Thursday 27 December 2012

[wanabidii] Re: HAKI ZA BINADAMU : CHADEMA ILIVYOBORONGA MWAKA 2012

Katika Matukio yote hayo watu walioshitakiwa ni wanachama wa CHADEMA
au viongozi wake , sasa naomba unieleweshe kwanini wasihusishwe kama
wenyewe ndio washtakiwa ?

On Dec 28, 1:51 am, Bariki Mwasaga <bmwas...@gmail.com> wrote:
> Yona
>
> Mtizamo wako kwa kweli ni wako lakini ulichonibania hapa ni kwa jinsi
> gani Chadema imehusika na suala zima la Haki za Binadamu. Kwa mtizamo
> na uelewa wangu wa Haki Binadamu kwa mujibu wa Tamko la Umoja wa
> Mataifa sijaona muunganiko wake hapa. Kuna mambo mawili tu - mosi ni
> kuhusu kukwaza/kukwamisha haki za binadamu na pili ni suala la
> kuhamasisha/kuimarisha haki za binadamu. Sasa umezungumzia vifo, je
> hawa chadema ndiyo wameua au walihamisha mauaji? Haki za Binadamu
> zinaweka misingi ya uhuru kwa mwanadamu kwenye masuala mbalimbali kama
> kujumuika, kuchagua, kuongea, na mengine mengi inapendeza kama
> utazungumzia suala hili katika misingi ya vipengele vya haki za
> binadamu na siyo kuhusisha na matukio ya mwisho kama sehemu ya jambo
> la msingi.
>
> On 28/12/2012, Yona F Maro <oldmo...@gmail.com> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> > Nilikuwa naangalia suala la haki za binadamu kwa chama kikuu cha
> > Upinzani nchini Tanzania kwa mwaka 2012 .
>
> > Hivi ndivyo kilivyoboronga kwa mwaka 2012 .
>
> > 1 – Kifo cha Mwandishi Daud Mwangosi ( Iringa )
> > Mwandishi huyu alipatwa na mauti alivyokuwa kwenye shuguli zake za
> > kawaida ambazo zimechangia kupaisha chama hiki juu lakini akapatwa na
> > mauti .
>
> > 2 – M4C na Maandamano Morogoro Mjini
> > Kulifanyika mkutano wa M4C na baadaye kufanyika maandamano ambayo
> > yalisababisha kifo cha mtu mmoja ambaye inasemekana ni mdau wa sekta
> > ya habari ni muuza magazeti wa msamvu morogoro .
>
> > 3 – Kifo cha Kada wa UVCCM Singida
> > Ulitokea ugomvi kati ya vijana ambao ulisababisha kada wa UVCCM
> > kupoteza uhai wake na kesi hii iko mahakamani ambapo baadhi ya vigogo
> > wa CHADEMA ndio washtakiwa .
>
> > 4 – Uporaji wa Maiti North Mara
> > Hili ni tukio ambalo lilisababisha baadhi ya maiti kususiwa na ndugu
> > na kada mmoja wa CHADEMA kuwekwa rumande kwa masaa kadhaa kabla ya
> > kuachiwa huru .
>
> > 5 – Viongozi kadhaa haswa Dr Slaa ametamka mara kadhaa na kutisha
> > kwamba nchi haitotawalika na mwisho wa mwaka huu mhe freeman mbowe
> > akatoa kitisho hicho hicho kuhusu mwaka 2013 .
>
> > Hiki ni chama kikuu cha upinzani tulitegemea kikawa mfano bora wa
> > kufuata sheria na taratibu za nchi sio aibu hii tunayoiona wenyewe .
>
> > MWISHO
> > Mpaka sasa hivi Makad wa CHADEMA ndio kundi la kisiasa lililokuwa na
> > kesi nyingi kuliko yote nchini Tanzania bara na visiwani , wanakesi
> > mikoa mingi ambazo  bado zinaendelea zinazohusiana na matukio hayo au
> > mengine yanayohusisha harakati  za kisiasa .
>
> > Sasa wananchi wenyewe waangalie na kupima , ingawa kwa Tanzania suala
> > la haki za binadamu sio ishu maana raia wengi wamezoea kujichukulia
> > sheria mkononi .
>
> > Wengi watasingizia CCM wakati CCM haiko ndani ya mfumo wa CHADEMA .
>
> > NB : Kama nimekosea tarehe na majina ya watu au matukio samahanini
>
> > --
> > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> > Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> > DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> > 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> > DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> > TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> > CALL : 0786 806028
> > Free Delivery in Dar es salaam
>
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
>
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Bariki G. Mwasaga,
> P.O. Box 3021,
> Dar es Salaam, Tanzania
> +255 754 812 387

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment