI YA TANZANIA KUANZIA MWEZI MACHI MWAKA
> HUU .
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment